BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Kaoge kwanza na WEWE loh NDIO uje humuYaani umeongea kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea, wengine ndo tunatoka kitandani. Heb nyoosha maelezo.
Kaoge kwanza na WEWE loh NDIO uje humuYaani umeongea kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea, wengine ndo tunatoka kitandani. Heb nyoosha maelezo.
Ulitaka atambulishe mkeoo??Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
Ni mlinzi yupi Kati ya wale tunaowaona je Ni yule wa jw au Yale mabonge mawili meusi au yule mwenye sigida au yule mrefu nanavaa miwani........Nilipenda sana namba moja kwenda kumsalimia mama ake na yule jamaa.
Mengine hata sijui.
Mkuu kuna kitu nataka nikuweke sawa, Walinzi Wa Rais na Familia yake ni watu ambao wanapaswa sana kuaminiwa kwa kuwa na wao wanakuwa sehemu ya Familia, kwa nchi zilizoendelea kama US Walinzi Wa Familia ya Rais hubaki na Familia hata baada ya Rais kustaafu,kwa hiyo hawa ni sehemu ya Familia. Mfano Walinzi wa JFK waliokuwa wanalinda Familia walibaki nayo hata baada ya JFK kuuawa.
Mimi sijui sana hayo mambo but kwa uelewa wangu mdogo wa hayo mambo.
Nadhani kuna tofauti Kati ya usalama wa taifa TISS na kikosi maalumu cha kumlinda rais.
Kwani haya Mambo yako kwenye mtaala wa elimu yetu?Sasa naamini kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU.
Ni
Ni mlinzi yupi Kati ya wale tunaowaona je Ni yule wa jw au Yale mabonge mawili meusi au yule mwenye sigida au yule mrefu nanavaa miwani
Niliwaza vivyo hivyo, labda Kuna baadhi ya vyeo/wadhifa amao ukifika unakuwa huna madhara hata ukiwa exposed.
Sasa mlinzi wa rais hawi exposed, eh!?Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
KUwaona kwenye tv si kuwajua, ndio maana wanaishi zao kijitonyama pale na wengine wanakaa ikulu,
We unaonaje?Kwani polisi sio mwanajeshi?
Walinzi au watumishi wa idara ya usalama wasiofahamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku? Soma hii mada uone jinsi watu wanavyowajua na hadi nyumbani kwao.
Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magufuli but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo...www.jamiiforums.com
wengi wao huwa ni watoto wa mitaaani, wanapewa mafunzo nk, mambo ya usalama msifikiri ni mepesi kam mnavyoona,Inawezekanaje wasiwepo watu wanaomfahamu kinagaubaga mlinzi wa Rais aliyezaliwa TZ, kukulia TZ na kufanyia kila kitu TZ, ikiwemo kuonekana kila siku kwenye TV akiwa na protectee wake?
wengi wao huwa ni watoto wa mitaaani, wanapewa mafunzo nk, mambo ya usalama msifikiri ni mepesi kam mnavyoona,
Mkuu, yule jamaa ni mlinzi wa rais na yupo exposed kwenye macho ya watu kila siku. Hivyo kutokana na majukumu aliyonayo sasa hivi, suala la usiri halipo tena. Hata hivyo hao walinzi hutoka kitengo cha PSU (Presidential Service Unit) ambacho si lazima uwe usalama wa taifa. Ukisoma majukumu ya usalama wa taifa utaona kabisa hayahusu kumlinda rais physically. Ni watu tumezoea kuwaita walinzi wa rais kuwa ni usalama wa taifa ila kiuhalisia si hivyo, wale ni kitengo tofauti.Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
Kuhakikisha usalama wa mkuu wa Nchi ndo usalama namba moja...sasa inakuaje hao wanaotekeleza hayo majukumu wasiwe wana usalama wa Taifa...???Mkuu, yule jamaa ni mlinzi wa rais na yupo exposed kwenye macho ya watu kila siku. Hivyo kutokana na majukumu aliyonayo sasa hivi, suala la usiri halipo tena. Hata hivyo hao walinzi hutoka kitengo cha PSU (Presidential Service Unit) ambacho si lazima uwe usalama wa taifa. Ukisoma majukumu ya usalama wa taifa utaona kabisa hayahusu kumlinda rais physically. Ni watu tumezoea kuwaita walinzi wa rais kuwa ni usalama wa taifa ila kiuhalisia si hivyo, wale ni kitengo tofauti.