Sababu za miaka 50 ya uhuru wa Tz na Mwanamke wa TZ hizi hapa: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za miaka 50 ya uhuru wa Tz na Mwanamke wa TZ hizi hapa:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WanawakeLive, Nov 21, 2011.

 1. W

  WanawakeLive Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani sis kama wanawake wa tz tuna sababu yakusherekea miaka 50 ya uhuru? Tumefanikiwa nini mpaka sasa?
  kama kuna chochote tumenufaika toka uhuru mpaka sahivi tukiseme...
   
 2. m

  mwanamke1 Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafasi ya mwanamke ktk jamii,ktk kipind hiki cha uhuru mwanamke amefanikiwa ktk nyanja tofauti kwanza kabisa m'ke amesaminiwa amepewa wadhifa wa kuwa kiongozi

  Ni tofauti na zaman mwanamke alinyanyaswa kwamba hawezi lolote

  Kwaivyo kipindi hichi ni kipindi cha sie wanawake tujivunie tunaweza
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Haya ngoja sisi wanaume tuwaachie uwanja...
   
Loading...