Kutokua Na uaminifu
Usaliti
Uongo
Dharau
Kutosahau yaliyopita
Kuchunguza yasiyokuhusu
.
.
.
.
N.k
Sisi tuisome namba tu, hakuna namna nyingineMbona umetaja nyingi hivyo, wenzio tutaje nini sasa?
Kutokua Na uaminifu
Usaliti
Uongo
Dharau
Kutosahau yaliyopita
Kuchunguza yasiyokuhusu
.
.
.
.
N.k
Hahahhahhahahha nimekuachia dots hizo maliziaMbona umetaja nyingi hivyo, wenzio tutaje nini sasa?
Hahahhahhahahha nimekuachia dots hizo malizia
Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea hukoKwa kweli to be honest hii sijaielewa!!.....Kwangu mimi imejaa ukakasi,walakini,machale,hofu na wasiwasi!!
Lol so nitumbuliwe??Haya bana. Huo nao ni ufisadi.
Wewe mwanamke kuchat na wanaume wengine na hatimae kuishia kutongozana huko whatsapp,facebook,SMS,badoo,hi5 e.t.c hainihusu???Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea huko
mbona umesahau hiyo?Usaliti
Uongo
Lol so nitumbuliwe??
We pekua tu ndio Yale ya ukitafta lisilokuhusu utakumbana Na likalokukera zaidiWewe mwanamke kuchat na wanaume wengine na hatimae kuishia kutongozana huko whatsapp,facebook,SMS,badoo,hi5 e.t.c hainihusu???
Mweeeeh nakuruhusuNiruhusu.