Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,644
2,000
Umechemsha!! Hapo kwenye covid 19 umechemsha!!!! Hakuna taifa lililo salama dhidi ya corona kama Tanzania!! Mataifa mengine yanatuonea wivu!! Hapo ulipo angalia kushoto na kulia hautaiona corona!! Corona imebaki kuwa kama simba wa karatasi!!

Kwa Tanzania corona ni simba wa karatasi!! Mabeberu wanataka watukopeshe pesa ili tupigane na simba wa karatasi!! Huko kwao corona ni simba halisi, kila siku anakula vichwa vya watu!! Kwa Tanzania tulimtangjliza Mungu mbele kwenye vita ya corona!! Hatukutanguliza sayansi!! Mungu akatushindia kilaini!!!!

Sasa mabeberu wanataka tuwaige wao ambao corona inawala vichwa kila siku!! Hatukubali!! Wanataka takwimu ambazo kimsingi hazipo!! Corona wa karatasi hawezi kusababisha wagonjwa wa corona wa kuweka kwenye takwimu!!

Nina wasi wasi wahusika wanaweza kushawishika kutoa takwimu za kufikirika kama kule uganda walivyoshawishika kuzika majeneza tupu yakidaiwa ni ya wahanga wa corona ili kutimiza masharti ya mkopo wa corona!! Mungu aliishinda corona Tanzania na haiwezi kurudi tenà! Wanaotaka takwimu za corona watasubiri sana!!
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,233
2,000
Umechemsha!! Hapo kwenye covid 19 umechemsha!!!! Hakuna taifa lililo salama dhidi ya corona kama Tanzania!! Mataifa mengine yanatuonea wivu!! Hapo ulipo angalia kushoto na kulia hautaiona corona!....
Hahaaaaaa! Hata siku moja mataifa mengine hayawezi kuionea wivu nchi ambayo rais wake kafa kwa COVID-19!
 

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
3,104
2,000
Mama asipokuwa makini chama chake kitamkata kwenye uchaguzi ujao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom