EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,559
- 12,682
Mshukuru alubati kakusaidia kuuelezea uzi maana umefeli kujieleza
Mtumpumzishe na TISS, sasa hii nayo ni habari tudiscuss kweli, mtu kumtambulisha mzazi wake kwa boss wake nayo ni thread unataka tuwaze, tufikiri, tuchambue na kutoa mawazo yetu. Sio haki wa hii platform
Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
Aisee kuna watu wengine ni wa ajabu kweli kweli. Mtu anaonekana kila siku. Kijijini wanamjua na wanaijua familia yake. Halafu anasema akitambulishwa atajulikana. BTW walinzi wa rais na maofisa wa TISS ni vitengo tofauti japo wako idara moja.Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
we much know sanaa, unajifanya wajua mengi ilhali zero brainNi Mama alikuwepo au labda Mwanae huyo Mama ( ambaye ni Mmoja wa Walinzi wake PSU ) alimuandaa mapema Mama yake huyo ili awepo eneo hilo la tukio kisha huyo Mlinzi akamtaarifu Bosi wake Mheshimiwa Rais akamsalimie? Kibinadamu ni Kitendo ambacho kinawezekana ila kwa Uwajibikaji na hasa wa hiyo Tasnia kama huyo Mlinzi wake alitumia ' influence ' yake na kumwomba Mheshimiwa Rais akamsalimie hilo litakuwa ni Kosa. Kama kuna ' Mwiko ' mkubwa wa Watu ambao ni Walinzi wa Rais yoyote yule wanaambiwa na hata Kufundishwa huko Mafunzoni ni kule ' Kumzoea ' sana Rais au na Wewe pia kujifanya sasa ni sehemu ya Familia yake. Nchi zingine zenye Idara makini hasa kwa Vikosi vya Rais vikigundua hili huwa haraka mno wanambadilishia ' Majukumu ' yake. Kazi yao Kuu / Kubwa ni Kuhakikisha Ulinzi ' Madhubuti ' wa Mheshimiwa Rais na siyo kuanza ' Kumzoeazoea ' kama inavyoonekana kwa huyo Mmoja wa Walinzi wake. Mazoea Mazoea kama haya ndiyo yalipelekea Rais wa Congo DR Marehemu Laurent Desire Kabila ' auwawe ' Kirahisi mno na Mmoja wa Walinzi wake ' Kadogoo ' kwani alitengeneza ukaribu nae kiasi kwamba kuna taratibu zingine za Kiulinzi / Kiusalama alianza ' Kuzikiuka ' na hatimaye Watu wabaya wakatumia mwanya huo huo wa Yeye kuwa karibu na Kipenzi cha Hayati Rais Laurent Kabila ' wakamrubuni ' na kumpa Kazi ya ' Kumuua ' ambayo pia ilikuja Kufanikiwa vyema tu. TISS hasa PSU hakikisheni ' Upuuzi ' huu haujirudii tena na badala yake zile ' Principles ' za ' VIP Protection ' zifuatwe tafadhali ambayo kuna Moja hawa Watu huwa wanaimbiwa sana isemayo ' Always Swallow the Credits ' ambayo hii huwa ina maana Kubwa na pana Kiutendaji.
ndo ivo uyo jamaa ni shidawe much know sanaa, unajifanya wajua mengi ilhali zero brain
we much know sanaa, unajifanya wajua mengi ilhali zero brain
anaboa kwakwel, zamani nilijua uyu ni Ephraim kibonde (R. I. P) kumbe siyendo ivo uyo jamaa ni shida
ndo ivo uyo jamaa ni shida
Wale wenye suti sasa ni polisi au wanajeshi?
Mtumpumzishe na TISS, sasa hii nayo ni habari tudiscuss kweli, mtu kumtambulisha mzazi wake kwa boss wake nayo ni thread unataka tuwaze, tufikiri, tuchambue na kutoa mawazo yetu. Sio haki wa hii platform
anaboa kwakwel, zamani nilijua uyu ni Ephraim kibonde (R. I. P) kumbe siye
Mkuu kuna kitu nataka nikuweke sawa, Walinzi Wa Rais na Familia yake ni watu ambao wanapaswa sana kuaminiwa kwa kuwa na wao wanakuwa sehemu ya Familia, kwa nchi zilizoendelea kama US Walinzi Wa Familia ya Rais hubaki na Familia hata baada ya Rais kustaafu,kwa hiyo hawa ni sehemu ya Familia. Mfano Walinzi wa JFK waliokuwa wanalinda Familia walibaki nayo hata baada ya JFK kuuawa.Ni Mama alikuwepo au labda Mwanae huyo Mama ( ambaye ni Mmoja wa Walinzi wake PSU ) alimuandaa mapema Mama yake huyo ili awepo eneo hilo la tukio kisha huyo Mlinzi akamtaarifu Bosi wake Mheshimiwa Rais akamsalimie? Kibinadamu ni Kitendo ambacho kinawezekana ila kwa Uwajibikaji na hasa wa hiyo Tasnia kama huyo Mlinzi wake alitumia ' influence ' yake na kumwomba Mheshimiwa Rais akamsalimie hilo litakuwa ni Kosa. Kama kuna ' Mwiko ' mkubwa wa Watu ambao ni Walinzi wa Rais yoyote yule wanaambiwa na hata Kufundishwa huko Mafunzoni ni kule ' Kumzoea ' sana Rais au na Wewe pia kujifanya sasa ni sehemu ya Familia yake. Nchi zingine zenye Idara makini hasa kwa Vikosi vya Rais vikigundua hili huwa haraka mno wanambadilishia ' Majukumu ' yake. Kazi yao Kuu / Kubwa ni Kuhakikisha Ulinzi ' Madhubuti ' wa Mheshimiwa Rais na siyo kuanza ' Kumzoeazoea ' kama inavyoonekana kwa huyo Mmoja wa Walinzi wake. Mazoea Mazoea kama haya ndiyo yalipelekea Rais wa Congo DR Marehemu Laurent Desire Kabila ' auwawe ' Kirahisi mno na Mmoja wa Walinzi wake ' Kadogoo ' kwani alitengeneza ukaribu nae kiasi kwamba kuna taratibu zingine za Kiulinzi / Kiusalama alianza ' Kuzikiuka ' na hatimaye Watu wabaya wakatumia mwanya huo huo wa Yeye kuwa karibu na Kipenzi cha Hayati Rais Laurent Kabila ' wakamrubuni ' na kumpa Kazi ya ' Kumuua ' ambayo pia ilikuja Kufanikiwa vyema tu. TISS hasa PSU hakikisheni ' Upuuzi ' huu haujirudii tena na badala yake zile ' Principles ' za ' VIP Protection ' zifuatwe tafadhali ambayo kuna Moja hawa Watu huwa wanaimbiwa sana isemayo ' Always Swallow the Credits ' ambayo hii huwa ina maana Kubwa na pana Kiutendaji.