Sababu za afisa wa TISS kumtambulisha mama mzazi wake kwa rais magufuli

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
Umeandika na ' Kudadavua ' Kiuweledi kabisa Ndugu heko sana.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
10,149
Points
2,000

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
10,149 2,000
Walinzi au watumishi wa idars ya usalama wasiofshamika au ambao hawatakiwi kufahamika ni wale informers na wale wa covert operations ila walinzi wa rais wanawezaje wasijulikane wakati unawaona kwenye tv kila siku?
Aisee kuna watu wengine ni wa ajabu kweli kweli. Mtu anaonekana kila siku. Kijijini wanamjua na wanaijua familia yake. Halafu anasema akitambulishwa atajulikana. BTW walinzi wa rais na maofisa wa TISS ni vitengo tofauti japo wako idara moja.
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Kwamba katika safari ya mh Rais alifika kijiji fulani huko rukwa,ni kijiji anachotoka mmoja wa walinzi wake,SASA mama wa huyo mlinzi alikuwepo eneo magufuli alpokuwa anazungumza na wananchi,mh rais kwa kutambua hilo akashuka kwenda kusalimiana na mama wa mlinzi wake.( sijajua utaratibu gani ulitumika). Ni hayo tu.
Ni Mama alikuwepo au labda Mwanae huyo Mama ( ambaye ni Mmoja wa Walinzi wake PSU ) alimuandaa mapema Mama yake huyo ili awepo eneo hilo la tukio kisha huyo Mlinzi akamtaarifu Bosi wake Mheshimiwa Rais akamsalimie? Kibinadamu ni Kitendo ambacho kinawezekana ila kwa Uwajibikaji na hasa wa hiyo Tasnia kama huyo Mlinzi wake alitumia ' influence ' yake na kumwomba Mheshimiwa Rais akamsalimie hilo litakuwa ni Kosa. Kama kuna ' Mwiko ' mkubwa wa Watu ambao ni Walinzi wa Rais yoyote yule wanaambiwa na hata Kufundishwa huko Mafunzoni ni kule ' Kumzoea ' sana Rais au na Wewe pia kujifanya sasa ni sehemu ya Familia yake. Nchi zingine zenye Idara makini hasa kwa Vikosi vya Rais vikigundua hili huwa haraka mno wanambadilishia ' Majukumu ' yake. Kazi yao Kuu / Kubwa ni Kuhakikisha Ulinzi ' Madhubuti ' wa Mheshimiwa Rais na siyo kuanza ' Kumzoeazoea ' kama inavyoonekana kwa huyo Mmoja wa Walinzi wake. Mazoea Mazoea kama haya ndiyo yalipelekea Rais wa Congo DR Marehemu Laurent Desire Kabila ' auwawe ' Kirahisi mno na Mmoja wa Walinzi wake ' Kadogoo ' kwani alitengeneza ukaribu nae kiasi kwamba kuna taratibu zingine za Kiulinzi / Kiusalama alianza ' Kuzikiuka ' na hatimaye Watu wabaya wakatumia mwanya huo huo wa Yeye kuwa karibu na Kipenzi cha Hayati Rais Laurent Kabila ' wakamrubuni ' na kumpa Kazi ya ' Kumuua ' ambayo pia ilikuja Kufanikiwa vyema tu. TISS hasa PSU hakikisheni ' Upuuzi ' huu haujirudii tena na badala yake zile ' Principles ' za ' VIP Protection ' zifuatwe tafadhali ambayo kuna Moja hawa Watu huwa wanaimbiwa sana isemayo ' Always Swallow the Credits ' ambayo hii huwa ina maana Kubwa na pana Kiutendaji.
 
Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Messages
1,629
Points
2,000

Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2015
1,629 2,000
Wakuu sina mambo ya kikuda ila ajabu nilitafakari kidogo sababu haswa ni nin Kwani mbona twafahamu ya kuwa idara hyo ni nyeti na pengine hata staff ya idara hyo hawafahamiani kipindi hiki MBNA kumekuwa tofauti ... Nawasilisha

Ulielewa Vibaya, Wanafahamika kwa Watu wachache sio kwa Watu wote. Sawa alimpo mtambulisha wewe ulitambua Jina lake anaitwa nani? Mamaake anaitwa nani?
 
Mina cute

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
954
Points
1,000

Mina cute

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
954 1,000
Ni Mama alikuwepo au labda Mwanae huyo Mama ( ambaye ni Mmoja wa Walinzi wake PSU ) alimuandaa mapema Mama yake huyo ili awepo eneo hilo la tukio kisha huyo Mlinzi akamtaarifu Bosi wake Mheshimiwa Rais akamsalimie? Kibinadamu ni Kitendo ambacho kinawezekana ila kwa Uwajibikaji na hasa wa hiyo Tasnia kama huyo Mlinzi wake alitumia ' influence ' yake na kumwomba Mheshimiwa Rais akamsalimie hilo litakuwa ni Kosa. Kama kuna ' Mwiko ' mkubwa wa Watu ambao ni Walinzi wa Rais yoyote yule wanaambiwa na hata Kufundishwa huko Mafunzoni ni kule ' Kumzoea ' sana Rais au na Wewe pia kujifanya sasa ni sehemu ya Familia yake. Nchi zingine zenye Idara makini hasa kwa Vikosi vya Rais vikigundua hili huwa haraka mno wanambadilishia ' Majukumu ' yake. Kazi yao Kuu / Kubwa ni Kuhakikisha Ulinzi ' Madhubuti ' wa Mheshimiwa Rais na siyo kuanza ' Kumzoeazoea ' kama inavyoonekana kwa huyo Mmoja wa Walinzi wake. Mazoea Mazoea kama haya ndiyo yalipelekea Rais wa Congo DR Marehemu Laurent Desire Kabila ' auwawe ' Kirahisi mno na Mmoja wa Walinzi wake ' Kadogoo ' kwani alitengeneza ukaribu nae kiasi kwamba kuna taratibu zingine za Kiulinzi / Kiusalama alianza ' Kuzikiuka ' na hatimaye Watu wabaya wakatumia mwanya huo huo wa Yeye kuwa karibu na Kipenzi cha Hayati Rais Laurent Kabila ' wakamrubuni ' na kumpa Kazi ya ' Kumuua ' ambayo pia ilikuja Kufanikiwa vyema tu. TISS hasa PSU hakikisheni ' Upuuzi ' huu haujirudii tena na badala yake zile ' Principles ' za ' VIP Protection ' zifuatwe tafadhali ambayo kuna Moja hawa Watu huwa wanaimbiwa sana isemayo ' Always Swallow the Credits ' ambayo hii huwa ina maana Kubwa na pana Kiutendaji.
we much know sanaa, unajifanya wajua mengi ilhali zero brain
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
ndo ivo uyo jamaa ni shida
Kuwa Kwangu na ' Maarifa ' mengi ambayo kwa bahati mbaya nyie hamna kumbe ni Kikwazo Kwenu? Basi mtaumia kama siyo Kuteseka sana na Mimi na sitoacha Kuelezea kile ambacho najua kabisa kuwa nina ' Ufahamu ' nacho eti kwa Kuwaogopeni nyie ' Wapumbavu ' kadhaa mliopo hapa.

Cc: Mina cute, wa kupuliza
 
mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,668
Points
2,000

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,668 2,000
Mtumpumzishe na TISS, sasa hii nayo ni habari tudiscuss kweli, mtu kumtambulisha mzazi wake kwa boss wake nayo ni thread unataka tuwaze, tufikiri, tuchambue na kutoa mawazo yetu. Sio haki wa hii platform
Mkuu jamaa anataka pengine ajue faida na hasara zake tu. Nadhani ni elimu ya urai pia
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
anaboa kwakwel, zamani nilijua uyu ni Ephraim kibonde (R. I. P) kumbe siye
Baada ya zamani kunihisi ni Marehemu Ephraim Kibonde je, hivi sasa unanihisi nani tena? Yaani nitawateseni mzidi Kunichukia hadi Mjinyonge. Sijabarikiwa nguvu bali nimebarikiwa Akili kubwa na Maarifa mengi ambayo huwa ni ' Chukizo ' kwa ' Wapumbavu ' ambao kwa bahati mbaya Mwenyezi Mungu hakuwabariki nao. Poleni mno!

Cc: MACHONDELA, wa kupuliza
 
Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
4,857
Points
2,000

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
4,857 2,000
Ni Mama alikuwepo au labda Mwanae huyo Mama ( ambaye ni Mmoja wa Walinzi wake PSU ) alimuandaa mapema Mama yake huyo ili awepo eneo hilo la tukio kisha huyo Mlinzi akamtaarifu Bosi wake Mheshimiwa Rais akamsalimie? Kibinadamu ni Kitendo ambacho kinawezekana ila kwa Uwajibikaji na hasa wa hiyo Tasnia kama huyo Mlinzi wake alitumia ' influence ' yake na kumwomba Mheshimiwa Rais akamsalimie hilo litakuwa ni Kosa. Kama kuna ' Mwiko ' mkubwa wa Watu ambao ni Walinzi wa Rais yoyote yule wanaambiwa na hata Kufundishwa huko Mafunzoni ni kule ' Kumzoea ' sana Rais au na Wewe pia kujifanya sasa ni sehemu ya Familia yake. Nchi zingine zenye Idara makini hasa kwa Vikosi vya Rais vikigundua hili huwa haraka mno wanambadilishia ' Majukumu ' yake. Kazi yao Kuu / Kubwa ni Kuhakikisha Ulinzi ' Madhubuti ' wa Mheshimiwa Rais na siyo kuanza ' Kumzoeazoea ' kama inavyoonekana kwa huyo Mmoja wa Walinzi wake. Mazoea Mazoea kama haya ndiyo yalipelekea Rais wa Congo DR Marehemu Laurent Desire Kabila ' auwawe ' Kirahisi mno na Mmoja wa Walinzi wake ' Kadogoo ' kwani alitengeneza ukaribu nae kiasi kwamba kuna taratibu zingine za Kiulinzi / Kiusalama alianza ' Kuzikiuka ' na hatimaye Watu wabaya wakatumia mwanya huo huo wa Yeye kuwa karibu na Kipenzi cha Hayati Rais Laurent Kabila ' wakamrubuni ' na kumpa Kazi ya ' Kumuua ' ambayo pia ilikuja Kufanikiwa vyema tu. TISS hasa PSU hakikisheni ' Upuuzi ' huu haujirudii tena na badala yake zile ' Principles ' za ' VIP Protection ' zifuatwe tafadhali ambayo kuna Moja hawa Watu huwa wanaimbiwa sana isemayo ' Always Swallow the Credits ' ambayo hii huwa ina maana Kubwa na pana Kiutendaji.
Mkuu kuna kitu nataka nikuweke sawa, Walinzi Wa Rais na Familia yake ni watu ambao wanapaswa sana kuaminiwa kwa kuwa na wao wanakuwa sehemu ya Familia, kwa nchi zilizoendelea kama US Walinzi Wa Familia ya Rais hubaki na Familia hata baada ya Rais kustaafu,kwa hiyo hawa ni sehemu ya Familia. Mfano Walinzi wa JFK waliokuwa wanalinda Familia walibaki nayo hata baada ya JFK kuuawa.
 
Forum statistics

Threads 1,343,414
Members 515,033
Posts 32,783,933
Top