Sababu za kuvunja uhusiano

Kukumbushia mambo ya nyuma kila mkipishana kauli...Kutaka tuwe 50% 50%( Basi ningemuoa bure, maana alivokua ana force nijitambulishe, nitoe mahari na kufunga ndoa mpaka nikamuonea huruma nikafanya yote , ila sasa najuta maana imekua familia ya kambare kila mtu ana ndevu)...Na ma group yao kwenye mitandao ya kijamii nowdays sijui wanajiita"women with visions, wanawake huru n.k" wanadanganyana humo.kwa kifupi ambao hamjaoa jipangeni sana.
Poleeee mkuu daaah inabidi sharubu za kambaaleee mmoja zikatwe
 
Mkuu jitahidi kuonyesha kwamba wewe ni dume la Simba akilete ukambare we unamla kwa makofi ya haja.
Kukumbushia mambo ya nyuma kila mkipishana kauli...Kutaka tuwe 50% 50%( Basi ningemuoa bure, maana alivokua ana force nijitambulishe, nitoe mahari na kufunga ndoa mpaka nikamuonea huruma nikafanya yote , ila sasa najuta maana imekua familia ya kambare kila mtu ana ndevu)...Na ma group yao kwenye mitandao ya kijamii nowdays sijui wanajiita"women with visions, wanawake huru n.k" wanadanganyana humo.kwa kifupi ambao hamjaoa jipangeni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom