Sababu ya Slaa kwenda Kigoma

Status
Not open for further replies.

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Inasemekana,kuwa kaenda kupima hali itakuwaje,endapo watamfukuza ZITTO!ndio maana ziara yake ipo ndani ya siku 14 alizopewa ZZK kujieleza

Hii michezo mnayocheza chadema itakuja wamaliza vibaya sana
 
Hizo siku 14 alizopewa ZZK ni za kujieleza, na haina maana kwamba immediately kikao kitakaa baada ya siku 14 za ZZK kuisha. Jamaa anaweza akajieleza na bado Kamati Kuu ikaja kujadili utetezi wake baada ya miezi mitatu kupita! Hizo timings ulizozungumzia hazina uhusiano
 
Chadema wanaota ndoto ya kutaga mayai...

Tusubiri waamke wayaone mwaikimba yao kitandani, hawatakuwa na pakujificha kwa aibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom