Sababu ya vidonda na vipele kwa watoto wadogo

bagi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
1,662
1,592
Kwa watalaamu,nin huwa sababu kubwa ya watoto wadogo kuanzia miaka 3 mpaka 6 kutoka vipele na hatimaye vidonda miguuni.Wajuvi wa hili tunaomba majibu yenu.
 
Back
Top Bottom