Sababu za kutofanikiwa kukuza biashara Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za kutofanikiwa kukuza biashara Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Mar 23, 2012.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Niaje? Kwasasa nafanya research kujua ni vitu gani vinasababisha watu binafsi kushindwa kufanikiwa kujenga biashara zenye mafanikio. Ni vitu gani au matatizo gani yanasababisha watu kushindwa kuanzisha biashara zenye mafanikio?

  Asanteni
   
 2. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  1.Sera mbovu za serikali.
  -Matsushita kiwanda kilichokua kinatengeneza betri kilikufa kifo cha mende baada ya wachuzi kuanza
  kuingiza betri kutoka nje.Nchi nyingi huwa zinajaribu kulinda viwanda vya ndani lakini kwa Tanzania ni vice versa.
  -Mkulima wa mahindi huko Iringa baada ya mavuno angependa auze mahindi popote apendapo ili apate faida,lakini
  serikali itakuambia hakuna kuuza mahindi nje.

  2.Miundo mbinu mibovu na siasa katika suala la umeme.

  3.Urasimu kila idara
  Bandari,TRA,Brela,nk.

  4.Mikopo isiyokua na mvuto.
  -Nchi nyingi zilizoendelea interest rate ya business loan ni kati ya 2%~7%,
  kwa Tanzania kila mtu anajua rate zipoje.

  5.Ukijumlisha na ufisadi..................
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  watu wana mawazo mazuri sana ya biashara lakini ...... waoga wa "uthubutu"
   
 4. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  1. Passion of the business owner.
  2. Stiff competition ( substitute products quality/cheap/available)
  3. lack of Patience ( biashara hufa mapema sana as expenses exceed revenue)/ and mis interpretations of accounts
  4. Business people they dont reinvest their revenues ( savings)
  5. Business Environment ( rushwa, Wizi, Shida, Kodi, Bad policies,
  6. Uaminifu wa employees, wengi hawafanyi kazi ipasavyo. but wanaiba zaidi.
  7. Biashara hazina systems.
  8...........
   
Loading...