Sababu za kumuunga Mkono Mwenyekiti Dkt Kikwete uchaguzi ujao wa CCM taifa

Ndani ya katiba ya cdm kuna kipengele kinasema 'nafasi ya mwenyekiti itagombewa na watu wa kaskazini na wale wenye uhusiano na undugu na mtei' mwisho wakunukuu

Lakini mfano wa Mh. Selasini ni wa kuigwa amtambua uchapakazi wa Mwenyekiti Dkt. Kikwete, kule Rombo tatizo la barabara limekwisha. Kama wengine wataiga mfano huo basi tutajenga taifa pamoja na tutaacha kupoteza muda kwa mambo yasio na tisa pia kupotosha umma ili kutafuta sifa za kisiasa.
 
Back
Top Bottom