Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

Sababu za watanzania wengi kushangilia kukamatwa kwa hii ndege.

1- Tatizo lilianzia kwenye Slogan ya hii Ndege “ HAPA KAZI TU” haikuwa sahihi kwa sababu moja kwa moja inahususisha Chama cha CCM wakat hii ndege n mali ya kila mlipa kodi na sio mali ya CCM. Machon kwa watanzania walio wengi hawana hisia wala mapenz na hizi ndege.

2- Shirika hili CAG haruhusiwi kulikaguwa mahesabu yake, hii n kinyume cha sheria and taratibu za matumiz ya fedha za walipa kodi.

3- Hii ndege kwa nyakati tofauti imetumika kuwapiga vijembe viongoz waliopita au wapinzani kuwakashifu au kuonekana hawakufanya la maana.

4. Kwa nyakati tofaut wataalam wa ndan na wanje walitoa ushauri kuhusu uendeshaji wa shirika la ndege lakin walipuuzwa. Moja ya mahojiano J.K alitamka “ ni vyema kuanza kushughulikia na kutatua matatizo ya shirika la ndege kwanza” akaishia kukashifwa.

5. Sababu za ununuzi au kufufua shirika hili zimekuwa ni kitendawili kisichokuwa na majibu sahihi kwa walipa kodi walio wengi kwa sababu miaka ya nyuma shirika hili lilikuwa likijiendesha kwa hasara na kuacha madeni lukuki yanayotakiwa kulipwa.

Ushauri wangu binafsi kama mlipa kodi niliyechangia senti kufanikisha ununuzi huu, ni vyema shirika hili likaingia ubia na makampuni makubwa yenye uzoefu wa kufanya biashara hii au Serikali iache shirika hili lijiendeshe lenyewe kusiwepo na shinikizo la kisiasa. Ugomvi na makampuni mengine kama Fast Jet au Acacia nk ni vyema kutumika diplomasia kuliko nguvu maana hata sisi tunadaiwa huko nje

Nihitimishe tu kwa kunukuu wahenga “ ukitenda wema utalipwa wema, ukitenda ubaya utalipwa ubaya”
Title ingekuwa hivi, sababu za marofa wote kufurahi kukamatwa ndege yao..........
 
Wenye Akili mgando kama ninyi ndiyo mnafurahia ndege yetu kukamatwa. But all is well Naamini mambo yatakuwa sawa. Na ndege yetu itarudi nyumbani
 
Kufya nyondo!!! Sasa yaliyofanyika gizani yameanza kuonekana hadharani. Sasa ukikosoa kuhusu hiyo issue ya atcl utaambiwa sio mzalendo!!! Nchi sasa imekuwa ya hovyo kabisa!! Ndo taaabu ya kuchagua mijitu mishaaaaambaaaa ...
 
WAKATI WANAFANAYA HAYO MADUDU SI ALIAMBIWA AKASHUPAZA SHINGO? TENA CAG ALIWEKA KWENYE RIPOTI WAKAMWITA KWENYE KAMATI YA BUNGE, AKAWAAMBIWA WAO NI DHAIFU, walikuwa hawajui udhaifu wao, sasa wamejua , Bunge ni dhaifu,
Waswahili walisema, penye ukweli, uongo hujitenga.

Pia wakasema.

La uvundo halina ubani.
 
jiwe aliiua ili zile ndege zenye chata "hapa kazi tu" zitamalaki
Hili jamaa halina maana kabisa lilikurupuka tu kuchukua form za urais

NAJUA HAPO LIMECHUKIAAA! LIKONA UZI KAMA HUU, YAANI LINATAMANI LINIPIGE RISASI NA LILIVO JEUSI DUUU!
AFADHALI PRESDAA MWEUPE ROHO ZAO NYEUPEEE! SI UNAMUONA MAJALIWA YAANI YULE JAMAA BODY LANGUAGE INAONEKANA TU NI MTU MZURI
 
Watanzania si wajinga wala wapumbavu. Wanajua ndege ni mali yao lakini furaha ina sababu za msingi.
Wameona kuwa utawala huu ni dhalimu. Haupo kwa maslahi yao. Uchumi mgumu, mauaji ya watu, kuminya uhuru wa habari na wapinzani nk.
Katika mambo ya ovyo, utawala huu unajinasibu kununua ndege kama moja ya mafanikio yake.
Ni natural watu kufurahia wakiona alama ya "mafanikio" ikiingia utata.
 
Wewe unaeleweka na kusameheka kwa kuwa ni Mwanamke, Wanawake by nature siyo patriotic, Wanawake huuza nchi zao, Wanawake huwa hawajali Taifa wala hawaamini kwenye Taifa, ndo maana huolewa na foreigners kuharibu Taifa, ulishaona documentary inayoitwa ,,how women destroy nations” ? Kama bado itafute, inafundisha mengi kuhusu Wanawake hivyo nakuekewa.
Hata kwenu Uchagani hauwezi kurithishwa kihamba (shamba) kwa nini? Kwa sababu wanajua uta saleout kwa wageni, kihamba hupewa watoto wa kiume kuna sababu.
Hivyo wewe kama Mwanamke kushinda hapa JF kuleta mada baada ya mada kufuurahia kuanguka kwa Tanzania iko kwenye nature yako kama Mwanamke.

Ila Wanaume ambao wanafurahia ku-destroy Taifa walilozaliwa na kukulia ambapo watoto wao watakulia hapo pia, nashindwa kuwaelewa, kwa kawaida Wanaume hujenga Taifa ndo maana hata vitani huenda Wanaume kupigania na kutetea Taifa lao, kwa kawaida Wanaume wanajua Taifa ni zaidi ya Raisi, Magufuli atapita Tanzania itabakia, na hatuna pengine pa kwenda sasa unapofurahia ku sale out Taifa letu kwa wageni halafu wewe ni Mwanaume nashindwa kuelewa nini kimebadilika je ni genetic mutation na mmekuwa transgender au ni nini?
Kajambe mbele huko. Badala ya kuja na hoja ya maana umekuja na gender issues. No wonder ndege zinakamatwa, kama nchi ina watu wanao reason kama wewe.
 
Ndugu wasomaji JF imevamiwa na watu wachache ambao 1.wazazi wao walishaibia serikali 2. Ni kabila mbili tu au mikoa miwili tu ambao wengi wao wanaiponda serikali. 3. Ni wale ambao system yao ya kuiba fedha za serikali iliharibiwa na serikali. 4. Ni wale wachache wanaotumiwa na ndugu zao walioko kwa wabeberu ili kuponda serikali kwa kuwa wao wana uraia wa huko kwa mabwana zao. inasikitisha mno!!!
 
Rais Magufuli alivyokuwa Waziri kauza nyumba ya serikali kwa kimada wake na ndugu yake kinyume cha mchakato wa serikali, ambao aliupora na kujifanya yeye ndiye muuza nyumba badala ya wakala rasmi.

Naye ni mpiga madili tu, kwa hivyo kumuangalia kama mtu tofauti na hizo awamu zilizopita ni njozi za mchana tu.

Kwa nini unamfanya Magufuli kama mtu tofauti na wapiga madili wengine?

Unaelewa hilo?

Hilo la kwanza.

La pili, ni upumbavu kukimbilia kununua midege wakati unajua midege inaweza kukamatwa nje kwa sababu ya madeni sugu ambayo hujalipa.

Kwa hivyo Magufuli alichemka, na kwa style yake ya "my way or the highway" hata kama watu wanaweza kumshauri wanaona wakae kimya, kwa sababu rais ukimshauri asichotaka kusikia anakuondoa kazini.

Unaelewa hilo?
Nimewahi kujiuliza kwa nini Magufuli alifanya hivyo na leo hii anakomaa kupambana na ufisadi kwa maneno makali kiasi kile, sielewi. Lakini nina hisia moja kwamba yawezekana kabisa mtu huyu akili hii tuionayo, ndo akili yake, lakini kwa wakati ule alifikia desperation.

Mtu akifikia desperation anafanya ya hovyo kuliko hata tabia yake mbaya. Ni kama bwana wa kaya au mama wa kaya anapoamua ku-sex na house girl au houseboy out of desperation, regardless of personal integrity! Painful to here these but, people are doing!
 
Sababu za watanzania wengi kushangilia kukamatwa kwa hii ndege.

1- Tatizo lilianzia kwenye Slogan ya hii Ndege “ HAPA KAZI TU” haikuwa sahihi kwa sababu moja kwa moja inahususisha Chama cha CCM wakat hii ndege n mali ya kila mlipa kodi na sio mali ya CCM. Machon kwa watanzania walio wengi hawana hisia wala mapenz na hizi ndege.

2- Shirika hili CAG haruhusiwi kulikaguwa mahesabu yake, hii n kinyume cha sheria and taratibu za matumiz ya fedha za walipa kodi.

3- Hii ndege kwa nyakati tofauti imetumika kuwapiga vijembe viongoz waliopita au wapinzani kuwakashifu au kuonekana hawakufanya la maana.

4. Kwa nyakati tofaut wataalam wa ndan na wanje walitoa ushauri kuhusu uendeshaji wa shirika la ndege lakin walipuuzwa. Moja ya mahojiano J.K alitamka “ ni vyema kuanza kushughulikia na kutatua matatizo ya shirika la ndege kwanza” akaishia kukashifwa.

5. Sababu za ununuzi au kufufua shirika hili zimekuwa ni kitendawili kisichokuwa na majibu sahihi kwa walipa kodi walio wengi kwa sababu miaka ya nyuma shirika hili lilikuwa likijiendesha kwa hasara na kuacha madeni lukuki yanayotakiwa kulipwa.

Ushauri wangu binafsi kama mlipa kodi niliyechangia senti kufanikisha ununuzi huu, ni vyema shirika hili likaingia ubia na makampuni makubwa yenye uzoefu wa kufanya biashara hii au Serikali iache shirika hili lijiendeshe lenyewe kusiwepo na shinikizo la kisiasa. Ugomvi na makampuni mengine kama Fast Jet au Acacia nk ni vyema kutumika diplomasia kuliko nguvu maana hata sisi tunadaiwa huko nje

Nihitimishe tu kwa kunukuu wahenga “ ukitenda wema utalipwa wema, ukitenda ubaya utalipwa ubaya”

Aisee mi sifurahii kwani niko huku Afrika Kusini nilikuja na hii ndege na nilikata tiketi ya return siku za kukaa huku zimeisha bado ka siku 6 tu na nauli ya kurudi huko sina. Nyie mlio nyumbani mwambieni mzee alipe deni tu.
 
Hawa viongozi wengi

Ama

1. Wanacheza mchezo wa kuigiza, wanawapa watu "lip service" wanajua kwamba wanachohubiri kuhusu maendeleo na kutetea masikini si wanachoamini kweli.

Ama

2. Wana nia kweli, lakini hawajitambui hata wao wenyewe, nia yao ipo kama hadithi ya Don Quixote. Mtu anaota ndoto kubwa halafu si tu hajui jinsi ya kuitekeleza, bali anavyoishi ni tofauti na anavyosema anataka kufanya.

Ama

3. Wana matatizo ya akili, hawajui wanaenda au wanarudi.Wanadanganya sana mpaka wanaanza kuamini uongo wao wenyewe.
 
Aisee mi sifurahii kwani niko huku Afrika Kusini nilikuja na hii ndege na nilikata tiketi ya return siku za kukaa huku zimeisha bado ka siku 6 tu na nauli ya kurudi huko sina. Nyie mlio nyumbani mwambieni mzee alipe deni tu.
ATCL imepoteza credibility mpaka Uje kusimama tena ngoja tukatambikie Chato kwanza.
 
Sasa kama unazo hozo data si uzitoe mkuu badala ya kumshushua?
Fastjet nani kaiua..kama huna data si uulize..au umekaririshwa..mpaka leo hujui kikichoiyumbisha fastjet..then basi rudi darasani ujifunze walau kusoma
 
Mkuu kinachotuuma watanzania ni kwamba wakati RAIS JPM anajitahidi kufufua vilivyokufa, pale tu anapoanza kuonesha mafanikio vinaingia vikwazo ambavyo havijatokana na awamu yake.
Hapo awali nchi ilikuwa na MADILI mengi sana, watu walipiga madili ESCROW, walipiga madili RICHMOND/DOWANS na SYMBION, MEREMETA, TANGOLD, DEEPGREEN FINANCE, KAGODA na miradi mingi sana! Kesi nyingi serikali ilikuwa inashindwa kiajabuajabu tu kwa sababu za MADILI tu! Hili hata Tundu Lissu amewahi kulisemea kwamba alikuwa anashangaa sana serikali ilikuwa inashindwaje baadhi ya kesi zake. Serikali ilikuwa inashindwa kiajabuajabu sana kwa sababu hata waliokuwa wakienda kuitetea serikali ni kama walikuwa wanaenda kidilidili tu.
Serikali "ilikubali" kulipa mamilioni mengi tu kidilidili. Hata hayo madeni inawezekana kabisa kuna percent za wapiga dili fulani.
Nchi hii ni ngumu sana kufanikisha nia yeyote njema kwa Taifa.
Wapiga dili hawalali kuhakikisha hufanikiwi.
hiki ndicho tunachokishuhudia.
Katika hali ya aina hii tuombe Mungu JPM alipe hayo madeni. Ila serikali ijipange kuhakikisha hao MAFISADI wapiga dili wakazilie hizo hela nje ya nchi au nje ya dunia.
Vita hii kweli ni ngumu sana! Alituonya RAIS WETU.
Umesahau na ile TSH 1.5 trillion ambayo matumizi yake hayajulikani ktk utawala huu.
 
Sababu za watanzania wengi kushangilia kukamatwa kwa hii ndege.
1- Tatizo lilianzia kwenye Slogan ya hii Ndege “ HAPA KAZI TU” haikuwa sahihi kwa sababu moja kwa moja inahususisha Chama cha CCM wakat hii ndege n mali ya kila mlipa kodi na sio mali ya CCM. Machon kwa watanzania walio wengi hawana hisia wala mapenz na hizi ndege.
2- Shirika hili CAG haruhusiwi kulikaguwa mahesabu yake, hii n kinyume cha sheria and taratibu za matumiz ya fedha za walipa kodi.
3- Hii ndege kwa nyakati tofauti imetumika kuwapiga vijembe viongoz waliopita au wapinzani kuwakashifu au kuonekana hawakufanya la maana.
4. Kwa nyakati tofaut wataalam wa ndan na wanje walitoa ushauri kuhusu uendeshaji wa shirika la ndege lakin walipuuzwa. Moja ya mahojiano J.K alitamka “ ni vyema kuanza kushughulikia na kutatua matatizo ya shirika la ndege kwanza” akaishia kukashifwa.
5. Sababu za ununuzi au kufufua shirika hili zimekuwa ni kitendawili kisichokuwa na majibu sahihi kwa walipa kodi walio wengi kwa sababu miaka ya nyuma shirika hili lilikuwa likijiendesha kwa hasara na kuacha madeni lukuki yanayotakiwa kulipwa.
Ushauri wangu binafsi kama mlipa kodi niliyechangia senti kufanikisha ununuzi huu, ni vyema shirika hili likaingia ubia na makampuni makubwa yenye uzoefu wa kufanya biashara hii au Serikali iache shirika hili lijiendeshe lenyewe kusiwepo na shinikizo la kisiasa. Ugomvi na makampuni mengine kama Fast Jet au Acacia nk ni vyema kutumika diplomasia kuliko nguvu maana hata sisi tunadaiwa huko nje
Nihitimishe tu kwa kunukuu wahenga “ ukitenda wema utalipwa wema, ukitenda ubaya utalipwa ubaya”
Siku wakifanikiwa kuikomboa hiyo ndege tutasikia mengi zadi ya haya
 
Watanzania si wajinga wala wapumbavu. Wanajua ndege ni mali yao lakini furaha ina sababu za msingi.
Wameona kuwa utawala huu ni dhalimu. Haupo kwa maslahi yao. Uchumi mgumu, mauaji ya watu, kuminya uhuru wa habari na wapinzani nk.
Katika mambo ya ovyo, utawala huu unajinasibu kununua ndege kama moja ya mafanikio yake.
Ni natural watu kufurahia wakiona alama ya "mafanikio" ikiingia utata.
Na ndio huu ukweli hawataki kuumeza, wanawananga wapinzani, wanafikiri hakuna asiyetaka ndege lakini jiwe kahamishia ndege kwake, hataki mahesabu yakaguliwe aklfu anataka aimbiwe iyena iyena
 
Back
Top Bottom