Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

Hapo kwenye point ya kwanza uoga na hofu ya majukumu

Ni kwamba hamkupanga kuipata hiyo mimba,au wakati unaoa hukuja kuwa kuoa comes with majukumu kutia ndani familia kuongezeka?

Weza ni maamuzi sahihi kuzaa na mwanamke huyo au la,ni wakati gani ambao mtu anapaswa kufikiria kulihusu hilo? unadhani ni sawa kuwaza mwanamke akiwa mjamzito tayari? tuseme sio sahihi utamwambia aitoe au ndo utamkimbia?

Halafu hayo mawazo yanayokuondoa mood,yanaondoa mood ka mkeo mjamzito tu au huko kwengine mood iko kama kawaid?

Nawasilisha
 
Hapo namba 2, ni Mimi kabisa... nilikuwa naogopa hata kumgusa nahisi kama tunamsumbua mtoto tumboni
 
Hapo kwenye point ya kwanza uoga na hofu ya majukumu

Ni kwamba hamkupanga kuipata hiyo mimba,au wakati unaoa hukuja kuwa kuoa comes with majukumu kutia ndani familia kuongezeka?

Weza ni maamuzi sahihi kuzaa na mwanamke huyo au la,ni wakati gani ambao mtu anapaswa kufikiria kulihusu hilo? unadhani ni sawa kuwaza mwanamke akiwa mjamzito tayari? tuseme sio sahihi utamwambia aitoe au ndo utamkimbia?

Halafu hayo mawazo yanayokuondoa mood,yanaondoa mood ka mkeo mjamzito tu au huko kwengine mood iko kama kawaid?

Nawasilisha

Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom