Sababu za kuBIP..

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip

1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?

2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?

3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?

4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?

Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.
 
Una bip ili ujue ni salama mme wake au mke wake hayupo karibu atakupigia au kukujulisha.just signal
 
Binafsi mtu akinibeep hua nampigia na nikisha maliza maongezi nae namkandamiza na kacredit kidogo ili kuzidi kuiharibu akili yake na natamani awe anafanya hivyo hivyo kila anapojisikia kufanya mawasiliano na mimi.
Fanya uchunguzi mfupi wa watu wanaotamani kupokea kuliko kutoa utagundua wengi wao hawana mafanikio kuliko wale wanaotamani kutoa zaidi ya kupokea hata kama wanafanya kazi yenye kipato chenye uwiano.
Mfano mfupi itafakari Africa tuna kila kitu ambacho mataifa tajiri wangetamani kua navyo lakini bado tunajiona ni masikini na tunastahili zaidi kusaidiwa kuliko kusaidia wengine .
Kutaka msaada usio na ulazima kwa watu wengine huchangia kuharibu uwezo wa kutumia akili za ziada zilizojificha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sizipendi!kila siku unakuta mtu anakubip!halafu anasema alitaka kukusalimia!!kwani huwa kuna salio kwa ajili ya kubip!!!au akisha ongea na wengine ndo anibip mimi!
 
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip

1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?

2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?

3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?

4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?

Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.

Aku mie wala sijawahi "mdipu" mtu!!!!!!
 
Yah! Ikitokea ukimfanyia hivyo hatorudia tena, Na akirudia atakuwa hana akili nzuri.
 
sizipendi!kila siku unakuta mtu anakubip!halafu anasema alitaka kukusalimia!!kwani huwa kuna salio kwa ajili ya kubip!!!au akisha ongea na wengine ndo anibip mimi!

Kuna raia wanakera mno, kama hauna salio la kunipigia ili unisalimie piga kimya. Ukishindwa nitumie sms.

Zaidi ni hawa kina dada, Loh!
 
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip

1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?

2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?

3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?

4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?

Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.

Mzee ume bipiwa nini??
 
Ubarikiwe sana. Je! Umeshawahi kubipiwa?

Amina. Ndiyo ila inategemea kama ana sifa za kubip nampigia ila kama naona kabisa sifa hana huwa siongei chochote zaidi ya ku ignore!!!!!
 
Wengne hujarib kuendeleza upaji vyao v sife, c unajua h kaz inahtaji akil sana
 
Binafsi mtu akinibeep hua nampigia na nikisha maliza maongezi nae namkandamiza na kacredit kidogo ili kuzidi kuiharibu akili yake na natamani awe anafanya hivyo hivyo kila anapojisikia kufanya mawasiliano na mimi.
Fanya uchunguzi mfupi wa watu wanaotamani kupokea kuliko kutoa utagundua wengi wao hawana mafanikio kuliko wale wanaotamani kutoa zaidi ya kupokea hata kama wanafanya kazi yenye kipato chenye uwiano.
Mfano mfupi itafakari Africa tuna kila kitu ambacho mataifa tajiri wangetamani kua navyo lakini bado tunajiona ni masikini na tunastahili zaidi kusaidiwa kuliko kusaidia wengine .
Kutaka msaada usio na ulazima kwa watu wengine huchangia kuharibu uwezo wa kutumia akili za ziada zilizojificha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

una dhambi wewe! yaani unaua kikatili! hata huruma huna!
 
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip

1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?

2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?

3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?

4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?

Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.
All of the above...
 
Back
Top Bottom