SABABU ZA Mhe. Askofu Gwajima kumkabili Mhe Gambo

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,842
1,148
Wanajamvi

Katika salamu za pole kwa kuondokewa na Mwasisi wa Chama cha Chadema na aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Ndesa Pesa.

Mhe Baba Askofu Gwajima aka Mzee wa kusaga na kukoboa / unawasha moto wakati huna magari ya kuzima moto.

Alimkemea Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kama ni yeye alihusika Mhe. Godbless kutotoa salamu ktk Msiba wa ajali mbaya iliopoteza dreva, walimu na Wanafunzi Lucky Vicent.

Je kwanini Baba Askofu Alimkemea Mhe Mrisho Gambo akitumia maneno ya kushinda Kesi asubuhi, "Kama ni yeye alihusika"

Nimewazua

1.Anataka tusijenge Taifa siasa zinaathiri mambo mengine kwenye maisha yetu.
2.Kuensdeleza Umoja wetu na undugu bila kuathiriwa na siasa.
3.Ambayo nimeona ni Kubwa zaidi na iliyonipelekea niandike Uzi huu ili tujadili nyuma ya pazia kuna nini?
A.Yamkini anataka Mhe. Gumbo amjibu ili aanze naye kama alimvyomkabili Mkuu wa Mkoa wa Dar ambapo kwa sasa kisiasa nyota yake iliyokuwa inangaa kuelekea kuja kuwa Waziri mkuu inapoteza muelekeo.
B.Yamkini ana taarifa za Gambo ambazo atuzijui kwa ile falsafa yake nitampiga nikikueleza historia yake Baba, Mama na tabia zake.
II. Nimekumbuka ile kesi iliyotikisa ya Mhe Gambo na Mwanasheria mama kuhusu elimu yake alivyoipata Tanga.
III. Matumizi ya rambi rambi
Ç.Yamkini anataka amfanye kama Makonda kisiasa maana Mhe Gambo ameonekana Arusha akiwaendesha kama Dar ES salaam ya mti wangu.

Kama sababu sio hizi

Je ni zipi??

1.Tujadili
2.Kama natania hebu tumjaze Maneno Mhe Gambo amjibu tusipomsikia naye amelia Kanisani

Hivyo tukiwa tunamsubiri Mhe. Gambo adanganywe amjibu Mzee wa kusaga na kukoboa hebu tujadili why Baba Askofu kamuibukia mpaka Moshi??
1a0a3a8eb1b9d5e40e6f2796a1ead42b.jpg
 
Yote uliyoyanena ni sawa kabisa, huyu askofu kuna mda huwa anajenga na kuna mda anabomoa
Cha msingi ajue nafasi yake katika jamii hilo ndo la msingi
Na declare interest sina chama cha siasa
 
Kiongozi wa kiroho ana nguvu sana. Dogo hawezi kufungua mdomo anajua gwajima akiliamsha dude arusha hakukaliki.
 
Wanajamvi

Katika salamu za pole kwa kuondokewa na Mwasisi wa Chama cha Chadema na aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Ndesa Pesa.

Mhe Baba Askofu Gwajima aka Mzee wa kusaga na kukoboa / unawasha moto wakati huna magari ya kuzima moto.

Alimkemea Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kama ni yeye alihusika Mhe. Godbless kutotoa salamu ktk Msiba wa ajali mbaya iliopoteza dreva, walimu na Wanafunzi Lucky Vicent.

Je kwanini Baba Askofu Alimkemea Mhe Mrisho Gambo akitumia maneno ya kushinda Kesi asubuhi, "Kama ni yeye alihusika"

Nimewazua

1.Anataka tusijenge Taifa siasa zinaathiri mambo mengine kwenye maisha yetu.
2.Kuensdeleza Umoja wetu na undugu bila kuathiriwa na siasa.
3.Ambayo nimeona ni Kubwa zaidi na iliyonipelekea niandike Uzi huu ili tujadili nyuma ya pazia kuna nini?
A.Yamkini anataka Mhe. Gumbo amjibu ili aanze naye kama alimvyomkabili Mkuu wa Mkoa wa Dar ambapo kwa sasa kisiasa nyota yake iliyokuwa inangaa kuelekea kuja kuwa Waziri mkuu inapoteza muelekeo.
B.Yamkini ana taarifa za Gambo ambazo atuzijui kwa ile falsafa yake nitampiga nikikueleza historia yake Baba, Mama na tabia zake.
II. Nimekumbuka ile kesi iliyotikisa ya Mhe Gambo na Mwanasheria mama kuhusu elimu yake alivyoipata Tanga.
III. Matumizi ya rambi rambi
Ç.Yamkini anataka amfanye kama Makonda kisiasa maana Mhe Gambo ameonekana Arusha akiwaendesha kama Dar ES salaam ya mti wangu.

Kama sababu sio hizi

Je ni zipi??

1.Tujadili
2.Kama natania hebu tumjaze Maneno Mhe Gambo amjibu tusipomsikia naye amelia Kanisani

Hivyo tukiwa tunamsubiri Mhe. Gambo adanganywe amjibu Mzee wa kusaga na kukoboa hebu tujadili why Baba Askofu kamuibukia mpaka Moshi??
1a0a3a8eb1b9d5e40e6f2796a1ead42b.jpg

Gambo ndio nini na unamuhitaje mh?
 
Hivi hakunaga watu wenye busara kuwateua kuwa ma RC
 
Hi ni nani huwa anamshonea gwajima hivo vijamba_koti vyake
 
Back
Top Bottom