Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
ikulu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kujengwa magogoni na wakoloni ni kwa sababu za kiusalama kwamba endapo yangetokea machafuko enzi zile iwe rahisi kwa wao kukimbia kwenye handaki lililopo chini kisha kwenda baharini kupanda meli na kukimbia ndo maana baada ya uhuru mwl Nyerere alitaka ihamishiwe Dodoma lakini hadi leo imekuwa kitendawili kilichokosa mteguaji ingefaa sasa katiba mpya ingetamka kuwa ikulu iwe Dodoma lakini kwenye rasimu ya katiba iliyotoka jana hilo halipo,ni lini serikali itahamia Dodoma?