Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Wale wote wanao ilaumu Serikali kupitia shirika lake la ndege (Air Tanzania) Iangalieni hii video kwa makini sio mnafata upepo tu
 
Wale wote wanao ilaumu Serikali kupitia shirika lake la ndege (Air Tanzania) Iangalieni hii video kwa makini sio mnafata upepo tu

Unaonyesha jinsi wazungu wanavyosukuma ndege kwa mikono yao kama watanzania walivyofanya kwa ndege yao mbovu sio?
 
Ndege kusukumwa si hoja.. Ni kweli zinasukumwa sana tu..
Lakini tukubaliane hapa kuwa si dalili nzuri hata kidogo..!!
Tuwemo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom