Nakumbuka kipindi nafundisha O'level shule flani ya private,form1 tulikua na mchanganyiko yaan wale waliosoma medium schools na shule za kawaida,miezi sita ya mwanzo ilikua rahisi kuwatambua lakini baada ya likizo ya mwez wa saba huwez tena kujua huyu kosoma medium au la,mbaya zaidi matokeo ndo yaliyowafanya wale wa medium schools kujiona hawana maana tena baada ya kubwagwa na wale waliotoka shule za kawaida.
Kwa kweli Kingereza sio elimu bali ni Lugha tu,wazazi wengi hujisifia et watoto wao wanaelimu hasa wanaposikia watoto wao wakiongea kiingereza.
Nakumbuka kulikua na watoto walikua anaongea kiingereza vizuri sana,lakini ukiwapa maswali hawawezi kuyajibu,kuandika tu ilikuwa ni tatizo na hatimaye waliferi wakarudishwa kwa wazaz wa ili wawatafutie shule nyingine kwan average zao zilikua ndogo mno kuendelea na ile shule.
Hivyo wadau ni kua makini haswa unapotafuta shule bora,usipime ubora wa shule kwa kuangalia lugha!.