Sababu za wanawake kuendelea kuchezewa

Wewe walionaje hili?

  • Ni kweli

    Votes: 0 0.0%
  • Si kweli

    Votes: 0 0.0%
  • Inategemea

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
243
339
Habari wanajamvi,

Leo ninawasogezea hii ambayo ni sehemu ya uzoefu nilionao katika maisha yangu ya mahusiano.

Mara nyingi imezoeleka na inafahamika hivyo, kwamba wanaume ndio walaghai katika mapenzi na hutongoza wasichana ili kukidhi haja zetu.

Huo sio ukweli, wanaume tulio wengi tunatongoza tukiamini tunaweza kupata wife material, hakuna mwanaume anayetongoza mwanamke anayeonekana ni kicheche. Wanaume tunapenda kuuliza kama mpenzi mpya ana mahusiano na mwanaume mwingine mapema kabisa siku za mahusiano, majibu ya wanawake huwa ni, "Ningekuwa na mtu ningekukubali wewe?" Akiwa mstaarabu atakwambia alikuwa nae na waliachana siku,miezi au miaka kadhaa nyuma.
Hapo mwanaume unaingia mzima mzima ukiamini umepata mwenza ila cha kusikitisha miezi kadhaa badae unagundua ana uhusiano na mtu au watu wengine na ukifuatilia (binafsi huwa namtafuta jamaa nakaa nae chini namsilikiza mwanzo mwisho, sina tabia ya kupanic) unagundua ni mahusiano yaliyokuwapo kabla hajawa na wewe na wala hawajawaji kuachana na ushahidi unakuwa wazi kabisa na mwanamke anakosa cha kusema na kujikuta anaomba msamaha. Hapa mwanaume anaetaka wife material hawezi kukuelewa labda akugeuze Cocacola Baridi.
Katika hali hiyo mwanaume huamua kuachana na mwanamke wa namna hiyo ila cha ajabu mwanamke ndo huwa wa kwanza kumtangaza mwanaume kuwa kampotezea muda na kamchezea, kamtumia kamchoka kamuacha. Wanaume tumeumbwa mateso ila sio na kwenye mapenzi jamani mtuhurumie kesi zenu zingine mzikubali tu. Wanawake ndio mnachezea wanaume.
 
Pole sana Stardust,

Hiyo sababu uliyoainisha inaweza kutokea pande zote,hata mwanamme anaweza kukwambia hana uhusiano but sio kweli anatafuta backup awe na wapenzi zaidi ya mmoja,ila kwa mwanamme kutongoza ni moja ya tabia,kwahiyo anaweza kuwa na wengi ila akapenda mmoja tu.

Sababu nyingine kama lengo la hayo mahusiano halijawekwa bayana ni rahisi kudanganyana, kila mmoja anakosa kumwamini mwenzi wake na kushindwa kuachilia wale wapenzi wa zamani inapelekea usaliti
 
Hivi mwanamke hawezi kumchezea mwanaume?

Unless tukubaliane na maana ya kuchezewa, vinginevyo in the first place Jibu ni ndiyo kuwa mwanamke hawezi kumchezea mwanaume "kwa sababu Za kimaumbile " Hata hivyo mwanamke anaweza kumlaghai mwanaume (rejea hadithi ya Samson na Delila).
 
mmmmmmhhhhh wanaume ndo mnachezea wanawake coz wewe nasema kwa upande wako coz we ni mwanaume may b yamekutokea but asilimia kubwa wanaume ndi hawanauaminifu kabsaa,ata umuheshimu vpi mpenz wake but inakuwa tu for nothing,
 
Mwanaume kutokuwa mwaminifu inatokana na matendo ya mwanamke, sasa mtu haeleweki unaanzaje kuweka moyo.
 
Habari wanajamvi,

Leo ninawasogezea hii ambayo ni sehemu ya uzoefu nilionao katika maisha yangu ya mahusiano.

Mara nyingi imezoeleka na inafahamika hivyo, kwamba wanaume ndio walaghai katika mapenzi na hutongoza wasichana ili kukidhi haja zetu.

Huo sio ukweli, wanaume tulio wengi tunatongoza tukiamini tunaweza kupata wife material, hakuna mwanaume anayetongoza mwanamke anayeonekana ni kicheche. Wanaume tunapenda kuuliza kama mpenzi mpya ana mahusiano na mwanaume mwingine mapema kabisa siku za mahusiano, majibu ya wanawake huwa ni, "Ningekuwa na mtu ningekukubali wewe?" Akiwa mstaarabu atakwambia alikuwa nae na waliachana siku,miezi au miaka kadhaa nyuma.
Hapo mwanaume unaingia mzima mzima ukiamini umepata mwenza ila cha kusikitisha miezi kadhaa badae unagundua ana uhusiano na mtu au watu wengine na ukifuatilia (binafsi huwa namtafuta jamaa nakaa nae chini namsilikiza mwanzo mwisho, sina tabia ya kupanic) unagundua ni mahusiano yaliyokuwapo kabla hajawa na wewe na wala hawajawaji kuachana na ushahidi unakuwa wazi kabisa na mwanamke anakosa cha kusema na kujikuta anaomba msamaha. Hapa mwanaume anaetaka wife material hawezi kukuelewa labda akugeuze Cocacola Baridi.
Katika hali hiyo mwanaume huamua kuachana na mwanamke wa namna hiyo ila cha ajabu mwanamke ndo huwa wa kwanza kumtangaza mwanaume kuwa kampotezea muda na kamchezea, kamtumia kamchoka kamuacha. Wanaume tumeumbwa mateso ila sio na kwenye mapenzi jamani mtuhurumie kesi zenu zingine mzikubali tu. Wanawake ndio mnachezea wanaume.
poleeeeee
kama yamekukuta hayoo,
shukuru Mungu kwa kilajambo huwez jua kakuepusha na nini uko,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom