jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,750
- 16,364
halafu zinaonekana kabisa, duuuuh kweli tunatakiwa tujiongeze kidogo.Damu ya mtu wanamwaga tomato na chil sosi!
Niliona moja eti wana act wana duu cha uongo na unajua ni uongo kabisa.
hahahahahaahahah BONGO movie in action