Yaani umeongea kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea, wengine ndo tunatoka kitandani. Heb nyoosha maelezo.
Unadhani wote tunajua kinachoendelea?Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Kwani kila mlinzi wa Magufuli ni TISS au mi ndio sielewi...?Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Kwani kila mlinzi wa Magufuli ni TISS au mi ndio sielewi...?
Swali juu ya swali...Wale wenye suti sasa ni polisi au wanajeshi?
KUwaona kwenye tv si kuwajua, ndio maana wanaishi zao kijitonyama pale na wengine wanakaa ikulu,Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha