Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

Acha porojo hizo , kifurushi gani cha 9000,cha mwezi kinachoonyesha mpira?zamani kulikuwa na cha 9000, kwa wiki lakini sasa hakipo tena, halafu inawezekana vipi ligi aonyeshe azamu halafu hiyo ngao ya jamii eti dstv ndio aonyeshe?!!
No research no right to speak....Ngao ya Jamii na ligi mdhamini ni tofauti
 
No research no right to speak....Ngao ya Jamii na ligi mdhamini ni tofauti
Sio kwa hapa kwetu!!ngao ya jamii ni kiashiria cha ligi kuanza , haiwezekani azam aliyodhamini ligi kwa miaka 10, aiachie mechi hiyo moja, na ndio maana kwenye hiyo package yake na ngao ya hisani imo!!sasa huyo anayekuja na story eti dstv ndio walishinda haki ya kuonyesha.
 
TFF walinganza tender watu waombe kuonyesha mechi hii angalia kwenye page yao utaona mkuu
 
kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na sintofahamu nyingi. Zipo tarifa kuwa Dstv walitoa ofa kubwa zaidi lakini vigisuvigusu zikafanywa na akina Karia kumpitisha Azam.

Baada ya AZAM kupitishwa (kwa kuwashika mkono wakubwa ) akapendekeza vingilio vya juu kwa lengo kuwa watu wasije uwanjani wengi ila wakanunue vifurushi vya Azam kwani kwa kifurushi cha AZAM cha 9,000 mtu unaangalia mechi na vipindi vingine kwa mwezi, sasa mtu kuliko kulipa 10,000 aende uwanjani bora anunue kifurushi aangalie nyumbani. Hii ni akili y kaiwada saana

Kwanini Azam wamefanya hivi?
  • Azam wana uhakika kwa ving'amuzi ambavyo havijalipiwa kitambo au mwezi huu vikilipiwa leo tu kwa mechi hii wanatengeneza mabilion. Ving'amuzi vingi hasa vya wakazi wa Dar es salaam havihalijipiwa kitambo (soko kubwa la AZAM ni Dar es salaam)
  • kuna wateja wapya wa vin'gamuzi watapatikana kwa kutaka kuangalia mechi hii.
  • Wadhaminiwa mechi kupitia Azam sio TFF wataongezeka leo
Ndio maana mnaona mpaka leo hamna hamsha hamsha za kuhamasihsha watu waje uwanjani wala kukata tiketi.

Hii kama ni kweli basi kunahitajika kufanyika uchunguzi wa hali ya juu na viongozi wa TFF wachukulie hatau kama hii itakuw imewafaidhia AZAM kupitia Migongo ya viongozi wetu wa TFF
Cha 9,000/= siku hizi hakuna mkuu.
 
Mimi ninavyojua hiyo ni dunia nzima.

Tena kuna sheria ilitungwa inaitwa 'Blackout rule' kwamba mnaoishi karibu na uwanja wa mpira nyinyi hampati matangazo ya mpira hivyo inabidi muende uwanjani.
Hiyo ni kweli
Hata EPL sisi huku tunaangalia mechi zote za ligi lakini Uingereza zinaoneshwa chache tu
 
Mleta mada umeongea pumba tupu

Kwanza Azam ndio kashika tenda ya kurusha live ligi kuu, sasa sijakuelewa unaposema alibid ktk hii mechi!!

Pia, hii game ilikuwa live ktk channel ya azam sport HD ambapo ndani ya wiki mbili hizi ndio channel hii hii imerusha mechi za matamasha ya ya Simba na tamasha la Yanga, na hayo matamasha yote yamejaza mashabk uwanjani ( ie full capacity) ilhali matamasha yalikuwa live kideoni na viingilio vya chini vilikuwa tsh 5k

Ilhali mechi ya ngao ya jamii ilikuwa kiingilio cha chini tsh 10k,
Sasa mpaka hapo utaona mchawi alikuwa TFF kwa kupanga kiingilio cha juu na hvyo kupelekea mashabk wengi kushindwa kuhudhuria ile game

Na kiukweli sijawahi kuona derby ya Simba vs Yanga imekosa msisimko wa mashabk kama derby hii

TFF nafikiri mmepata funzo
 
wewe ndio kolo sasa na akili mgando.
Azam ana mkataba wa kuonesha ligi kuu.

Kwanini hii ngao ya jamii aoneshe dstv? Au kisa una dstv? Vifurushi vya azam na dstv vipi vina bei?

Upo kiwango cha juu katika malofa.
wewe ndio wale aliokuwa anawasema Eymael, hivi hujui hii mechi tenda ilitangazwa?
 
Mleta mada umeongea pumba tupu

Kwanza Azam ndio kashika tenda ya kurusha live ligi kuu, sasa sijakuelewa unaposema alibid ktk hii mechi!!

Pia, hii game ilikuwa live ktk channel ya azam sport HD ambapo ndani ya wiki mbili hizi ndio channel hii hii imerusha mechi za matamasha ya ya Simba na tamasha la Yanga, na hayo matamasha yote yamejaza mashabk uwanjani ( ie full capacity) ilhali matamasha yalikuwa live kideoni na viingilio vya chini vilikuwa tsh 5k

Ilhali mechi ya ngao ya jamii ilikuwa kiingilio cha chini tsh 10k,
Sasa mpaka hapo utaona mchawi alikuwa TFF kwa kupanga kiingilio cha juu na hvyo kupelekea mashabk wengi kushindwa kuhudhuria ile game

Na kiukweli sijawahi kuona derby ya Simba vs Yanga imekosa msisimko wa mashabk kama derby hii

TFF nafikiri mmepata funzo
hii mechi haihusiani na ligi kuu ndio maana tenda ilitangazwa
 
wewe ndio wale aliokuwa anawasema Eymael, hivi hujui hii mechi tenda ilitangazwa?
dstv walionesha? Kama hawajaonesha au kuonesha, kwanini ikiwa tenda ilitangazwa

Wewe kolo huna faida hata kwa familia yako. Mbumbumbu la kwanza kutoka mabasi FC
 
Back
Top Bottom