sababu za Taifa stars kupoteza mechi ya leo-laana ya vifo huko arusha

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Tukio la kupigwa mabomu kwa watoto na kina mama huku arusha na vyombo vya serikali kutoonyesha empathy kwa waathirika ni laana kubwa ambayo itaitafuna timu yetu ya Taifa leo hii.

TBC ilishindwa kurusha live tukio la bomu lakini sasa hivi inatuonyesha mpira.

Naungana na ndugu wa marehemu na majeruhi kuilaani timu yetu ya taifa ili ipoteze mechi hii kwa kufungwa magoli matano na zaidi ili tujifunze kuheshimu utu wa wanadamu wenzetu.

RIP kwa marehemu wote!
Poleni majeruhi na wahanga wa bomu huko arusha!
 
Inahusiana nn na vifo hvy? Ujinga w wanachadema na uvivu wa kufikiri huo
 
Naona siasa ishakuharibu kijana.. kila kitu wewe siasa tu
 
Naona siasa ishakuharibu kijana.. kila kitu wewe siasa tu

mkuu kuna mambo hayakuwahi kudhaniwa kuwa yatatokea hapa tanzania lakini sasa yanatokea na sisi tunataka kuyachukulia ni mambo ya kawaida tu.
 
Ni kweli bora tumefungwa kwani hatukuonesha uzalendo kwa kuwakumbuka marehemu wa arusha.
 
sio vifo vya arusha tu, lakini Taifa lina laana, tujitafakari , tujisahihishe hakuna tutakalofanikiwa kwa jinsi tulivyofitinika
 
Back
Top Bottom