Sababu za kusoma India na si Tanzania wala US!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za kusoma India na si Tanzania wala US!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Einstein, Mar 19, 2010.

 1. Einstein

  Einstein Senior Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku za hivi karibuni, kumeibuka hisia kuwa India si mahala salama pa kusoma kwa watanzania.. Hisia hizi zimetokana na taarifa iliyotokea eneo la Bangalore, India ambapo kuna wanafunzi wa kitanzania walitaka kuchomewa nyumba waliyokuwa wakiishi(Ingawa sababu, binafsi sijaisikia)..
  Kabla ya hapo pia kulikuwa na ile taarifa iliyohusu mtanzania mwenzetu aliefariki kwa kupoteza kichwa chake(Mungu ailaze roho yake mahali pema).

  Lakini mi binafsi napinga kwa wanaosema kuwa India si mahali salama kwa kusoma!

  Ntatoa sababu.

  Kimsingi, ni kweli wahindi si watu wema sana kwa maana ya kitabia, kutokana na mila na desturi zao. Lakini tujiulize, sisi watanzania ni wema sana kuzidi wahindi? Jibu ni NO. Hata sisi tuna mapungufu yetu..

  SABABU ZA KUSOMA INDIA..

  1. Gharama ya Elimu katika nchi ya India ni ndogo ukilinganisha na Tanzania. Ni kweli kuna baadhi ya vyuo vya India ambavyo vina gharama kubwa kidogo, Lakini vyuo vingi India gharama si kubwa.. School fee, ina range kutoka $250 mpaka $700 kwa vyuo vya kawaida vinavyotambuliwa.

  2. Gharama za kuishi India ni ndogo ukilinganisha na mahali pengine kama US na UK.. (US, UK na kadhalika ni kwa wenyenazo unless upate scholarship). Kwa mwezi ni, at least $250.

  3. India ukilinganisha na Tanzania, they are much exposed kwenye maswala ya Technology(Hapa nagusia IT).. Makampuni mengi ya IT, kama Microsoft, IBM na kadhalika yamewekeza India. Miji kama Bangalore na Hyderabad ni baadhi kati ya miji inayofanya vizuri zaidi katika maswala ya IT.. Kwa hiyo ukisoma maeneo kama hayo accessibility ya Technology ni kubwa, kuliko ukiwa Bongo..

  4. Admission ya vyuo vingi India (Si vyote), haihtaji uwe na credit nyingi ukilinganisha na Tanzania.. Maana Tanzania watu wakipata credit kidogo basi hupati admission inabidi urudishwe ukachunge ng'ombe.

  5. Serikali ya Tanzania Imeshindwa kutoa mwongozo wa kuwafinyanga wanafunzi wasiojiweza kifedha (Ingawa wana academic background nzuri sana) wanaomaliza kidato cha sita (maana baadhi huacha masomo UDSM na kukimbilia Uhindini). Badala yake baadhi wanasomeshwa na scholarship toka India.

  MATATIZO YA KUSOMA INDIA..
  Hapa nitayagawanya matatizo ktk sehemu mbili..
  Sehemu A: Kwa wanafunzi wanaotaka KUJINASUA.
  Sehemu B: Kwa wanafunzi wanaotaka ANASA

  Sehemu A:

  Kwa wanafunzi wanaotaka KUJINASUA haya ndo baadhi ya matatizo wanayokumbana nayo..
  1. Kuna kelele nyingi sana za wanafunzi madarasani (Wahindi husema wanapenda kupiga kelele just fo FUN), wakati wa lecture.
  2. Mfumo wa ufundishaji uko tofauti na wa Tanzania maana mitihani huwa inafanyika kama vile mock na annual za Secondary school Tanzania(Ingawa si vyuo vyote)
  3. Miji ya huku ina watu wengi, kwa hiyo kuna foleni kibao, Ingawa hawa jamaa wamejitahidi kupunguza kw kujenga flyovers ktk baadhi ya miji.
  4. Wahindi ni wachafu(Ingawa si wote).
  5. Degree colleges(Universities) zime kaa kaa kama Secondary za Bongo, kwa maana ya namna wana vyo wasimamia wanafunzi(Kuna vyuo vingine huwa wanafunga mageti ukichelewa kufika chuoni), pia baadhi ya vyuo majengo yake yamekaa ki ajabu ajabu utadhani majengo ya shule za msingi za Tanzania.
  6. Wanafatilia sana mambo ya Attendance(Tofauti na UDSM, kwa baadhi ya kozi). Kama una attendance kidogo basi unaweza usifanye mitihani(India).
  7. Chakula cha kihindi kina pilipili sana.
  8. Wahindi wengi hawapendi kuchanganyika sana na foreigners, Ingawa si wote, wapo wanaopenda kuwa close na foreigners(Blacks).
  9. N.K

  Sehemu B:

  Hawa ni kwa wanafunzi wanaotaka India iwe kama US. Hawa ni wale ambao wengi wao wanapenda starehe kuliko masomo.
  Hawa pia wanapatwa na matatizo hayo hapo juu ila wao wana mengi zaidi

  9. Inakuwa ni ngumu kwao kuchukua vimwana vya kihindi. Asilimia kubwa ya wasichana wa kihindi wanatunza bikra kama mboni ya macho yao. Kwa hiyo ikionekana uko karibu na mtoto wa kihindi unakuwa umejiweka kwenye matatizo(Kwa sehemu kubwa ya India).

  10. Huwezi ukaachia mziki mzito mitaa unayokaa, unless kusiwe na familia za majirani wa kihindi karibu..

  11. Ugomvi na police kwa sababu mbalimbali..
  12. n.k

  Conclusion:
  Kuishi nchi za ugeni ni taabu, si kwa India tu. Ila kikubwa unatakiwa kufata sheria. Mila na desturi za kihindi zinaboa sana, ila kwa mtu unaetaka KUJINASUA matatizo ya 'sehemu A' yanavumilika.
  Kwa 'sehemu B' kuna shida zaidi, maana India si kama US wala UK.. Huwezi ukawalazimisha wahindi uishi kama vile WESTERN COUNTRIES wanavyoishi, Hapa ndipo inapoonekana kuwa wahindi ni wabaya zaidi. Ndo maana kuna bango moja kubwa la kihindi mahala fulan Mumbai kwamba, INDIA WILL CHANGE U, U CAN'T CHANGE INDIA..
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kimsingi, ni kweli wahindi si watu wema sana kwa maana ya kitabia, kutokana na mila na desturi zao. Lakini tujiulize, sisi watanzania ni wema sana kuzidi wahindi? Jibu ni NO. Hata sisi tuna mapungufu yetu..

  Sijasikia mtu ameuawa Tanzania kwa sababu yeye ni Mhindi au Mmasai au Mzungu!!
   
 3. A

  Alhamask Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Chungu kubwa la wali halikosi ukoko...
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  [/SIZE][/FONT][/I]Sijasikia mtu ameuawa Tanzania kwa sababu yeye ni Mhindi au Mmasai au Mzungu!!
  [/QUOTE]
  Yale malalamiko ya wachina pale kariakoo hujayasikia wewe?!
   
 5. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mie naona umepewa pesa kusifia shule za India...
   
 6. Einstein

  Einstein Senior Member

  #6
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Noname.. Yasome hayo maelezo yote.. Nimeeleza faida na hasara za kusoma India. Nimeeleza most of the problemz watu wanazokumbana nazo. Sijalipwa pesa na mtu yeyote. Mi ni mtanzania nisiewafagilia wahindi, ila hali halisia lazima tuongee.
   
 7. Einstein

  Einstein Senior Member

  #7
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani nani kakwambia kuwa yule mwenzetu alieaga dunia, ameuawa na wahindi?? Hakuna alieshuhudia kifo hicho, ila watu wana suspect kuwa huenda aliuawa na wahindi. Mkitaka kufahamu vizuri fatilieni vijana wenu wanaishije huko India. Mi binafsi siwafagilii wahindi. Ila tusiendeshwe na hisia. Hebu wathibitishie wana-JF kuwa yule mwenzetu aliuawa na wahindi. Hakuna mwenye uhakika, maana mi na wewe hatufahamu. Ila kama kuna mtu ana uhakika kuwa mwenzetu aliuawa na wahindi aje hapa athibitishe. Tusiendeshwe na hisia..
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  aah huko sasa kuna-sound kaa uwanja wa vita afghanistan..maelezo yako hayaniridhishi.
   
 9. Einstein

  Einstein Senior Member

  #9
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa nini?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu yahayaja ni konvisi kumrecommend mtu kwenda India kusoma.
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani hebu tangazeni na mazuri ya tanzania................. nanai kakuambia unaweza kupata elimu nzuri nje ya mazingira uliyozoea?.............. punguzeni udalalai ............... tanzania kuna elimu bora sana............ nyie ndio mnatuangusha...................

  lakini tunashukuru walau umetumegea mazingira ya india, ila umetuficha kuwa hizo bikira za watoto wa kihindi huvunjwa majumbani kwao wankoishi tena na wazazi wao................. ndo maana babab mtu anaweza hata kukuua ukigusa biti yake kabla hajamhalalisha...............
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Mimi naongezea kama vile Pakistani
   
 13. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Einstein,
  Maelezo yako mazuri sana na yanatoa mwangaza wa elimu ya India. Lakini nafikiri India ni nchi kubwa sana na Bangalore kutakuwa tofauti na state nyingine. Kama kuna mJF mwingine mwenye experience tofauti tungeomba atuhabarishe.
   
 14. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  personally, i dont give a damn about india!
   
 15. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Jamani mtu akianika hapa jambo nalo ni kosa? huyu bwana hajakosea kabisa ila nadhani ungaliangalia sana kukua kwa elimu esp IT sector kweli wenzetu wametuzidi sana tuu. kwa hiyo mtoa mada yeye kaona hayo na kama wewe nawe unayo uliyo yaona tupe toka upande wako tafuadhali Noname.

  Kwa sisi twatakiwa tupige hatua sana katika hili swala la IT kuwe na vyou vingi ndani ya nchi hata kama vitakuwa na gharama kubwa lakini tuwe na mfumo mzuri kwa hii elimu ya IT na twende na wakati.

   
 16. Mundungus Fletcher

  Mundungus Fletcher JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2010
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 327
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu india ipo tofauti fro state to state ila kuna vitu ambavyo vipo common kwa states karibia zote.

  Ni kweli indai imetupiga hatua katika IT pia indai Imetupiga hatua hata kwenye Business kwa ujumla. wametuacha sana tu. kuliko tunavyofikiria.

  coming back to the topic,
  1.wahindi from experience yangu ya mda niliyo wahi kuishi india na kuzunguka states tofauti ni kwamba wahindi wanatatizo na ubaguzi.. nilifikiri wanatatizo na watu weusi but nikagundua wahindi wanatatizo na ubaguzi, wanawabagua wa tibet,nepali na wahindi wengine wenye asili ya kichina naweza kuwaita au kinepali. wanaubaguzi hata wenyewe kwa wenyewe wahindi wa north india amabo wako little bit light skinned wanawabagua wahindi wa south india ambao wako dark skinned,
  -->wahindi wanabaguana kutokana na Status ya hela.. matajiri wanabagua maskini. wanaagua kati ya dini na dini(wahindu na waislamu huwaweki sehemu mmoja hawapendani ile mbaya ingawa ipo sehemu wana co-exist, wahindu na wasikh hawapendani so ubaguzi umewatawala

  2.wahindi weather sisi watanzina tuwaprovoke au tusiwa provoke wao watakuprovoke ilo ni one thing for sure hiyo ni kwa hindi wote. wahindi watakuprovoke kwa kukucheka ukiwa unapita sehemu umeenda mall,
  wahindi will call u all sort of racial names and direct all sort of racial slurs at u hata ukimindi your time and yo stuff watakuchokonoa

  3.ckataki kwamba wapo watu wanaotaka kupafanya india kama US bt unapokuwa unasoma unataka kuenjoy pia bt waihindi ilo wahataki kuelewa kwamba wao wapige mziki mpka asubuhi lakini utakapo piga wewe ni ugomvi

  4.North india kama punjab pako more peacefull compared to all states that niliwahi kuvisit indai. watanzania wakule na waafrika wanajimix na wahindi sana tu na pia Mangalore huko pia waafrika wakule mpaka wanatembea na wasichana wa kihindi sio kitu kipya cha huko na pia kwasababu ni wa kristo wao wahindi. Delhi pako dangerous wahindi wakule ni wabaya lakini thanx to our Nigerian friends(not every time na sitetei wanacho kifanya) wahindi wanaogopa watun weusi somehow na tunapata kutoka na watoto wakihindi walio data na western cultures

  5.wahindi wanaabudu wazungu. real life experince. nilienda kucheza mpira uwanja fulani i was with my other african friends. tulipofika pale wale wahindi wakutambia kwamba kwamba hatuwezi kucheza coz wamejaa despite wapo kumi so wanacheza watano watano kwanja cha kuacoomodate watu kumina moja, hapo hapo akaja muhindi mwenzao na wazungu familia mme na mke na mtoto wao mmoja, wakamkaribisha yule mzungu aje kucheza yeye akutaka kucheza, baada ya kucheza mpira walivyo maliza wale wahindi wote wakenda kumzunguka yule mzungu na familiyake wamkeaa chini wanamuuuliza mwaswali wanamwambia welcome to india ss tumesimaa tunawashangaa, na so many experience tu.. mfano ukiwa unatembea na msichana wakihindi njiani hata akiwa mke wako (which true kulikuwa na mjaa amampa mimba mchumba wake wakihindi amabye walikuwa wanataka kuoana ilibidi wasitembee pamoja) wahindi wanaweza kukuua ila mzungu akiwa anatembea na wahindi wakischana wanaishia kuwangalia in a affectinate way


  so kwakifupi. India sio sehemu mbaya ya kusoma kwa mtu mweusi specifically ila si sehemu nzuri kwa kusoma kwa mtu mweusi. ni shida zetu tu zilitupeleka india, indai wadogo zetu wanasoma kwashida.. haswa kwaajili ya Ubaguzi kiasi kwamba unashangaa kwanini sisi watanzania tunawatreat wahindi vizuri.

  mpka mtu ukisikia kwamba wahindi wanabaguliwa huko australia na shangilia wapate the taste of their own medicine..

  Iwe bangalore,mysore,tamili nadu,Mangalore,punjab,delhi, au agra wahindi ni wabaguzi sana tu the maximum na kama tanzania tungekuwa tunatoa elimu nzuri tunapata nafasi ya elimu na vitu kama ivyo tusingeenda kusoma india nakama ulaya na US isingekuwa expensive wahindin wangekuwa watusikia wabongo kwenye bomba tu.. India is for indians tu.. wahindi wenyewe wanaokaa nje ya nchi famously known as NRI's Non Resident Indians ukikutana nao wanawaponda wahindi wenzao wailkuwa india au ukiwa upo out alaf wahindi wanakucheka hivi wao NRI anaweza akaja akkamwambia ahh waignore hao jamaa ni ignorant hawako civilized..
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  haya mnaotaka kwenda india nazani mshapata dondoo kidogo hapo.
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kaka/dada hakuna raha duniani kama kumchana mhindi bikira! tamu sana!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Thanks to my fate I am not in that hellhole called India. Na siwezi kumpeleka ndugu yangu asome huko.

  Wahindi wenyewe tunawaona wanakimbilia viwanja vikubwa huku kusoma, sasa kwa nini ( apart from the obvious financial reasons) na sie tukimbilie India.

  In my opinion, tujenge vyuo vikubwa bongo na tuviwezeshe kutoa a world class education kwa gharama nafuu kwa wanafunzi wengi, utaona wahindi wengine watakuja kutoka India kusoma bongo instead of Watanzania kwenda kusoma India.

  Kile chuo cha Dodoma kinachukua watu wa ngapi? Tunahitaji vyuo kama hivi vifunguliwe all over Tanzania, kila zone/ mkoa inakuwa na chuo kikubwa tu.Tutaondoa huu utumbo wa kwenda India kubangaiza au hata ku endure hii highway robberry ya vyuo vya Marekani na Uingereza.
   
 20. Einstein

  Einstein Senior Member

  #20
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  changia hoja Ndugu yangu.. Haahahahhahahaha
   
Loading...