Sababu za wakoloni kujenga ikulu magogoni

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
ikulu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kujengwa magogoni na wakoloni ni kwa sababu za kiusalama kwamba endapo yangetokea machafuko enzi zile iwe rahisi kwa wao kukimbia kwenye handaki lililopo chini kisha kwenda baharini kupanda meli na kukimbia ndo maana baada ya uhuru mwl Nyerere alitaka ihamishiwe Dodoma lakini hadi leo imekuwa kitendawili kilichokosa mteguaji ingefaa sasa katiba mpya ingetamka kuwa ikulu iwe Dodoma lakini kwenye rasimu ya katiba iliyotoka jana hilo halipo,ni lini serikali itahamia Dodoma?
 
Dodoma kugumu.

Mambo yote yapo Dar,
Redio kubwa zipo Dar
Wabunge Dodoma,wanakwenda & kurudi Dar
RFA Bigwa wa Lake Zone

By Hamza Kalala.
 
Hapo mkubwa ni swala gumu kwa uwongoz wa kifisad kuamisha ikulu wataktwa wameweka maisha yao rehan kwahiyo labda utawala pinzan ufanye maamuzi hayo baadaye sana
 
Hilo ni jambo la kiutekelezaji zaidi kuliko kulifanya kuwa Sheria...Jaribu kufikiria tu kuwa endapo likaingizwa katika Rasimu na baadaye katika Katiba, itakuwaje pale itapotokea ulazima wa kuhamisha tena makao makuu ya nchi toka huko Dodoma na kwenda kwingineko?
 
mie nadhani katiba ingesema ikulu na makao makuu yawe Dodoma na hata kama akija rais yoyote asije kuhamisha makao makuu mfano USA katiba yao imetamka kuwa makao makuu ni Washington DC na sisi pia inawezekana pia itasaidia kupunguza msongamano uliopo Dar kwa kiwango kibubwa mfano Nigeria waliweza kuhamisha makao makuu toka Lagos hadi Abuja
 
Labda ikulu ya Tanganyika ndo ijengwe Dodoma na ile ya magogoni ibaki kuwa ikulu ya Tanzania.
 
hivi ikijengwa hata hewani itamsaidia nini mtu kama slaa mpenda starehe kufanya kazi kwa umakini?
 
mi nashauri Ikulu Ijengwe baharini kabisa iwe rahisi kuondoka huko huko
 
hivi ikijengwa hata hewani itamsaidia nini mtu kama slaa mpenda starehe kufanya kazi kwa umakini?

mwizi wa simu bana! Hukosi vituko, Zitto kashawatosa. Wenzako wamekuwa wafua gagulo za Mwigulu na Nape hadi kufunguliwa duka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom