Sababu za afisa wa TISS kumtambulisha mama mzazi wake kwa rais magufuli

hizi post za TISS zinachosha sasa. kwani wao siyo watu, hawana ndugu wala jamaa, hawana hisia, rais si siyo binadamu mwenye hisia kama alivyo binadamu mwingine ye yote. ungekuwa wewe ukamuona mama wa mlinzi wako ungempotezea tu?

rais kusalimiana na mama wa mlinzi wake ambaye hata kwenye tv anaonekana kila siku iwe nongwa? acha wivu wa kijinga.
 
unadai huna mambo ya kikuda ilhali umepost ukuda!!!??!!

rais ni binadamu na ana hisia kama alivyo binadamu mwingine ye yote. kitendo cha yeye kwenda kumsalimia mama wa mlinzi wake ni kitendo cha uungwana, unyenyekevu na kuonyesha namna anavyimheshimu na kumthamini mlinzi wake kwa kazi kubwa anayoifanya.

kwa hiyo ulitaka rais ampotezee mama wa mlinzi wake? au ukisikia mtu ni mtumishi wa usalama wa taifa basi anajidettach na kuipotezea familia, ndugu na jamaa zakr, anakuwa si binadamu?

Acha wivu na ukuda wa kijinga.
 
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
Wwe umejuwaje kama huyo mlinzi wa Raisi ni afisa wa TISS!?
 
Inawezekanaje wasiwepo watu wanaomfahamu kinagaubaga mlinzi wa Rais aliyezaliwa TZ, kukulia TZ na kufanyia kila kitu TZ, ikiwemo kuonekana kila siku kwenye TV akiwa na protectee wake?
Fact..
Yaan mleta uzi anajua tayar yule jamaa ni TISS so bado sijaelewa maana ya huu uzi ni nini?
 
Hivi wewe unatumia tumbo kufikiri au?

Yaani mimi nafanya kazi daresalaam,halafu kazi yenyewe kumlinda mkuu wa nchi.

Imetokea mkuu wa nchi tuko nae safarini na imetupelekea kufika kijijini kwetu nilipozaliwa,na amesimama kuongea na wanakijiji chetu,miongoni mwao ni mama yangu mzazi,na ninalazimika kwenda kumsalimia mzazi wangu,lakini pia mkuu wangu nae kapewa taarifa za uwepo wa mzazi wangu huyo.

Jambo lililomgusa nae kama binadamu akatamani kumsalimia pia.

Hapo kipi cha ajabu?

Tukiwambia mumeishiwa hoja mnakimbilia matusi.
 
Kwani kuna ubaya Mh. Rais kumsalimia mama Mzazi wa Mlinzi wake. Mbona mnajadili mambo yasiyokua na tija kwny forum hii.. Nonsense
 
Nayaheshimu Mawazo Ndugu ila sina muda wa ' Kubishana ' nawe lakini nakuomba sana Kitafute Kitabu chenye ' Title ' ya ' CIA and KGB Intelligence and Counter Intelligence Operations ' kilichoandikwa na Watu wawili Mwanadada Celina Bledowska na Mkaka Jonathan Bloch kisha naamini utajifunza mengi na hata Kujiongezea Maarifa kem kem. Na ukikisoma naomba ujikite sana katika Chapters 2,3,6,8 na 9 kisha utakachokipata huko nakuomba usiache pia kuja nacho hapa Jamvini JamiiForums uje ' Uwaelimishe ' na hawa Watu ninaowaonea sana huruma kwa Mwenyezi Mungu kutowabariki ' Vichwani ' mwao akina Mina cute, MACHONDELA na wa kupuliza ili Siku zingine wakiona Watu tunaopenda Kutafuta Maarifa mengi tunajadili hapa mambo muhimu na mazito kama haya basi Wao ' Wachovu ' wawe wanakaa Kimya. Ni Kitabu chenye Kurasa 172 ila Kimeelezea mambo mengi sana mengineyo yakiwepo haya tunayojadili hapa hasa ukizingatia kuwa tokea Miaka ya nyuma huko haya Mashirika Mawili ' Hasimu ' ya Kijasusi yameweza kuwa ni Mifano kwa mengineyo na hata kuna baadhi ya Vyuo vinavyotoa hii ' Tasnia ' vimeiga Utaratibu ' wao wa ' Kiutendaji ' hasa.

Kila la Kheri Ndugu.
Teh....
 
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
Mlinzi wa Rais hatakiwi kujulikana. Tatizo la meko alitaka kusifiwa na mlinzi wake pamoja na mama yake.
 
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Kwahiyo ungekuwa wewe ungemkaushia mamayako? Una adabu kweli wewe?
 
Mlinzi wa Rais hatakiwi kujulikana. Tatizo la meko alitaka kusifiwa na mlinzi wake pamoja na mama yake.
Hatakiwi kujulikana?? Mbona tunawaona kwenye mikutano na kwenye tv kila siku? Na wengine tunawafahamu kabisa? Au mlinzi wa raisi inabidi awe anavaa mask?
 
Hivi wewe unatumia tumbo kufikiri au?

Yaani mimi nafanya kazi daresalaam,halafu kazi yenyewe kumlinda mkuu wa nchi.

Imetokea mkuu wa nchi tuko nae safarini na imetupelekea kufika kijijini kwetu nilipozaliwa,na amesimama kuongea na wanakijiji chetu,miongoni mwao ni mama yangu mzazi,na ninalazimika kwenda kumsalimia mzazi wangu,lakini pia mkuu wangu nae kapewa taarifa za uwepo wa mzazi wangu huyo.

Jambo lililomgusa nae kama binadamu akatamani kumsalimia pia.

Hapo kipi cha ajabu?

Tukiwambia mumeishiwa hoja mnakimbilia matusi.
Ila mkuu Kuna watu wa hivyo anaweza mkaushia mamayake kisa Yuko kwenye msafara, niliwahi kwenda ofisini kwa waziri mmoja kumwomba anisaidie kupata skolaship alitujibu kuwa yeye sio waziri wa wakerewe,
 
Back
Top Bottom