Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
hizi post za TISS zinachosha sasa. kwani wao siyo watu, hawana ndugu wala jamaa, hawana hisia, rais si siyo binadamu mwenye hisia kama alivyo binadamu mwingine ye yote. ungekuwa wewe ukamuona mama wa mlinzi wako ungempotezea tu?
rais kusalimiana na mama wa mlinzi wake ambaye hata kwenye tv anaonekana kila siku iwe nongwa? acha wivu wa kijinga.
rais kusalimiana na mama wa mlinzi wake ambaye hata kwenye tv anaonekana kila siku iwe nongwa? acha wivu wa kijinga.