Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Unajua bei ya kitabu chenye subtopic moja ya physics mkuu
Kuna jamaa anaitwa Richard kayombo alikuwa tanzania one masomo ya pcm.
Sasa hivi ukimuangalia ukipanha wake hauendani na life anayoishi kabisa. Anauza vitabu tu vya physics sina uhakika kama vinamlipa wakati watu ambao uwezo wao darasani hasa secondari ulikuwa mdogo sana ndio hasa hawa maprof na madoctor wa vyuo.
Kwa nini vipanga wengi hawatoboi lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani naona kila mtu anakamata mmnyonge wake ngoja namimi numtafute mmoja humu
 
Hahahahaaaaa we kilaza kweli, Fernandez alishindwa na hakupewa mkataba wa kuajiriwa na microsoft
Bongo Vilaza wengi eti na Microsoft Gates Foundation Leo imekuwa Microsoft

 

Attachments

  • IMG_20190126_160910.jpeg
    IMG_20190126_160910.jpeg
    110.7 KB · Views: 50
  • IMG_20190126_160910.jpeg
    IMG_20190126_160910.jpeg
    110.7 KB · Views: 46
Back
Top Bottom