Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

soma hapa tena.......... Aidha, Rais Kikwete aliweka wazi kwamba, nishani hizo zimetolewa kwa Makamu Rais na mawaziri wakuu wastaafu walio hai ama waliokufa, walioondoka madarakani bila kashfa na hata baada ya kuondoka kwao madarakani, wameendelea kuwa na maadili mema na kuishi kwa heshima na maadili ya ofisi yao.

Tujiulize je, Sitta na lowassa waliondoka vizuri?

You must be out of your freakin mind...ni lini Sitta alifukuzwa uspika ukiwa hauna uhakika na unachoongea ni bora kukaa kimya kuliko kuonekana katuni mbele ya watu

huna weredi wa kutosha unafikiri akufukuzae mpaka akuambie toka? think twice?
 
Misukosuko ipi kaipata Sitta?...labda kama unataka kusema kuonesha nia yake ya kuutaka Urais ndio inamfanya asipate hiyo nishani hapo kidogo nitaelewa

kama haupo tanzania basi huwezi kuwa sehemu ya mjadala huu. Sitta mwenyewe amewahi kukiri kwamba alitaka kuvuliwa uanachama kama sio busara za Jk kabla ya kuondolewa uspika na kuweka jina la mwanamke
 
Tuache kujadili na kupoteza muda kwa mambo ambayo hayawezi kutokea. sisi wote tungeshangaa sana kama sitta angepata nishani kwa jinsi alivyo na mtizamo tofauti na serikali na chama chake.
 
You must be out of your freakin mind...ni lini Sitta alifukuzwa uspika ukiwa hauna uhakika na unachoongea ni bora kukaa kimya kuliko kuonekana katuni mbele ya watu
Sitta hakufukuzwa uspika alishindwa kubadili jinsia yake kwa sababu ya muda tu.
 
Ilikuwa zamu ya spika wa kike kupata nishani hamuelewi nini?

Kuna hotuba ya Nyerere inasema hivi "Bunge ni la wanaume kina mama nao wamo,kina mama wamo kwa ushahidi tu ili kusema kina mama nao wamo,nasema hatukuwazuia kwa sheria ila tabia zinawazuia"kwa kweli kuna ujumbe mzito sana kwenye hiyo hotuba.
 
Tumpe sitta nishani ya jamiiforums kama tunaona ana mchango mkubwa kwa taifa hili. tunalialia tu
 
hakuna nishani ya MTEI wa chadema walioachwa na kikwete wanaweza kutunukiwa hii

...it sounds like you are joking! I stand to be coprrected, nishani zilizotolewa si nishani za CCM ni nishani za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (yaani Serikali). Kama hivyo ndivyo mimi nilitaraji nishani kutolewa kwa mtanzania yeyote aliyeifanyia nchi mambo yaliyotukuka na aio vinginevyo!
 
Aboud Jumbe - hakupata
Abdul Wakil - hakupata
Salmin Amour - hakupata
sitta - hakupata
Lowassa - hakupta
Malecela hakupata

mbona msisitizo ni kwa sitta, Lowassa na malecela tu?
 
kama haupo tanzania basi huwezi kuwa sehemu ya mjadala huu. Sitta mwenyewe amewahi kukiri kwamba alitaka kuvuliwa uanachama kama sio busara za Jk kabla ya kuondolewa uspika na kuweka jina la mwanamke
It doesn't make sense at all....
 
Tumpe sitta nishani ya jamiiforums kama tunaona ana mchango mkubwa kwa taifa hili. tunalialia tu
Tupeane wenyewe nishani humu. Sitta alishindwa kubadili jinsia yake kama CCM walivyotaka. Hakustahili nishani ebo!
 
Sio Weredi bali ni Weledi.

Back to topic

Nimeisha-think tiwce, mimi nimehitaji tu uniambie Sitta alifukuzwa lini Uspika.
aliondolewa baada ya kuambiwa nafasi ni ya mwanamke na sitta ni mwanaume..... ulitaka afukuzwe kwa njia ipi kama sio hii ya kistaarabu lakini yenye maumivu yaleyale
 
Aboud Jumbe - hakupata
Abdul Wakil - hakupata
Salmin Amour - hakupata
sitta - hakupata
Lowassa - hakupta
Malecela hakupata

mbona msisitizo ni kwa sitta, Lowassa na malecela tu?
Nishani zilikuwa ni kwa ajili ya WATANGANYIKA tu. Hao WAZANZIBAR wasubiri miaka 50 ya Muungano ambayo nayo kwa bahati ya aina yake itamkuta JK madarakani.
 
soma hapa tena.......... Aidha, Rais Kikwete aliweka wazi kwamba, nishani hizo zimetolewa kwa Makamu Rais na mawaziri wakuu wastaafu walio hai ama waliokufa, walioondoka madarakani bila kashfa na hata baada ya kuondoka kwao madarakani, wameendelea kuwa na maadili mema na kuishi kwa heshima na maadili ya ofisi yao.

Tujiulize je, Sitta na lowassa waliondoka vizuri?

Nauliza Marehemu Sokoine, Warioba, Msuya, nao Hawakutunzwa?
 
Aboud Jumbe - hakupata
Abdul Wakil - hakupata
Salmin Amour - hakupata
sitta - hakupata
Lowassa - hakupta
Malecela hakupata

mbona msisitizo ni kwa sitta, Lowassa na malecela tu?

Hao wako jamuhuri ya zenj!
 
You must be out of your freakin mind...ni lini Sitta alifukuzwa uspika ukiwa hauna uhakika na unachoongea ni bora kukaa kimya kuliko kuonekana katuni mbele ya watu
Hata mimi nimemshangaa sijui watu wengine wanaishi Tanzania ya wapi. Eti Lowasa alifukuzwa uwaziri mkuu na Sitta kufukuzwa uspika loh!
 
Back
Top Bottom