Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
9,024
Likes
16,018
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
9,024 16,018 280
Ww Basha wako akija hapa unajifanya kuingia shimoni kwako akiondoka unaanza kubinua binua huto tu kalio twako kwa ile style yako unapotaka kujamba.Mbiliabeli mkubwa we,
Afterall uache tabia za kihanith kuja kujisifia sifa za watu wengine,ooh nilipata Sijui 1 ya 7 nikaongoza miongoni mwa wanaojamba mashuzi yanayonuka sana ooh mara sijui nilitiwa kidole ushuzi ukatoka.Kiufupi unachafua cheo cha ma Engineer kwa kwani ww sio Engineer,ni Popindi mmoja tu unayewasumbua watu na sifa zako za kishamba.Mm kuanzia Leo nakupa jina jipya ww ni @CCNP Mjjamba ovyo.Na ukiendelea kuleta fyokofyoko tunamwita mumeo aje akutibu maana unaonekana unawashwa.
Hahahaha nimecheka sana
 
U

Uguswelana

Senior Member
Joined
Dec 9, 2018
Messages
106
Likes
198
Points
60
U

Uguswelana

Senior Member
Joined Dec 9, 2018
106 198 60
Kuna jamaa anaitwa Richard kayombo alikuwa tanzania one masomo ya pcm.
Sasa hivi ukimuangalia ukipanha wake hauendani na life anayoishi kabisa. Anauza vitabu tu vya physics sina uhakika kama vinamlipa wakati watu ambao uwezo wao darasani hasa secondari ulikuwa mdogo sana ndio hasa hawa maprof na madoctor wa vyuo.
Kwa nini vipanga wengi hawatoboi lakini?
 
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
547
Likes
683
Points
180
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
547 683 180

Uzuzu wako peleka Facebook hapa hatujadili maisha ya watu
 
Makosa

Makosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
1,205
Likes
2,396
Points
280
Makosa

Makosa

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
1,205 2,396 280
Tanzania watu waliokuwa wanapata A darasani huwa hawati hiyo kwenye uhalisia wa maisha.

Wale waliokuwa wanasoma kawaida tu bila kujitesa ndio angalau wana maisha ya "kujimudu".
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,378
Likes
1,023
Points
280
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,378 1,023 280
Richard si ndiyo yule bosi wa TRA we dogo
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
8,275
Likes
9,894
Points
280
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
8,275 9,894 280
Kihombo kanisaidia nifike hapa

Mungu ambariki
 
Z

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
445
Likes
582
Points
180
Z

ze farmer

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
445 582 180
Mfumo wa elimu Tanzania n wa kimaskini sana na hauzingatii katika kujenga uwezo
 
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
547
Likes
683
Points
180
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
547 683 180
Sio vizuri changia maada kama huwezi usifanye hivo
Weka katika namna ambayo hutataja jina la mtu Kama anaishi vibaya au vizuri ni maisha yake private,unaanzaje kutaja Jina la mtu kuwa anaishi maisha ya dhiki ??? We kwa akili zako huoni umekosea??
 
varangati

varangati

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Messages
1,702
Likes
1,491
Points
280
Age
29
varangati

varangati

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2017
1,702 1,491 280
Weka katika namna ambayo hutataja jina la mtu Kama anaishi vibaya au vizuri ni maisha yake private,unaanzaje kutaja Jina la mtu kuwa anaishi maisha ya dhiki ??? We kwa akili zako huoni umekosea??
Ni kweri amezingua Sasa ungemwambia hivo angekuelewa....ungempasha kwa maneno haya ambayo umeniambia Mimi....sio vile mkuu
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,218
Likes
5,104
Points
280
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,218 5,104 280
Kuna jamaa anaitwa Richard kayombo alikuwa tanzania one masomo ya pcm.
Sasa hivi ukimuangalia ukipanha wake hauendani na life anayoishi kabisa. Anauza vitabu tu vya physics sina uhakika kama vinamlipa wakati watu ambao uwezo wao darasani hasa secondari ulikuwa mdogo sana ndio hasa hawa maprof na madoctor wa vyuo.
Kwa nini vipanga wengi hawatoboi lakini?
Richard Kayombo au Elias Kihombo,yupo wapi huyu jamaa
 
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
423
Likes
316
Points
80
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
423 316 80
CCNP Engineer

Mimi olvl nilipiga A kumi na nikawa TO
Advance nikagonga PCM nikacharaza 1.3, TO
Chuo nikapiga GPA 4.9.

Sasa ivi nafanya mtandao flan wa sim nakula net usd 15,000/month.

Suala la vyeti pambana na mimi hatua ya makundi ili mshindi ndio akabishane na mtoa uzi.
 
Forum statistics

Threads 1,262,317
Members 485,560
Posts 30,120,628