Sababu za afisa wa TISS kumtambulisha mama mzazi wake kwa rais magufuli

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,799
12,845
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha
 
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Yaani umeongea kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea, wengine ndo tunatoka kitandani. Heb nyoosha maelezo.
 
Walinzi au watumishi wa idara ya usalama wasiofahamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku? Soma hii mada uone jinsi watu wanavyowajua na hadi nyumbani kwao.

Picha au video tafwadhali mjumbe
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
 
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Kwani kila mlinzi wa Magufuli ni TISS au mi ndio sielewi...?
 
Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
KUwaona kwenye tv si kuwajua, ndio maana wanaishi zao kijitonyama pale na wengine wanakaa ikulu,
 
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha

Kichwa chako cha Habari na Maelezo yako yaliyoko katika Hoja yako husika wala hayana Uhusiano ule wa Kitija na Kimantiki.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom