Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

Kutumia vyombo vingi katika socket moja
Hapo hukumpa elimu kabla hujampangishia, mfano chumba cha jiko kinapaswa kiwe na switch socket inayojitegemea kwa ajili ya kuchemshia maji endapo mpangaji ana hita.

Pili socket kuzidiwa pengine ni size ya cable iliyotumika sio sahihi
 
Hapo hukumpa elimu kabla hujampangishia, mfano chumba cha jiko kinapaswa kiwe na switch socket inayojitegemea kwa ajili ya kuchemshia maji endapo mpangaji ana hita.

Pili socket kuzidiwa pengine ni size ya cable iliyotumika sio sahihi
Inakua hivi, mpangaji anahamia hana hata TV, anakuambia nina redio tu, sebule Ina socket moja. Mambo yakikaa vizuri ananunua TV, speakers, ameweka internet, so buffer na mazaga zaga kama yote.
 
Inakua hivi, mpangaji anahamia hana hata TV, anakuambia nina redio tu, sebule Ina socket moja. Mambo yakikaa vizuri ananunua TV, speakers, ameweka internet, so buffer na mazaga zaga kama yote.
Still haiwezi kuzidiwa kwa kutumia TV, radio, pasi kwenye socket moja yenye 13A
 
kwa kuongezea ... kwenye upande wa ajali
za moto unaotokana na loose wire ama poor wiring ( ambapo moto huu unatokana na arcing) kwa kiswahili rahis tuite cheche ingawa sio sahihi sana

kujilinda na tatizo hili basi unaweza ukafunga Arc fault detection device yaan AFDD. hiki kifaa ni ghali sana ila kazi yake ni kusense arcing na kuweza ku disconnect circuit husika kabla hiyo arcing haijazaa moto.

takwimu za UK zilionyesha kuwa asilimia kubwa moto wa majumban ulisababishwa na hivi vicheche vidogo ambapo ni msuguano kati ya waya na waya au loose wire ambao haujafungwa vizuri, mfano kwenye socket au fan la juu. msuguano huu unakuwa sio mkubwa kias cha kutengenza joto la ku trip MCB ila unaweza ukazaa moto..

NB:
kwa muhibu wa british standard 7671 toleo la kanuni za umeme salama la sasa hv ambalo ni namba 18.

Box la ugawaji umeme majumban linatakiwa liwe na SPD ( kwa ajili ya lighting protection + RCBO ( kwa ajili ya kumlinda binadam na shock as well as kulinda wiring yako ya nyumba kama kutakuwa na overload au shirt circuit au loose connection itakayosababisha leakages

SPD ni kifaa kinachozuia umeme wa radi, kumbuka umeme wa radi unaweza ukapiga hata jua kali ukashangaa vifaa vyako vimeungua..

MCB. kinalinda wire wako .. kwa lugha rahs kama ambavyo mdau kaelezea hapo juu maana yake kabla ya huo wire kushika moto basi hiki
kifaa kitadisconect hiyo njia ya umeme ila
kama utagusa waya wa umeme bahat mbaya MCB hakitakulinda.. hapa ndo unahitaj kifaa kinaitwa RCBO

RCBO inafanya kazi kama ya MCB tofaut yenyewe imeongezewa uwezo kuzuia usipigwe shock ya umeme.. ( au kwa lugha ya mtaan short ya umeme)

Pia kama pesa inaruhusu unaweza ukafunga na hiki kinachoitwa AFDD.. ila kanuni haijasema ni lazima

binafsi mwaka huu niko katika ku review wiring ya home na ku update Consumer Unit a.k.a DB kwa kuondoa traditional MCB units zote, na kudesisplit unit yenye full RCBO plus one AFDD plus one surge protection device. walau ni comply na IEE regulation 7671 toleo la 18
Shukurani sana mkuu kwa nyongeza iliyo shiba
 
Hapo juu namba 2(a) : Kutofunga cut out, Ni kweli siku hizi umeme ukitoka kwenye mita ambazo sa ziko juu ya nguzo ya mwisho, unaingizwa moja kwamoja kwenye main switch, Nilikuwa najiuliza, hivi ikitokea short kwenye mifumo ya tanesco kabla ya main switch, huo moto naukata vipi; maana nadhani main switch inalinda mfumo wa ndani ya nyumba.
 
Hapo juu namba 2(a) : Kutofunga cut out, Ni kweli siku hizi umeme ukitoka kwenye mita ambazo sa ziko juu ya nguzo ya mwisho, unaingizwa moja kwamoja kwenye main switch, Nilikuwa najiuliza, hivi ikitokea short kwenye mifumo ya tanesco kabla ya main switch, huo moto naukata vipi; maana nadhani main switch inalinda mfumo wa ndani ya nyumba.
Kweli kabisa huu mfumo wa kutoweka circuit breaker ni tatizo kubwa sana
 
Hiyo namba 1B ni tatizo kubwa sana sana. likitatuliwa litapunguza sana hii shida.

Mimi ni fundi umeme na pia nimebahatika kujenga nyumba yangu, nimefanya wiring moja ya kisomi sana.

Shida inaanzia kwamba mtu akinunua DB anataka atumie zile miniature ambazo zipo mle ndani hataki kununua mpya ambqzo zitaendana na sizing zake.

Mfano mtu anatumia miniature CB ya 6A wakati huo huo ana taa 15 za watts 9 ambazo ni sawa na na 0.6A.

sasa unajiuliza Circuit ya 1 Amp inalindwaje na MCB ya 6A unakuja kuoana ni upuuzi tuu. ndio maana short inatokea na MCB inaona ni load ya kawaida tuu

Mimi kwenye DB yangu utashangaa sana

Lighting circuit 1 - 2A Mcb
Lighting circuit 2 - 2A Mcb
Power socket Sebuleni 3A Mcb
Power socket Vyumbani 10A Sababu ya heater
Jikoni 25A
Water heater 16A

Very simple and calculated design

Sasa mafundi huko mtaani wanazishona MCB za 32A utafikiri ni kiwandani

Sasa unajiuliza hivi MCB ya 32 itatripi lini??
DB ni nini?
 
Kuna tofauti kati ya circuit breaker na cut out?
unamaanisha tofauti kati ya cut out na MCB (circuit breaker ndogo zile ndani ya DB (aka "main switch") )

MCBs za nyumbani zina viwango (tripping/overLoad capacity) vya 5A, 10A, 15A mpaka 45A huko, ikitokea shoti ya 'kiwango tajwa' MCB husika itakata

shoti ikiwa ya kiwango kukubwa sana ( short circuit current) , izo MCB hazitaka badala yake zitaungua, pamoja na nyaya , hii ni kwakua MCB zina 'low breaking capacity' , around 6kA au pungufu

cut out zina 'high breaking capacity' , around 80kA au zaidi , na ziko faster 'kuitikia' kwa maana short za 'kiwango kikubwa' zinazuiliwa na hii cut out, cut out itakata kuzuia 'moto' kwenye nyaya, itakata kuzilinda MCBs
 
Back
Top Bottom