Sababu za Zanzibar kudai Uhuru na hisia za udini Tanzania.

Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Habar zenu waungwana!!,naomba niwasilishe hii kutoka kichwani kwangu maana sijakopi wa kupesti. Miezi ya karibuni tumeshuhudia mambo ambayo yamekuwa tofauti na kawaida tuliyoizoea ya amani na utulivu.sina haja ya kuyataja maana kila mmoja anayajua ama aliyasikia katika vyombo vya habar.lakini em tujiulize kwa nn mambo haya yatokee sasa hivi na sio kipindi cha nyuma?kuna nn hasa hapa katikati??,na nini chanzo cha mambo haya hatar kabisa??,kwa nn wazanzibar wadai kuwa wananyanyaswa na kutengwa ama kudhulumiwa??

Zifuatazo ni sababu za Wazanzibar kudai kuwa wananyanyaswa.

1.Hali ya maisha kwa mwananchi wa kawaida kisiwani Zanzibar ni ngumu kuliko watu wanavofikilia.hakuna kazi na idadi ya watu inaongezeka!
2.Idadi kubwa yavijana wazanzibar hawana elimu ya darasani achana na e ya dini.Maana mfumo wa elimu Zanzibar haumshawishi mwanafunzi kuendelea mbele wengi hujikita katika elim ya dini
3.Propaganda na upotoshaji wa kuhusu muungano wa nchi hizi mbili.
4.Himizo kutoka nchi za kiarabu kushawishi wajitenge ili wao wafanye nao biashara ama waje mara nyingine.
5.Uzembe wa serikal ya muungano kushulikia maswala ya muungano na matatizo yake!!
6.complex division of power kwa central govment mpaka madaraka ya rais wa zanzibar.

Kutokana na hayo mambo na mengine mengi wazanzibar sasa waamka na kudai kwamba wanaitaka zanzibar yao ikiwa huru na hawahitaji muungano. Serikal fanyeni haya kurudisha utulivu Zanzibar na kuzima uasi ulioanza kujitokeza.

1.Boresheni mfumo wa elimu zanzibar ili wanafunzi wengi wafike japo kidato cha sita hadi chuo tofaut na sasa wengi ni Form 2.
2.Ondoeni kero za muungano na kushughulikia malalamiko yao kila mara.
3.Angalieni uwezekano wa kuwaajil vijana wa kizanzibar kila mara ikiwezekana,sio lazima wawe madaktar bingwa hata mkianzisha vyuo vya veta kama vitano itasaidia.
4.Jaribuni kubadilishana wafanyakazi,yani sio mtu kazaliwa zanzibar,kasoma zanzibar,kaajiliwa zanzibar,anaishi zanzibar na kufa zanzibar.jaribuni kuwachanganya na jamii nyingine mfano,mfanyakazi kutoka kuwe na interaction.hii ni mbinu ya kiintellejensia inaitwa devide and rule
5.Wapeni wazanzibar kipaumbele maana sio sahihi kwamba kwa kuwa ni wachache basi hawastail kingi
6.Rekebisheni huduma za afya,barabara na umeme,
7.Pigeni marufuku lugha za uchochezi na fitina kwa viongozi wa secta mbali mbali kama dini,siasa na mashirika ya kijamii yanayowaaminisha wazanzibar kuami kuwa wanaonewa na kudhulumiwa.

Kama haya yatazingatiwa ni waz kwamba hatutasikia Uamsho ugaidi Zanzibar,narudia tena Tatizo ni Ugumu wa maisha ndo unaleta yote hayo machafuko na mauaji. Haya ni mawazo yangu karibuni tuchangie kwa kukosoa ama kusapoti maana nimetoa kichwani na mi ni binadam inawezekana siko sahihi pia.
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Nimewahi kuishi kule muda flani so hiki nilichokiandika nimekiona.,Haihitaji kutumia polisi wala jeshi kumaliza tatizo hili Zanzibar,busara na akili zitumike.
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,971
Likes
977
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,971 977 280
Eeee wewe Mkuu, usiseme kudai uhuru....Hao jamaa waBara wata kuja juu na kusema mnataka kuleta waarabuuuu!! wao hungangana tu mtarudisha uualabu na sulutani ... Looh subiri uone comments zinazusha uongo !!
 
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,247
Likes
408
Points
180
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,247 408 180
nawashaurri muwalaumu wazazi wenu walobobea kufuraia kanga. chunvi. kofia pia tshirt toka ccm na kuendelea kuishabikia ccm wakati inawapuuza na kuwadhiaki kwa kipind chote tangu uhuru.

sasa mkome yani leo mnapanga kuimarisha elimu 50 years baada ya uhuruah ah ah mmeumbuka tayari. kweli aibu kwenu zaidi kwa wazazi wenu wachumia tumbo kwa kuendelea unazi wao kwa lichama fisadi la ccm

amna lolote aya i matokeo ya unafiki mtupu.. umasikini pia ufukara wa kujitakia huo. pima akili yako wewe mfuasi wa ccm. pia ni laana ya kuendelea kuichagua ccm mkidhani mnawakomoa wanaotaka mabadiliko katika taifa letu la tanzania kumbe ufukara o mnaushamilisha.

naashauri tegeni kalio sindano ipigwe mpaka dawa ihingie. nyie watu wabaya sana.
wambieni ccm japo inauma kuwa yatosha we want changes
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Eeee wewe Mkuu, usiseme kudai uhuru....Hao jamaa waBara wata kuja juu na kusema mnataka kuleta waarabuuuu!! wao hungangana tu mtarudisha uualabu na sulutani ... Looh subiri uone comments zinazusha uongo !!
Hahaha,hapana bana nina imani wengi humu wanatambua hili
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
nawashaurri muwalaumu wazazi wenu walobobea kufuraia kanga. chunvi. kofia pia tshirt toka ccm na kuendelea kuishabikia ccm wakati inawapuuza na kuwadhiaki kwa kipind chote tangu uhuru.

sasa mkome yani leo mnapanga kuimarisha elimu 50 years baada ya uhuruah ah ah mmeumbuka tayari. kweli aibu kwenu zaidi kwa wazazi wenu wachumia tumbo kwa kuendelea unazi wao kwa lichama fisadi la ccm

amna lolote aya i matokeo ya unafiki mtupu.. umasikini pia ufukara wa kujitakia huo. pima akili yako wewe mfuasi wa ccm. pia ni laana ya kuendelea kuichagua ccm mkidhani mnawakomoa wanaotaka mabadiliko katika taifa letu la tanzania kumbe ufukara o mnaushamilisha.

naashauri tegeni kalio sindano ipigwe mpaka dawa ihingie. nyie watu wabaya sana.
wambieni ccm japo inauma kuwa yatosha we want changes
Hizi taarabu andika point sasa!,ama bando imeisha??
 
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
459
Likes
94
Points
45
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
459 94 45
Wazanzibar hatudanganyiki tena hakuna kutatua kero za Muungano wa nini hapa ni Mamlaka kamili kwanza Potojo baadae!
unatufanya watoto kutudsnganya kwa pipi!??
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Wazanzibar hatudanganyiki tena hakuna kutatua kero za Muungano wa nini hapa ni Mamlaka kamili kwanza Potojo baadae!
unatufanya watoto kutudsnganya kwa pipi!??
Sijawadanganya kwa pipi nawatetea ili mpate haki zenu,siegemei upande wowote kama Id inavosema hapo
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,971
Likes
977
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,971 977 280
Hahaha,hapana bana nina imani wengi humu wanatambua hili
Swahiba mpendwa na wandugu kwa heshima zote kwenu; Nasikitika kuwa nilikuwa nikosoma hizo hujumu zinazo sema ati waZenji wanataka kurudisha Usultani na kuipeleka kisiwa huko Omani na wengine huwatuhumu Oooh wanataka kuleta waalabu Mashambulizi ya aina hiyo yako meengi kweli....! La ajabu na lakusikitisha Mushkel upo kwenye uongozi na utawala wa hao wazee walokwisha pitwa na wakati yaani Zanzibar hakuna Viongozi wa kustawisha jamii na kuendeleza wananchi vilivyo wamewaacha raia kukata tama!! huo ni ugonjwa sugu ambao unahitaji kuangaliwa kama vile ICU...!! lakini nani atakusikia??? Sasa hayo ya kuwapakizia ya waalabu ndiyo nyimbo za kila siku. Wataimbiwa na maswahiba zao.
 
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
3,097
Likes
10
Points
135
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
3,097 10 135
Umeweka mawazo kadhaa mazuri, japokuwa binafsi naona umepotosha kitu kwa kuruka maelezo muhimu sana kuhusu upande wa fikra za watu wa Tanganyika.

Muungano wowote unakuwa na cost benefit analysis. Unabaki kuwapo kama pande zote zinahisi kuna faida katika muungano huo. Niongelee muungano basic wa mume na mke ingawa hili ni tofauti, lakini kwa kuwa hoja inahusu cost-benefit katika mahusiano ya kibinadamu sioni ubaya kulinganisha haya. Mke na mume katika ndoa wanadumu kwa sababu kila mmoja ana kitu anapata kutoka kwa mwingine. Wakazi wa Tanganyika hatuna faida yoyote katika muungano huu, kwa hiyo ni useless. Umetazama upande mmoja tu katika hoja yako.

Mengi unayoyaeleza katika hoja yako kuhusu hali duni ya maisha unayoiona Zanzibar ndiyo hali ambayo mtu wa Namtumbo ataeleza, Mtu wa Uyui ataeleza, mtu wa Nyarugusu ataeleza. Kwa hiyo kama lengo lingekuwa kutafuta kutatua matatizo yetu kama taifa moja, tungesema tatizo lililopo Zanzibar ndilo lililopo sehemu nyingine za nchi yetu. Tungeunganishwa na haja moja kuu ya kukiondoa chama ambacho kimeshindwa kuleta maendeleo katika nchi yetu moja. Hilo lingeonesha maturity ya wananchi wa Tanzania. Badala yake kila upande unalalamikia muungano badala ya uongozi mbovu. Nakuapia watu wa bara tuna chuki na muungano pengine hata kuwazidi nyie wa Zanzibar. Lakini je tatizo ni Muungano? au Uongozi mbovu?

Leo kila upande hauoni faida ya muungano kabisa, na jibu rahisi limekuwa la kukubaliana kulaumu Muungano badala ya uongozi mbovu. Na kwa hali ninayoiona mimi mahali tulipofikia ni point of no return. Hii nchi imekwisha sambaratika, na sababu ni ufinyu wa akili za watu walio madarakani; sababu si muungano. Pande zetu mbili pasipo shaka yoyote tumekwishakubaliana kwamba muungano huu haufai. Kwa hiyo na ufe tu. Nikuulize swali moja tu. Nipe kitu japo kimoja tu ambacho Zanzibar inaweza kujivunia kuifaidisha Tanganyika nje ya uwekezaji wa maghorofa ya Kariakoo ambalo hata Wazungu na wasomali wanafanya; nje ya maduka ya binzali mitaani na vioski vya urojo kwenye makutano ya barabara za mitaa ya Dar es Salaam. Nini Zanzibar inaifaidisha Tanganyika iwe ndo sababu ya kuung'ang'ania huu muungano. Kitu gani hasa....
 
M

Mtz.mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2012
Messages
357
Likes
0
Points
0
Age
30
M

Mtz.mzalendo

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2012
357 0 0
Waacheni wapumue...wa znz wengi hawautaki muungano na wanasababu za msingi sio kama hizo ulizozitaja
 
Una mawazo.mazur,nadhani we pia ni msomi mzur,hapa nimeongelea mambo yanayosababishabkuwabna hali ya mgongano na vurugu pia fikra za udini.,pia mimi sio mzanzibar lakin hata ukiniita mzanzibar sikatai kwa maana kuna ndugu zangu wengi wa kigoma wanaishi pemba na unguja pia.,
Binafsi sishaur kabisa swala la kuuvunja muungano maana najua athar zake,,japo unaweza kuvunjika na maisha yakaendelea.,
Kikubwa hapa ni kuangalia nn chanzo cha hujuma kwa watu mbalimbali kama mapadri,wanasiasa,mashehe,na kuibukabkwa vikundi mbalimbali vya kupinga muungano.
 
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined
Nov 8, 2011
Messages
948
Likes
128
Points
60
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined Nov 8, 2011
948 128 60
Too late,tuwaachie nchi yao.Hatutakuwa wa kwanza kufanya hivyo,tumeshuhudia sudani ya kusini,timori mashariki nk,washaamka wazanzibari hawataki tena kutawaliwa na Tanganyika
 
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
3,097
Likes
10
Points
135
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
3,097 10 135
Una mawazo.mazur,nadhani we pia ni msomi mzur,hapa nimeongelea mambo yanayosababishabkuwabna hali ya mgongano na vurugu pia fikra za udini.,pia mimi sio mzanzibar lakin hata ukiniita mzanzibar sikatai kwa maana kuna ndugu zangu wengi wa kigoma wanaishi pemba na unguja pia.,
Binafsi sishaur kabisa swala la kuuvunja muungano maana najua athar zake,,japo unaweza kuvunjika na maisha yakaendelea.,
Kikubwa hapa ni kuangalia nn chanzo cha hujuma kwa watu mbalimbali kama mapadri,wanasiasa,mashehe,na kuibukabkwa vikundi mbalimbali vya kupinga muungano.

Nimefuatilia siasa za nchi yetu kwa muda mrefu na ninaamini hiki ninachokueleza ndio ukweli wenyewe. machafuko yameletwa na uongozi mbovu wa chama cha mapinduzi. taarifa zinabainisha kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi alilazimisha rais kikwete kupewa urais kwa kutumia msingi wa dini. hiyo nafasi ilikuwa ya Salim Ahmed Salim. habari zinasema Mwinyi alikuwa na agenda ambayo wengi bado hatuijui, katika kulazimisha Kikwete kuwa rais akitumia rungu la dini. Hoja ilikuwa kwamba wakristo wamewaonea waislamu kwa miaka mingi sana, kwa hiyo lazima Mwislamu Kikwete awe rais. Hatujui kwa nini alimpigia kampeni Kikwete zaidi kuliko Salim kwa kuwa wote ni waislamu. pengine historia itakuja itambue agenda ilikuwa nini; kosa likawa kutumia uislamu kama hoja ya uteuzi badala ya sifa nyingine. Hoja hii ilitumiwa ndani ya kamati za uteuzi wa rais za ccm hadi majumbani kwa wapiga kura likawa accepted na waislamu walio wengi; lakini kwa kufanya hivyo wakawa wamefanikiwa kujenga chuki kubwa sana dhidi ya wakristo nchini. hiki ndicho kinachoua wachungaji sasa, ndicho kinachochoma makanisa sasa na upuuzi wa nani achinje ng'ombe nani asichinje. and it is a ccm problem!
 
Una point ndugu yangu,lakini hujasema suluhisho n nn,maana kama kuna tatizo lazima tutafute suluhisho,anagaliafaono katika uzi wangu huu,kuwaachia wazanzibar nchi sio suluhisho em nikomvice hapo tufanyeje ili amani.ma upendo kwa pande zote mbil urudi kama zaman.
 
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2009
Messages
869
Likes
5
Points
35
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2009
869 5 35
Umenena vema kabisa, ndio mana nasema muungano ukivunjika, Zanzibar haitakuwa na tofauti na Somali
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
sioni sababu ya watu wa zenj kuwa na tabia za kiporipori ktk kanchi kadogo....nadhani serikali ikaanze walazimisha wang`oe majani kando kando ya nyumba, wafundishwe yapendezesha mashamba ya karafuu na si kuyafanya mapori,waanzishiwe kilimo, na shule zenye walimu wakutosha toka bara na nje ili kuondoa propaganda..

Hawa jamaa pamoja na kupiga swala 5 wana muda Idle sana...ndio akili zao zinakuwa bored sana.Wangekuwa wanapenda mazingira..wangejikuta mazingira yao ayanapendeza na muda wa umbea ungepungua..Dawa za minyoo pia zinaweza wasaidia sana.Minyoo huaharibu sana confort zone ya mtu....mwihsowe kumfanya mtu mwenye hasifa..
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,699
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,699 280
sioni sababu ya watu wa zenj kuwa na tabia za kiporipori ktk kanchi kadogo....nadhani serikali ikaanze walazimisha wang`oe majani kando kando ya nyumba, wafundishwe yapendezesha mashamba ya karafuu na si kuyafanya mapori,waanzishiwe kilimo, na shule zenye walimu wakutosha toka bara na nje ili kuondoa propaganda..

Hawa jamaa pamoja na kupiga swala 5 wana muda Idle sana...ndio akili zao zinakuwa bored sana.Wangekuwa wanapenda mazingira..wangejikuta mazingira yao ayanapendeza na muda wa umbea ungepungua..Dawa za minyoo pia zinaweza wasaidia sana.Minyoo huaharibu sana confort zone ya mtu....mwihsowe kumfanya mtu mwenye hasifa..
Crackpot.
 
mpasuajipu99

mpasuajipu99

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
679
Likes
21
Points
35
mpasuajipu99

mpasuajipu99

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
679 21 35
Waacheni wapumue...wa znz wengi hawautaki muungano na wanasababu za msingi sio kama hizo ulizozitaja

Wapumue kwa njia gani ya Mdomo au ileeeeeeeeeeeeeeeeee ya Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:ballchain:
 
Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,060