Sababu za kiuchumi zilizopelekea bei ya Cement na Sukari kupanda ni zipi?

Sababu za kiuchumi ndizo umezitoa mkuu na zinakubalika na ndivyo ilivyo hivyo,,sasa kuna wale wenye sababu zisizo za kiuchumi sijui watasema kitu gani ila nao pia tunawataka hapa
Ungekua ni uzi wa kumtukana Rais ungeona watu wanavyo tiririka hapa
 
Tunapokua na miradi mikubwa ya ujenzi ni wazi kwamba saruji inatumika zaidi. Uzalishaji wa saruji awali ulitosheleza soko na bei zilikua zinaeleweka huku upatikanaji ukiwa mzuri kila kona ya nchi.

Saruji imekua bidhaa adimu sana kwa sasa sababu ya kuongezeka kwa matumizi makubwa ikiwemo ujenzi wa miundombinu tofauti unaofanywa na serikali nchi nzima ilihali uzalishaji ukiwa wa kiwango kilekile.

Sijui kama hii miradi ilizingatia lakini muhimu sana kufanya tathmini ya mahitaji ya miradi kabla ya projects kuanza.
Hivi Tz kuna project gani ya ku consume cement inayo zalishwa kwenye viwanda vyote hapa bongo? Mbona mnaleta siasa kwenye ukweli?

Mbona hujaongelea kiwanda cha dangote kufungwa?

Au umeona ukiongelea haitapamba pambio lako?
 
hiyo nimeizungumzia pale juu. Japo sina uhakika sana juu ya hilo
 
Tunapokua na miradi mikubwa ya ujenzi ni wazi kwamba saruji inatumika zaidi. Uzalishaji wa saruji awali ulitosheleza soko na bei zilikua zinaeleweka huku upatikanaji ukiwa mzuri kila kona ya nchi.

Saruji imekua bidhaa adimu sana kwa sasa sababu ya kuongezeka kwa matumizi makubwa ikiwemo ujenzi wa miundombinu tofauti unaofanywa na serikali nchi nzima ilihali uzalishaji ukiwa wa kiwango kilekile.

Sijui kama hii miradi ilizingatia lakini muhimu sana kufanya tathmini ya mahitaji ya miradi kabla ya projects kuanza.
Nashauri tufidie hilo pengo kwa kuagiza cement toka nje kwa ushuru rafiki kama wazalishaji wa ndani wameshindwa kukidhi mahitaji yaliyopo.
 
Vp kuhusu mafuta ya kula, unga wa ngano, sabuni?
Hivi vitu sina hakika sana, sijavifanyia analysis. Mimi nilibase zaidi kwenye cement na sukari.
Kwa upande wa sukari supply ilishuka na hii ilisababishwa na kupungua kwa uingizwaji wa Sukari kutoka nchi jilani. Uhitaji ukaongezeka. Basi bei ikapandishwa na wauzaji. Ndivyo navyo weza Kuelezea.
 
Watu wanaukimbia huu uzi. Ungekua uzi wa matusi ubmngeona comment zikitiririka hapa
 
Back
Top Bottom