Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

Niwaheri

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,390
2,000
Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,

Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.

Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.

Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.

Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.

Think big, take control of your destiny.
Baba unapatikana kanda gani ya nchi hii?kama watu wote wangekuwa na akili kama zako basi kesi za kila siku humu zisingekuwepo,
Men play your part as men!
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,070
2,000
Kuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
Unafikiri hii tu, kuna wanawake wengine wanakupiga mpaka na vidole kuona kama umelawitiwa maana wanaume wengi wa Pwani (Zanzibar, Pemba, Dar, Tanga, Bagamoyo) huu ndiyo mchezo wao. Nyumbani rijali akitoka kwenda nyumba ya pili anapakatwa na mwanamme mwenzake huku akichezewa pumbu na kupigwa vidole, akirudi nyumbani kachoka hoi huku akinuka shombo la mavi.
 
financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
12,638

Dah ushawaona hao wanawake wakifanya hivo kwa waume zao mkuu? Mfano wako kidogo sijauelewa🤔
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
6,454
2,000
Kuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki

Nimecheka sana wallahi, huyu ndo mama junior wangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom