Sababu za kuwa na nyumba ndogo

Mapenzi ni kushirikiana,kukumbushana na si kutegeana.
Funzadume unayosema hata sisi wanawake tunawalalamikia nyie ..
Mbona sie hatutafuti nyumba ndogo kama nyie?
Ya ukweli hayo bidada? mbona nyuzi humu zinaongezeka zinazosema mke wa mtu ananitaka! na sisi tunashauri mke wa mtu ni sumu kimbia,hao wanaowataka waume za watu ni akina nani,nashauri jisemee nafsi yako usimsemee jirani yako.
 
Hapa dawa naona vifunguliwe vyuo watu wajifunze kwa pesa ndo wataelewa maana kitchen party kwa kuwa ni za bure wanasikiliza kisha wanayaacha hapo hapo,wakilipia watafanyia kazi.
 
Ya ukweli hayo bidada? mbona nyuzi humu zinaongezeka zinazosema mke wa mtu ananitaka! na sisi tunashauri mke wa mtu ni sumu kimbia,hao wanaowataka waume za watu ni akina nani,nashauri jisemee nafsi yako usimsemee jirani yako.

Ni hao mnaowatenda wanakosa uvumilivu na kuamua kufanya revenge,Ingawa sio jambo jema
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha

na wewe unafidiaje mahari ya Laki tano mpaka milioni,,Mie hapo ndio mnanichosha?
yaani hiyo hela nadhani hata ukitaka mkeo akirudishie anaweza..
So swala la mahari tuliache kama ni lilivyo
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha

Wanawake wanaandamwa sana, hata wanaume pia muwe wabunifu kwani hata nyie mna maudhi yenu ambayo yanaweza kusababisha mke kuwa na mchepuko pia!
 
Mwanaume firauni ni firauni tuu hata ukimlamba m....u,mbona tunawaona huku mitaani!!!
 
Hilo ni neno aisee. Kinachoboa zaidi ni pale unapoomba maboresho then kukawa na negative response.
 
Hakuna sababu yoyote ya kuwa na nyumba ndogo, ila ni pepo la uzinzi tu ndo linawasumbueni na kuwasaidia kuhalalisha uzinzi!
 
Ni hao mnaowatenda wanakosa uvumilivu na kuamua kufanya revenge,Ingawa sio jambo jema
Anayefanya revenge wakati kaolewa hajui kuwa kaolewa? Ni bora akarudi kwao kwanza kama kakwazwa ili mmewe aende wayazungumze badala ya ku-revenge.Mfumo dume tutaumaliza kisiasa huku nje unaamia mioyoni mwa wanaume,kama huu utaratibu wa mwanamke kuhamia nyumbani kwa mwanaume unaoitwa kuolewa utaendelea basi tuendeleze unyenyekevu.Ila na sisi wanaume tuwapende wake zetu wanaotunyenyekea,hapo ndoa lazima zitadumu.
Msalimie mkuu wa nchi mwambie asitishe BMK haraka iwezekanavyo hatutaki maandamano.
 
Mwanaume firauni ni firauni tuu hata ukimlamba m....u,mbona tunawaona huku mitaani!!!
Dah! Avatar yako imenikumbusha,wimbo ule wa 'akanana kaile kona...''Asante mkuu maana nina siku nyingi sijaona hii kitu.
ungetaja jinsia zote mbili ingekaa poa,mbona pale ohio street,pale karibu na aghakan Hosp. sinza kwa lemi ucku wanaosimama barabarani na vinguo ni ke? sasa hapo firauni nani?
Mi nadhani mke wa mtu ajitambue asiweke vimitego kutega waume za watu na waume za watu wajitambue wakiwekewa mitego wasepe haraka japo inataka moyo,hapo mambo byee kabisa.
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha

Kwanini usimwambie mkeo abadilike?Chanzo kikuu cha nyumba ndogo ninachokujua ni wanaume kupata kipato zaidi maana wakati mnalala chumba kimoja kama stoo mnakuaga na upendo.ukisha pata pesa ya kuhonga na kivits ndo visa vinaanza.huko small house unapewa mahaba kwa pesa yako.ukifirisija au ukaachishwa kazi.mkeo utamuona mkali tena.
 
Cc; Bulldog
 
Wanaume hawajisahau eeh?! Kama huwasiliani na mwenzio kujua unachotaka yeye ataota?! Hebu tupe break wanawake.
Pia ujue miguno ya mahaba inaendana na mapenzi ya mahaba siyo kushindilia tu..Kama unahusudu nyumba ndogo hata upewe nini hutaridhika.
Ndoa inahitaji uvumilivu,upendo,heshima na kupepewa kutoka pande zote yani wanaume&wanawake, siyo tu wanawake!!

Cc; mkuu Bulldog
 
Back
Top Bottom