Sababu zipi hupelekea Comoros, Mauritius na Madagascar kutotajwa kama nchi zilizopakana na Tanzania?

Kwa nyakati tofauti imekuwa ikisikika au kutajwa Tanzania "imepakana na" Kenya, Uganda, Mozambique, Rwanda, Malawi, DR Congo na Zambia.

Je! ni sababu zipi hupelekea Comoros, Mauritius na Madagascar kutotajwa kama nchi zilizopakana na Tanzania?
Tunapakana mbali katika mipaka ya kimataifa sio majirani zetu wapo mamia ya mail
Screenshot_20191026-030149.jpeg
Screenshot_20191026-031006.jpeg
 
Hivi jiran manake nn, kabla hujaeleza maana hyo najua ukitoka tanzania hupaswi kupita nchi nyingine yeyote kwenda huko na kama utapita basi ni kupoteza muda na baadaye utapita njia ile ile uliyoikimbia
Ukitoka Tanzania utakutana na mpaka wa kimataifa wa ndani ya bahari hapo ndio uanze kuitafuta Madagascar lakini pia lazima uanze na shelisheli afadhali shelisheli anaweza kuwa jirani lakini si Madagascar
 
Asante Impongo, nimeelewa. Ni kama kusema kuna free zone hivyo hao Seychelles, Comoros, Mauritius na Madagascar wametengwa na hii kitu.

Shukrani Taslim.
 
Back
Top Bottom