Sababu za Wacongo, Wamalawi na Wazambia kuikimbia Kariakoo siri hii hapa. TRA wanahusika pia

Wewe sio mfanyabiashara tulia tu, unadhani hata uwe na risiti mara utishwetishwe, mara unasikia mwenzako akaunti zake zimefungwa unafanyaje?..
Nilibwaanji! Umenikumbusha mbali Sana miaka ya 1995 enzi za kuuza via za carlsberg kutoka kasumulu nikiwa na jamaa zangu kina Saul mzee wa vipodozi! Dunia Pana hii!
 
Nilibwaanji! Umenikumbusha mbali Sana miaka ya 1995 enzi za kuuza via za carlsberg kutoka kasumulu nikiwa na jamaa zangu kina Saul mzee wa vipodozi! Dunia Pana hii!

Harakati za boda enzi hizo nadhani utakua na sigara za kurusha uliuza, hahaa maisha ya Border ni mazuri sana
 
kariakoo haitegemei wacongo mbumbu wewe. kwani muajiriwa hawezi fanya biashara, mbona una udumavu wa akili!!!

sasa ili uwe mfanyabiashara unatakiwa ujuane na wakongo au!!!! kiazi mbatata.

Hii nchi ina vilaza sana,hicho kichwa chako ni cha kuvukia barabara tu,tena usipoangalia utagongwa ufe kwani huna akili. Wewe unafikiri watu walioajiriwa wangapi wanaweza kufanya biashara?

Kila siku tunawaona wanalia lia huku wapewe idea za biashara waache kazi za wahindi. Kariakoo inahitaji muingiliano ili kuwe na mzunguko na vile vile kuitumia vizuri bandari yetu.
 
Niliziuza Sana malboro new Africa hotel na kina Mohan spirit! Sijui Kama bado wapo!

1994 hadi 1998 ilikua miaka ya kukumbukwa sana enzi ya kuvusha tumbaku ya malawi kuja kuiuza kwa wadosi wa Tanzania, watu washatoka kwenye reli tunabung’aa tu
 
Hii nchi ina vilaza sana,hicho kichwa chako ni cha kuvukia barabara tu,tena usipoangalia utagongwa ufe kwani huna akili. Wewe unafikiri watu walioajiriwa wangapi wanaweza kufanya biashara? Kila siku tunawaona wanalia lia huku wapewe idea za biashara waache kazi za wahindi. Kariakoo inahitaji muingiliano ili kuwe na mzunguko na vile vile kuitumia vizuri bandari yetu.

afadhali mimi na manage kuvuka barabara, wewe zinakusaidia kujua muda wa kula pekee.

kwahiyo kilichokufanya uhitimishe kwamba kila mwajitiwa hawezi kufanya biashara ni wao kuomba idea za biashara!!!! embu soma tena ulichoandika.

ndio maana biashara mikononi mwako inakufa, sababu akili huna bro.
 
Watu badala ya kubishana na mkuu wa mkoa mnabishana na mtoa mada....
huyo mzee kama amechoka kufikiri hiyo ni juu yake.

hiyo london ilikuwa ndio kila kitu enzi zake, lakini wakati unabadirika, hatuwezi zuia hilo.
 
Huu uzi nahitaji tujadili kwa kina nini kilitokea hadi Kariakoo imebakia kama soko la kawaida kuliko zamani.

Kwanza wafanyabiashara hapo juu wamehamia Nairobi na Kampala kufanya manunuzi yao ya zile bidhaa za dukani walizokua wanafuata kariakoo.

Kodi na hasa makadirio yalikua sio rafiki, hapa wafanyabiashara wengi baada ya kuumizwa wengi walifunga biashara au kuhamia nchi nyingine kama hivi mimi nilivohama.

WALE MNAITA TASK FORCE NA POLISI KUWASUMBUA WACONGO, WAMALAWI NA WAZAMBIA NA KUWAPOTEZEA MUDA MARA WAWAHOJI RISITI AU WAWAULIZE WAMENUNUA WAPI MIZIGO HII ILIFANYA WAONDOKE KWA WINGI.

Hapo nimeandika kwa herufi kubwa kwa sababu huo usumbufu ulikithiri na baadhi ya wafanyabiashara kupoteza mitaji na imani, lakini pia kumfuatafuata mtu hotel aliyofikia utadhani jambazi hii iliwakimbiza. Wewe mtu kafika kihalali nchini kwanini uanze kumfuata hotel aliyofikia utahisi ni mwizi au muhujumu uchumi?

Nitaendelea kutoa sababu japo mimi si mwandishi mzuri na nini kifanyike ili na sisi turudi huko kuendelea na biashara.
Mi5 tena na bado hadi muite maji mma
 
fact unaita kejeli za kitoto, uwezo wako wa kuelewa ukoje!!!!

wewe unafunga biashara nyingine zinafunguliwa, sio mwisho wa kkoo wewe kufunga biashara.

We ni mfanyabiashara wa wapi UNASEMA WAMALAWI, WACONGO NA WAZAMBIA WAMEKIMBIA KKOO?Hivi unazijua biashara za nchi hizi ulizotaja?Nikuambie tu HAKUNA MMALAWI, MCONGO AU MZAMBIA anaweza ruka kkoo na kwenda Kenya kwa sababu za ovyo ilizotaja hapo. Unachotakiwa ujue now wafanyabiashara wa hizo nchi wamepungua kkoo kwa sababu ya CORONA. Wafanyabiashara wa malawi, congo au Zambia walikua wanakuja Direct Dar kwakutumia mabus kama FALCON, TAQWA na CAPRICORN lkn now yameacha kwa ajili ya Corona. Biashara zao ni Online na wengi zimepungua kutokana na kutokua na uzoefu wa hizo biashara.
Wafanyabiashara wanasafiri tuu pamoja na kuwa corona imebana bus lipo moja la taqwa classic linaishia Lusaka kutokea daslm na pia wengi wananunua dragon city jhb kupitia makampuni ya usafirishaji mizigo ya online ni michache kuliko ya kufata mwenyewe maana wengi wanakuja na ndege wanapakia mizigo yao kwenye maroli na kurudi na ndege tena au bus ..
 
Usibishane nao hawa, wakati kuna covid test kila siku zinafanywa ili mtu usafiri tena kwa huko Bongo ili upate certificate ni karibu dola 100 hapo tayari unachanja mbuga tu kama kawaida
 
Usibishane nao hawa, wakati kuna covid test kila siku zinafanywa ili mtu usafiri tena kwa huko Bongo ili upate certificate ni karibu dola 100 hapo tayari unachanja mbuga tu kama kawaida
Kutoka Bongo sasa hivi imekua gharama sana sijui tunaiga wapi ukatili huu aisee...
 
Wafanyabiashara wanasafiri tuu pamoja na kuwa corona imebana bus lipo moja la taqwa classic linaishia Lusaka kutokea daslm na pia wengi wananunua dragon city jhb kupitia makampuni ya usafirishaji mizigo ya online ni michache kuliko ya kufata mwenyewe maana wengi wanakuja na ndege wanapakia mizigo yao kwenye maroli na kurudi na ndege tena au bus ..
Watu hawasafiri mkuu na kama wanasafiri ni kwa uchache sana na sababu kubwa ni mabus hayavuki boda. Mfano kulikua na Falcon na Taqwa zinaenda Lilongwe direct. Now hazifiki huko zunaishia boda na hazina abiria hata kdg.Sababu nyingine ni wengi ilikua ni rahisi kupenya hadi Dar coz mabasi yalikua yanawasaidia kupita kwenye roadblocks za immigration. Now imekua tabu sana kwa wale wasio na proper docs. Na hata ugongaji passport umekua wa tabu sana tofaut na mwanzo kabla ya Corona. Ni mambo mengi naweza elezea kwanini watu kutoka mataifa hayo wamepungua kkoo.LAKINI kwa vyovyote vile hakuna tena sana WAMALAWI NA WAZAMBIA waliokua wanafunga mzigo kkoo eti wamehamia Nairobi. Ungesema Wamehamia Tunduma au Kyela atleast kuna sababu hiyo na ina mashiko.
 
Usibishane nao hawa, wakati kuna covid test kila siku zinafanywa ili mtu usafiri tena kwa huko Bongo ili upate certificate ni karibu dola 100 hapo tayari unachanja mbuga tu kama kawaida
Kwa akili yako Unafikir kuna watu wanatoa 100 USD ili wasafiri?Huoni hii ni sababu ya wageni kupungua kkoo tofaut na sababu uchwara ulizotoa?
 
Back
Top Bottom