Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

kiufupi wale wote waliostahili kupewa nishani hii wamekuwa wakiilalamikia serikali ya awamu ya nne kwa utendaji mbovu labda ndio imepelekea wao kutotunukiwa
Ungeweza kudhani hivyo, lakini hiyo explanation ingem disqualify Warioba, ambae huwa anaichana serikali kwa kwenda mbele na tuzo kapata.
 
Mzee Sitta alimaliza kipindi chake cha miaka mitano ya Uspika, Hakufukuzwa!!!
 
Kwanini Sita apewa Nishani! Hakustaafu kama wengine, alistaafishwa.
 
Hivi baada ya kelele na haya mashinikizo, likitoka agizo kwa sababu zisizo zuilika siku ya zoezi la utoaji halikukamilika hivyo basi zoezi linaendele, wanaotajwa watakwenda au watasusa?
 
Tuache kujadili na kupoteza muda kwa mambo ambayo hayawezi kutokea. sisi wote tungeshangaa sana kama sitta angepata nishani kwa jinsi alivyo na mtizamo tofauti na serikali na chama chake.

thumb up bro!! inawezekana ikawa ka sababu japo wapo baadhi waliostahili kupata lakini hawakupewa
 
Lowassa kafukuzwa uwaziri Mkuu na sitta kafukuzwa uspika leo mnajiuliza kwa nini wamekosa nishani ni fikra mgando hizo wakati suala liko wazi
we ndo una fikra mgando..ungekuwa mpembuza ungeanza kwa kuainisha sababu za lowassa kufukuzwa na sita kunyimwa uspika and then jaribu ku compare.sidhani kama utapata sababu ambayo ni strong na ya kizalendo inayo justfy kufukuzwa kwa sita..acha ulevi wa kupindukia
 
Mzee Sitta alimaliza kipindi chake cha miaka mitano ya Uspika, Hakufukuzwa!!!
 
Lowassa kafukuzwa uwaziri Mkuu na sitta kafukuzwa uspika leo mnajiuliza kwa nini wamekosa nishani ni fikra mgando hizo wakati suala liko wazi

PIPIJOJO na wewe unakuwa kama aliyewekewa nazi baada ya kuzaliwa huna kichwa?
 
Hizi nishani zitaendelea kukigawa chama zaidi
Nimependa ugawaji wa hizi nishani katika hilo la kuendelea kukigawa chama chake tu, kwani natamani sana Magamba kimong'onyoke kabisa na kitoweke kwenye uso wa dunia tena kabla ya 2015. Kwa speed hii ya sasa ya mpasuko wa hiki chama, naiman ndoto yangu itatimia.
 
Kwanini Sita apewa Nishani! Hakustaafu kama wengine, alistaafishwa.
Taarifa za wapi zinasema Sitta alistahafishwa????Sitta alimaliza muda wake wa miaka mitano bila kashfa yeyote kwa jamii. Alipoapply kuendelea na Uspika wa Bunge la Kumi CCM wakamuengua kwa kigezo cha kutokuwa na jinsia ya kike. Kimsingi vigezo vyote alikuwa navyo, ila kwa vile hakuwa na jinsia ya kike, nywele ndefu na matiti makubwa akapoteza kiti kile. Hakustaafishwa bali alikataliwa kuendelea na Uspika kwa kigezo cha jinsia.
 
Kuna hotuba ya Nyerere inasema hivi "Bunge ni la wanaume kina mama nao wamo,kina mama wamo kwa ushahidi tu ili kusema kina mama nao wamo,nasema hatukuwazuia kwa sheria ila tabia zinawazuia"kwa kweli kuna ujumbe mzito sana kwenye hiyo hotuba.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote zinazotakiwa. Tatizo letu hatupendi kuchukua mazuri. Nakionea huruma sana kizazi kijacho, maana tunachowaandalia watoto na wajukuu wetu ni UJINGA
 
chama ndicho kinakupa nafasi ya uongozi kama kinaona hujakiwakilisha vema hakina sababu ya kukupa nishani. suala la msingi viongozi hao wanaweza kupewa nishani hata na vyama vya upinzani kama vinaona Siita au Lowassa wanastahili.
Kukiwakilisha chama vyema (CCM) ni kulinda wezi na kutetea ufisadi???AU kukijengea Taswira mpya mbele ya wananchi waliokichoka???
 
Jamani ikumbukwe hata baraka hutegemea ni mikono ya nani inatoa baraka, nisingekuwa na amani kama nitapewa mikono ya baraka na shoga au fisadi nikaifurahia baraka hiyo, Yu anaheri Sita kwa kutopata hiyo nishani maana isingemfaa kupewa na yule aliyeotoa. Watanzania tunakupatia nishani yetu pokea maana wewe ndiye uliyeongoza bunge kwa kama ilivyositahili '' Where the world pays the enternity does not pay"
Mbowe na Dr salaa inakuaje wamekosa nishani
 
sitta alipambana na lowassa kwa sababu zake binafsi,alijua angesimama mpaka mwisho mjadala wa richmond ungemsomba jk..kwa hiyo hastahili nishani kama asivyostahili makinda.
 
Back
Top Bottom