Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

Kwenye seckta ya Bank, CRDB ni habari nyingine wadau; wapo vizuri, wanajua customer care, business language na kingine nilicho ki note kwao ni hiki; hua wote wana jaribu kushawishi kila mteja wa bank ni lazima awe na account na bank yao, kwenye biashara hi ndio dream ya kila mfanyabiashara; is like Coca-Cola, dream yao ni kuona kila mtu duniani, walau anywe soda yao 1 kwa siku. Hongera sana Dr. Charles Kimei kwa ubunifu na sijui uliwapa training gani hao staff wako.
 
Speaking of shape.. Kuna mdada huyo alikua crdb ppf tower sijui kama bado yupo maana sijaenda miaka mingi. Alikua na shape moja hatari sana si mchezo. Wazee wa kupimia watakua wanamsoma
yeah toto la ukweli
 
Back
Top Bottom