Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,561
- 25,619
Usiongee sana mkuu Wazambia wanachukua viatu vya mtumba Nairobi na wanakuja kuuza SA Mimi nashinda road na nipo SA nilikuja na bus kabla hakujafungwa ntatoka na gari Zimbabwe ndio wamefunga mipaka na Botswana huwa wanafata matakwa ya SA wakifungua nao wanafungua na sasa hivi wanafata masharti ya SA...Truck za mafuta sasa hivi nyingi zinapakia msumbiji kwenda Kongo na Wazambia bongo wamepungua kwa sababu ya usumbufu wetu wengi wanakuja huku wengine wa viatu vya mtumba wanaenda Nairobi hata Watanzania baadhi pia maana huku vinauzwa bei kidogo zipo sababu nyingi mno nikiwa na nafasi ntaandika kwa uchache...Watu hawasafiri mkuu na kama wanasafiri ni kwa uchache sana na sababu kubwa ni mabus hayavuki boda. Mfano kulikua na Falcon na Taqwa zinaenda Lilongwe direct. Now hazifiki huko zunaishia boda na hazina abiria hata kdg.Sababu nyingine ni wengi ilikua ni rahisi kupenya hadi Dar coz mabasi yalikua yanawasaidia kupita kwenye roadblocks za immigration. Now imekua tabu sana kwa wale wasio na proper docs. Na hata ugongaji passport umekua wa tabu sana tofaut na mwanzo kabla ya Corona. Ni mambo mengi naweza elezea kwanini watu kutoka mataifa hayo wamepungua kkoo.LAKINI kwa vyovyote vile hakuna tena sana WAMALAWI NA WAZAMBIA waliokua wanafunga mzigo kkoo eti wamehamia Nairobi. Ungesema Wamehamia Tunduma au Kyela atleast kuna sababu hiyo na ina mashiko.