Sababu za Wananchi wa Moshi na Arusha kuwa na misimamo ya Kisiasa

Mleta maada, kwani barabara ya lami inadumu miaka mingapi ya huduma? Ukinijibu hapo ndio nitajua barabara kweli sio tatizo. Japo kwa nijuavyo mimi, barabara, maji, masoko ya mazao na shule bado zinatakiwa tena kwa sana tu.
Ndio maana hata shule za kata bado zinajengwa. Barabara ndio usiombe, maana hata stendi tu bado wanazo za mkoloni ( zipo ndogo kama viwanja vya mpira).
Inaonyesha umesimuliwa tu mkuu, tembea kajionee mwenyewe.
Hahahaaaaaa
 
Kwa barabara Arusha bado sana japo wamejitahidi kidogo kuziboresha barabara za mjini ndani ya hii miaka mitano. Barabara ya mianzini kwenye mataa kwenda Ilboru ni vumbi na ipo mjini kabisa imelambishwa kilami kidogo kama mita kadhaa hivi.

Barabara ya kutoka triple A kupitia bucha la nguruwe kuelekea White rose kama sijakosea jina, ni vumbi tupu na ipo mjini kabisa, barabara ya kutokea ATC kupandisha kanisa la Rhehobot ni vumbi tupu na usiombe iwe ni kipindi cha mvua.
 
Ndio maana nimesema, mtoa maada yawezekana amesikia kwa watu.
 
Kaskazini hasa wachaga, wasome au wasisome wanajua kutafuta fedha na riziki. MTU kama Nape na elimu yake ukimtoa kwenye siasa umemmaliza. Kifupi MTU mwenye akili ya maisha lazima awe na msimamo.
 
• KWANZA KABISA, Ninaomba Ridhaa na Hekima ya WAHENGA wa Kaskazini wa humu jamvini. NI HIVI:-

Kilimanjaro ilishaendelea kabla ya kupatikana kwa Uhuru wa nchi hii hasa Marangu na Machame.

Kaskazini ilipokea baraka kutoka kwa Mungu baada tu ya kuupokea kwa mikono miwili UKRISTO na kuuendeleza mpaka dakika hii na hii ni kabla ya kuzaliwa kwa J.K. Nyerere, Baba wa Taifa hili

• Fuatana nami katika mifano ifuatayo :-

Mpaka kufikia 1970, Kilimanjaro ilikuwa na shule zaidi ya 63 ambapo jirani na shule hizo kulijengwa hospitali au vituo vya afya. Shule hizo ni kama Old Moshi, Umbwe, Marangu TC na zingine nyingi, wakati huo Tanga ikiwa na shule Moja tu ya KKKT pale LWANDAI, hospitali ni kama KCMC na zingine nyingi

Arusha zipo shule ambazo serikali haikuweka hata tofali moja, shule hizo ni Ilboru, Mringa M.S, ATC, Moringe Sokoine, Arusha School n.k

Hospitali ni kama Kaloleni, Mt. Meru, Kwa Mama Naomi n.k isipokuwa serikali imekuja kuboresha hivi karibuni.

BAADA YA UMISSIONARY / UMISIONI

Wazee almost wote wa Kaskazini wa kipindi kile hawakufanya makosa ya kuharibu kilichoanzishwa na Wazungu badala yake waliendeleza na kuboresha zaidi, kwa mfano:-

kupeleka watoto shule, hakuna mzungu aliwahi kuja kumlazimisha mtoto wa Mtu kwenda shule ila ni utashi wa wazee baada ya kujua umuhimu wa shule.

Products ya zoezi hilo ndilo lilileta waasisi wengi wa Kisiasa, Kiuchumi na kimiradi mbalimbali katika Taifa hili.

¶ Sijui kama unajua kuwa kata ya Marangu ilikuwa na gazeti la kujadili maendeleo ya eneo hilo katika miaka ya 1912-1914, gazeti lililoandikwa kikabila.

¶ Sijui kama unajua kuwa mpango mji wa Monduli uligunduliwa na Sokoine akiwa bado ni mwanafunzi na mchoro wote upo hivi leo katika maktaba ya Mkoa.

¶ Sijui kama unajua E.M Sokoine alijenga kiwanda cha ghorofa moja cha kutengeneza viatu vya kimasai miaka ya 1980's na target ya market ilikuwa ni Somalia, Sudan na South Africa.

¶ Sijui kama unajua kuwa chama cha Ushirika cha kahawa Moshi (KNCU) kilijenga jengo refu kuliko lote kwa Kilimanjaro mwaka 1983-1984 na Maktaba ya Mkoa na kukodishia serikali vyumba huku serikali ikilipa kodi pale mkabala na Maktaba ya Mkoa.

¶ Sijui kama unajua kuwa Chama cha Ushirika cha kahawa Arusha (ARCU) Kilijenga jengo refu kuliko yote Arusha pamoja na Maktaba na kuikodishia serikali baadhi ya ofisi, mwaka 1983 mpaka hivi sasa lipo mkabala na Maktaba ya mkoa.

¶ Sijui kama Unajua kuwa vyama vya kahawa yaani Kilimanjaro Native Coffee Union (KNCU), Arusha Cooperative Union (ARCU), Meru Cooperative Union (MCU) Ugweno Cooperative Union (UCU), na Oltroto Cooperative Union (OCU) vilisomesha karibu nusu ya wasomi nchini hasa mabwana shamba na mabibi shamba, idadi iliyokuwa ikilandana na Wasomi waliosomeshwa na vyama vya kahawa vya Kagera (wengi wao wakiwa wanasheria) na Mbeya.

¶ Sijui kama unajua maabara zote za shule ya sekondari ya Ilboru (iliyojengwa kwa matofali ya kuchoma) pamoja na kanisa la Ilboru la mwaka 1904 yalijengwa na Wanawake wa kiarusha na ushahidi upo.

¶ Sijui kama unajua kuwa kuna wazee wa kimachame waliokuwa wakiwakopesha pesa viongozi wakubwa wa kisiasa hata kabla ya kufika mwaka 1970 na ushahidi upo.

¶ Sijui kama unajua kuwa Wazee wote wa milima ya Kaskazini walitunza sana vyanzo vya maji na uoto wa asili wa sehemu hizo hata kabla serikali haijaanzisha kampeni za Utunzaji wa mazingira na mambo ya Mali Hai Club na mpaka leo hii maeneo haya yanatambulika kama ''Northern Green Belt''

¶ Sijui kama unajua kuwa kwa miaka yote baada ya kupatikana kwa uhuru wilaya ya Arumeru imekuwa ikizalisha mbegu bora za mifugo hasa Ng'ombe na mbuzi wa maziwa na kuwa shamba darasa kwa wilaya zingine zote nchini? Hii ni sababu ya siku kuu za nane nane kufanyikia Arusha kwa miaka mingi.

¶ Sijui kama unajua kuwa Arusha ni major exporters wa maua (Red & White roses) na fresh vegetables nje ya bara hili kuliko mikoa mingine yote.

¶ Sijui kama unajua kuwa biashara ya Maziwa, Mbege, Asali na Ngozi ziliwapatia wazee wa Kaskazini pesa hata kabla kuanzishwa kwa zao la kahawa.

¶ Sijui kama unajua kuwa maeneo ya kuabudia (Churches) kwa Kaskazini ni za standard kubwa sana tangu zaidi ya miaka 100 iliyopita?

¶ Sijui kama unajua kuwa ulikuwa huyajui hayo.

Ninaomba ikiwezekana msifanye comparison ya Kanda kwa Tanzania hii kwasabu kuna utofauti mkubwa sana wa tangu enzi.

Leo hii, jengo jipya la Halmashauri ya W. ya babati linafanana na jengo la TANESCO la Kilimanjaro la mwaka 1982.

Jengo la Mkuu wa Mkoa wa Kigoma la sasa linafanana na jengo lilijengwa Arusha miaka ya 1950 na halihitajiki tena

Wakati Kilimanjaro ikiwa na shule 60, Kondoa Irangi hakukuwa na Chekechea hata moja, wakati huohuo pwani yote ikiwa na misikiti michache tu na shule haizidi mbili.

Kwa yeyote atakayehitaji Ushahidi wa Picha, vitabu na Narrations mbalimbali kuhusu ukanda huu kuanzia mwaka wa 1900 - to date anitafute.
 
Acha uongo mkuu... Sasa Arusha na Moshi kuna viwanda gani?

Binafsi mwaka huu hakuna wa kunibadilisha.

Diwani CCM
Ubunge CDM
Rais CCM.... Magufuli ni kiongozi mzuri.

Ubunge kwanini nawapa CDM ni kwasababu Gambo kwa maoni yangu hafai kuwa kiongozi...
Mkuu

Ww ni Tatizo!!
 
Sasa mbona wanalilia kampani ya selikali kama maendeleo tayari yalikuwepo?
Maana kama ni kuhaha kuhitaji huduma muhimu za kijamii kwa Tanzania hii, hakuna sehemu isiyohitaji. Kwangu mimi umenipa tu ufahamu niliokuwa sina, ila kuhusu maendeleo hujanishawishi kwa lolote. Maana hiyo kaskazini mie ni wa kuja tu ila nimekaa kwa muda wa kutosha sana. Sijui wapi utanidanganya!
 
Wanalilia nini mkuu?? No vizuri ukakitaja hicho wanacholilia..
 
Nimeelewa na ameandika uongo.

Sisi watu wa Arusha barabara tulishamalizana nazo? Na unaniambia eti nimekuja na mihemko...barabara ya Mjini tu hapo Sanawari hadi sanawari ya juu alishajenga mkoloni? Kutwa tulikuwa tunalia tunataka barabara.

Je, hapo mataa mianzini kielekea Ilboru napo ilishajengwa na mkoloni.

Sikutaka hata kusoma kila kitu maana inaonyesha mtoa mada sio wa hiyo Kanda.
Sanawari ya juu vumbi la kutosha!
 
Back
Top Bottom