Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Absolutely unajua binafsi mimi sikuwahi kua mwenye uwezo saaaaana ila nachojua O level nilipata kijiti. Na A level nilipata kijiti cha PCB .

Sasa utajiuliza mafanikio yangu niyapi?? Aisee ukweli nikwamba Toka nikiwa mdogo nilikua nikitaman kuja kua MD yaan hii kitu ndio ilikua sehem ya fanikio langu kubwa yaan just feel proud kua nilivyo na raha yangu zaidi ni kuona Jamii inanufaika kwa elimu yangu .

Hayo ndio mafanikio yangu ya kimaisha wala sijawah kuota kua Kama akina Mengi, Manji ,Bakhresa n.k sana sana nataka kurekebisha vitu baadhi kwa ajili ya " mke na wanangu wajao" basiiii. !!

Sasa wote tukiwa maboss nani atamsaidia mwenzake ??

We earn money to be happy
We fall in relationship to be happy

Tumekua vile tulivyo so that to be Happy.

Hivo kwangu mimi HAPPINESS ndio kila kitu
Yap, kuna entrepreneurs na working class na minimum wage labourers, level za society hizo, so very bright mind zikiwa entrepreneurs ndo unakutana na akina gates na zuckerberg na buffet, ila zikiwa white-collar working class unakutana na akina majority ya hiyo population, ila hamna minimum-wage working class ya bright minds, haijawah kutokea
Education wanavyosema ni key to success ni kweli, maana kuna watu niliosoma nao walikua na mentality ya "kusoma bongoo, mchawi pesa, mbona kuna watu hawajasoma wana pesa" sahv nakutana nao kitaa tu wengine mateja.
 
You don't want it with me ho, you hear me? You don't want it with me.

Consider yourself

Fairly warned, I'm barely warmed
I'm rarely scorned, but don't get that prone
I project that cone, trigonometry domed
Triangulation zone, strangulation honed
It's a long way home, and you're all alone
I'll break your bones, without sticks or stones
And ain't one of your everyday clowning clones
Next, squarely burned, you girly worm
I'll turn, kick a style that's unborn
Til you're gone, they beg me "leave that azz alone"
Screw it, provocation, I knew it
Me? I don't do it, I overdo it
Kiranga tsunami, not mon-ami, one man army
Some calm me, I slug you just to keep the heat balmy
Eco-bar shit, Escobar spits, try harm me
Jiu-jitsu moves over this smooth groove
To soothe, these Sun-Tzu Kung-Fu hooves
I rhyme artfully, slime factfully
I chime for coolies and nick and dime fat bullies
You blew it, I slew it, got your ass chewed
I cut the flesh, take the blood, over-Shylock, Jew it
Til you confess, I'm your dad, murderous, Chi-Raq sew it
You sewage, manure, poo-poo, bowels
I spit on your face, coocoo, while dropping jelews
Just because I chose to chill, that doesn't mean I can't kill
Thrill, you ain't done the needed drill, ain't paid your bills
I will smother you to smithereens, gang on you to gangrene
To the chagrin of the gong of Mandarin
You green bean, take a punch to the chin
Test the rocket launcher, think you're smart don'tcha?
Those kids who fought ya, pussy that's mocha
I dismember your pinky with a nuclear fetish that's kinky
Then throw you in the dingy make a search party go stingy
Your horror will be thorough before tomorrow
I rep the five boroughs, the Wu meets Zorro
I blast ya, harass ya, fingerfuck, crass yaah
Crush ya, crash ya, blood clot raas ya...
HKL tafadhari msaada tutan....!!!!!
 
Nakumbuka wakati tukisoma sekondari kuna jamaa zangu walikuwa hawajiwezi kabisa lakini sasa wao ndio wanamiliki maghorofa mjini huku sisi tukiendelea kusaga lami. Ama kweli kufaulu shule sio kufaulu maisha.

Ukitaka kuamini hili tazama maisha wanayoishi maprofesa ukilinganisha na wanafunzi wao, tena waliodisco. Ndipo utagundua ni bora kuwa kilaza kuliko kuwa genius.
 
Kama unaamini kufanikiwa kimaisha ni kuwa na magari hela na nyumba hapo umefel na ndio wanaokufa kwa depression wenye izo mindset "I think everybody should get rich and famous and do everything they ever dreamed of so they can see that it's not the answer" jim carrey
 
Nakumbuka wakati tukisoma sekondari kuna jamaa zangu walikuwa hawajiwezi kabisa lakini sasa wao ndio wanamiliki maghorofa mjini huku sisi tukiendelea kusaga lami. Ama kweli kufaulu shule sio kufaulu maisha.

Ukitaka kuamini hili tazama maisha wanayoishi maprofesa ukilinganisha na wanafunzi wao, tena waliodisco. Ndipo utagundua ni bora kuwa kilaza kuliko kuwa genius.
Mi naona mtaan kwenu mambo yapo tofauti na mtaan kwetu, maana huku waliofeli ndo wezi, mateja wa road, wengine nishawazika kwa wizi, sasa labda wangeishi mtaan kwenu wangetoboa maisha
 
Ila kwanini ma prof wa bongo wana maisha ya kawaida sana ingali wanalipwa almost 6+ million per month...
 
Mi naona mtaan kwenu mambo yapo tofauti na mtaan kwetu, maana huku waliofeli ndo wezi, mateja wa road, wengine nishawazika kwa wizi, sasa labda wangeishi mtaan kwenu wangetoboa maisha
Mkuu sio mtaani kwetu tu. Huu ukweli una-apply mahali popote pale.
 
Hawana lolote hawa walikuwa wanatubania tuu nafasi ya kwanza na kujifanya kukokotoa hesabu ngumu, lakini wakishamaliza vyuo kwenye maisha wanakuwa wa kawaida tuu, hawana contribution yoyote itakayowaonyesha kuwa sio wa kawaida
 
Napingana na point yako. Ukikrem ni rahis sana kusahau kuliko ukielewa. Wakati niko chuo, kuelewa kitu kuliniokoa sana maana nikielewa kusahau ni ngumu kuliko kukremu.

Nikikrem lazima nisahau tu haina namna

Inaonekana hujaelewa hoja yangu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom