Sababu za Wacongo, Wamalawi na Wazambia kuikimbia Kariakoo siri hii hapa. TRA wanahusika pia

umejuaje sijawahi kufanya biashara yoyote!!

umefikiaje uamuzi wa kuandika sina chochite ninachokijua!!...
Wacongo wameondolewa na urasimu wa sera zenu na personal harassment wanazofanyiwa, aliyesema wewe sio mfanyabiashara kwa ulichoandika wewe ni mbumbumbu na hujui Businness area ina umia kiasi gani, wewe ni mwajiriwa tu hujui lolote
 
umejuaje sijawahi kufanya biashara yoyote!!

umefikiaje uamuzi wa kuandika sina chochite ninachokijua!....
Watu wanaolelewa wanajulikana kwa majibu yao watu tunakwambia biashara mbovu maduka yamefungwa na baadhi ya majengo yapo tupu unaleta kejeli za kitoto hapa unataka majibu gani ?
 
Wacongo wameondolewa na urasimu wa sera zenu na personal harassment wanazofanyiwa, aliyesema wewe sio mfanyabiashara kwa ulichoandika wewe ni mbumbumbu na hujui Businness area ina umia kiasi gani, wewe ni mwajiriwa tu hujui lolote
kariakoo haitegemei wacongo mbumbu wewe. kwani muajiriwa hawezi fanya biashara, mbona una udumavu wa akili!!!

sasa ili uwe mfanyabiashara unatakiwa ujuane na wakongo au!!!! kiazi mbatata.
 
We ni mfanyabiashara wa wapi UNASEMA WAMALAWI, WACONGO NA WAZAMBIA WAMEKIMBIA KKOO?Hivi unazijua biashara za nchi hizi ulizotaja?Nikuambie tu HAKUNA MMALAWI, MCONGO AU MZAMBIA anaweza ruka kkoo na kwenda Kenya kwa sababu za ovyo ilizotaja hapo. Unachotakiwa ujue now wafanyabiashara wa hizo nchi wamepungua kkoo kwa sababu ya CORONA. Wafanyabiashara wa malawi, congo au Zambia walikua wanakuja Direct Dar kwakutumia mabus kama FALCON, TAQWA na CAPRICORN lkn now yameacha kwa ajili ya Corona. Biashara zao ni Online na wengi zimepungua kutokana na kutokua na uzoefu wa hizo biashara.

Watu bado wanasafiri ukanda huu wa SADC , semi inatoka na mashudu au karanga kupeleka Nairobi halafu inarudi na mzigo wa duka direct to lilongwe, wakati zamani semi trailer hiyo ilikua inapeleka mazao Kenya inarudi tupu kuja kupakia mzigo wa Duka Tanzania fika Boda hata ya Kasumulo uulize magari yenye number za malawi nyingi zinabeba mzigo kutoka nchi gani,
 
kariakoo haitegemei wacongo mbumbu wewe. kwani muajiriwa hawezi fanya biashara, mbona una udumavu wa akili!!!

sasa ili uwe mfanyabiashara unatakiwa ujuane na wakongo au!!!! kiazi mbatata.

Wewe ni tope kichwani hauna lolote unalojua, kupoteza mteja mmoja kwenye biashara kuna athiri mtiririko wa mapato sio ya mmiliki wa biashara tu hata ulipaji wa kodi, sasa kamueleze hayo maneno mkuu wa mkoa wa Dar aliyesema kariakoo inakufa halafu umweleze wewe ni mbumbumbu mwanakijiji wa uswekeni huko na hujui lolote juu ya international trade
 
Watu wanaolelewa wanajulikana kwa majibu yao watu tunakwambia biashara mbovu maduka yamefungwa na baadhi ya majengo yapo tupu unaleta kejeli za kitoto hapa unataka majibu gani ?
fact unaita kejeli za kitoto, uwezo wako wa kuelewa ukoje!!!!

wewe unafunga biashara nyingine zinafunguliwa, sio mwisho wa kkoo wewe kufunga biashara.
 
Watu bado wanasafiri ukanda huu wa SADC , semi inatoka na mashudu au karanga kupeleka Nairobi halafu inarudi na mzigo wa duka direct to lilongwe, wakati zamani semi trailer hiyo ilikua inapeleka mazao Kenya inarudi tupu kuja kupakia mzigo wa Duka Tanzania fika Boda hata ya Kasumulo uulize magari yenye number za malawi nyingi zinabeba mzigo kutoka nchi gani,
Unaongea vitu usivyovijua mkuu.Wafanyabiashara waliokua wanajaa kkoo kutoka hizo nchi USAFIRI WAO ULIKUA MABUS. Elewa nachokuambia na ndio UKWELI wenyewe. Hakuna mfanyabiashara wa kwenda kkoo alikua anategemea semi hata siku moja. Na kingine tena inatakiwa ujue mfano hela ya malawi imeshuka sana yaani sana,So kwenda Dar now ni gharama na hakuna Faida.Now mfano vitenge wengi wanaenda Zambia ambapo ni nafuu ingawa Quality bado iko chini.Hujui mengi kuhusu biashara za hizi nchi unazoongea.Ukikutana na wanaofanya hizo biashara watakushangaa sana
 
Wewe ni tope kichwani hauna lolote unalojua, kupoteza mteja mmoja kwenye biashara kuna athiri mtiririko wa mapato sio ya mmiliki wa biashara tu hata ulipaji wa kodi, sasa kamueleze hayo maneno mkuu wa mkoa wa Dar aliyesema kariakoo inakufa halafu umweleze wewe ni mbumbumbu mwanakijiji wa uswekeni huko na hujui lolote juu ya international trade
kwa akili zako kila biashara inayoanzishwa haitakiwi ife, kwa gharama zozote zile.

maana ikifa tu basi ni sera mbovu zimeiua, as if hakuna wafanua biashara wengine eneo hilo. biashara sio ndala kila mtu zitakaa mguuni, elewa hilo kwanza.

kuniita matope sijui siagi, hakukuongezei uhai wa baishara zako.
 
Unaongea vitu usivyovijua mkuu.Wafanyabiashara waliokua wanajaa kkoo kutoka hizo nchi USAFIRI WAO ULIKUA MABUS. Elewa nachokuambia na ndio UKWELI wenyewe. Hakuna mfanyabiashara wa kwenda kkoo alikua anategemea semi hata siku moja. Na kingine tena inatakiwa ujue mfano hela ya malawi imeshuka sana yaani sana,So kwenda Dar now ni gharama na hakuna Faida.Now mfano vitenge wengi wanaenda Zambia ambapo ni nafuu ingawa Quality bado iko chini.Hujui mengi kuhusu biashara za hizi nchi unazoongea.Ukikutana na wanaofanya hizo biashara watakushangaa sana

Kamueleze hayo mkuu wa mkoa wa Dar ndio mtaelewana, tatizo lipo watu wanaeleza na limetukumba wewe kosa ujadili kwa utaratibu unaleta maneno, kwa nini iwe rahisi kwenda kununua bidhaa Nairobi kuleta Malawi kuliko Tanzania iliyo karibu?
 
Tatizo lako liko kwenye umasikini wa akili. Unahangaika na mambo usiyo yajua. Unalo ona ni kwamba qakongo na wazambia hawapo. Kwamba mambo yamebadilika hilo hujui. Kwani Unafikiri Tump na Zi ji Ping walikuwa wanagombana kwa nini? Na mambo hayo hayo ya kutaka vya bure.

Kila siku Rais anakuambia kuwa watu walizoea vya bure na kuifanya Tanzania shamba la bibi wewe nasikitika huuelewi kitu na hutaki kusikia kitu chochote.

Biashara gani unaijua wewe falah wa Bongo na mnuka jasho la uswahilini?

Kakojoe ulale dogo
 
Nakueleza wewe ambaye hujui biashara za hizo nchi na naamini hata nikikuuliza change boda ya tunduma au Songwe ni ngapi hujui.
 
Wewe ni mtu wa porini huwezi kufanana na mimi iwe exposure au hata biashara paka wewe hiyo ulaya umefika lini mbwa kama wewe.
Hata kama nisingeijua Ulaya mambo unayo yato yanaonyesha kuwa hujui kitu. Sijui biashara gani unamaanisha? Nafikiri unamaanisha biashara za migombani labda.

Eti exposure. Unachekesha sana. Exposure gani unayo wewe Cockroach? Exposure ya uchuuzi wa bidhaa fake za kichina ndiyo kwako exposure? Au unamaanisha exposure ya kulijua sokao la Kariako? Mbwiga pori wewe.
 
huyo ni kilaza mnene.

angalia uwezo wake wa kujenga hoja.
utajua ndiy yale mafanua biashara yanayoamini katika uchawi. na sio uwekezaji na kujituma.
 
Kuna mtu juzi kanunua mzigo sehem akapewa risit tofauti. Hawa jamaa wapunguze kodi la sivyo kodi nyingi wanakwepa.
 
Tatizo lako liko kwenye umasikini wa akili. Unahangaika na mambo usiyo yajua. Unalo ona ni kwamba qakongo na wazambia hawapo. Kwamba mambo yamebadilika hilo hujui. Kwani Unafikiri Tump na Zi ji Ping walikuwa wanagombana kwa nini? Na mambo hayo hayo ya kutaka vya bure.

Kila siku Rais anakuambia kuwa watu walizoea vya bure na kuifanya Tanzania shamba la bibi wewe nasikitika huuelewi kitu na hutaki kusikia kitu chochote.

Biashara gani unaijua wewe falah wa Bongo na mnuka jasho la uswahilini?
huyo mpaka apelekewe moto ndio akili zinatulia, ni kiazi kizito.

angalia hilo tusi, halafu ukute kuna mtu anamtegemea kama mume na baba wa nyumbani.
 
Nakueleza wewe ambaye hujui biashara za hizo nchi na naamini hata nikikuuliza change boda ya tunduma au Songwe ni ngapi hujui.

Leo 100K imekua tsh. 10500 na 50K uigawe hiyo mara mbili uliza kingine
 
huyo mpaka apelekewe moto ndio akili zinatulia, ni kiazi kizito.

angalia hilo tusi, halafu ukute kuna mtu anamtegemea kama mume na baba wa nyumbani.

Angeanza ustaarabu tungeongea lugha ya staha lakini kumtukana mtu inabidi akutukane ndio muende sawa, ukitumia lugha ya staha tutakujibu staha ukileta matusi tunabalance hivo hivo
 
Sasa mbona unaandika utopolo?Unajua hata biashara ya South Africa na malawi na Zambia imeshuka pia?

Unachanganya sababu za corona na malalamiko ya kibiashara na sera mbovu na hatujaanza kulalamika leo au kukuta pesa kwenye akaunti mkazifungia ni sera yenu pia? Utitiri wa kodi hilo tuunge pia mkono?

Fremu moja ya kariakoo aje TRA achukue hela, Waje OSHA wachukue hela, Waje zimamoto Wachukue, waje Manispaa Wachukue hela, Waje Ulinzi shirikishi wachukue pesa, bado ikiwemo mzigo wa kutosha ufuatwe usiku au tuandike yote ndio mtaelewa tutoe na uozo wote kabisa
 
Back
Top Bottom