Elections 2010 Sababu za kuchelewesha kutangaza matokeo

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
Kuna maeneo mengi mpaka sasa NEC hawajatangaza matokeo kwa visingizio chungu nzima mara miundo mbinu,mara mawakala hawataki ku-sign n.k. baada ya masaa 15 tangu uchaguzi kumalizika.

Hii inaonekana kama mkakati mzima wa NEC na CCM kutaka aidha KUCHAKACHUA MATOKEO AU KUJENGA MAZINGIRA YA VURUGU NA BAADAYE MATOKEO YAFUTWE NA UCHAGUZI URUDIWE.

Kwa kweli hakuna sababu zozote za msingi za kuchelewesha matokeo. Kama CCM wangelikuwa wameshinda kwa kura za wizi tayari wangelishatangaza matokeo.
NEC MSIONE AIBU YA KUSHINDWA KWA CHAMA TAWALA-CCM TOENI MATOKEO KUONDOA TENSION MSIJE MKASABABISHA VURUGU ZISIZO ZA LAZIMA!!!!KIRAVU CHANGAMKA ACHA KUIBEBA CCM KWANI MWISHO WAKE UNANUKIA.
 
Back
Top Bottom