Sababu ya Magufuli, CCM na maraisi wa Africa kupenda misaada ya nchi za nje...

Kessy Wa Kilimanjaro

JF-Expert Member
Jan 23, 2016
327
208

Tangia mwaka 1990, Tanzania imepewa zaidi ya billioni $32.8 kama msaada kutoka nchi za nje. Ungefikiri kwamba na hela hii tusingekuwa na Tatizo la upungufu wa barabara, umeme, maji au hospitali. Lakini nyie mnaoishi Tanzania niambieni; Je, maendeleo kutokana ni hii hela ya msaada imewafikia?

Na chakusikitisha zaidi ni kwamba wote tunajua hii hela inaenda wapi wakati wanao ikusanya huko marekani wanatumia picha za watoto wanao kufa na njaa ili kuwasikitisha watu na kuwadanganya akati zinapofikia ni kwa wanasiasa wenye vitambi.

mada yangu inahusu hii misaada na jinsi inavyowawezesha maraisi wa kiafrika na vyama tawala kuto kuona uhalifu wa sera zao za kiuchumi.

Nchi isinge kuwa na misaada ya nje maraisi wangejua kwamba wakifeli kujenga uchumi hawawezi kuongeza tu matumizi kwasababu kusingekuwa na hela ya kufanya hivyo. Wangelazimika kuacha njia zao za kikomunist na wangelazimika kuacha ujamaa na kurahisisha uwekezaji na uhuru wa soko, sivyo nchi ingekufa njaa.

Lakini kwasababu kuna misahada ya kutumia kila pale ambapo raisi akishindwa kujenga uchumi, Raisi halazimiki kujenga uchumi wake mwenyewe bali kutegemea hiyo misahada. Na hela ya misaada inaenda kuimarisha nguvu ya Raisi tawala na chama chake kama ilivyotokea Ethiopia alivyofanya Mengistu. Vibaya zaidi viongozi kama mbutu wanatajiribu kwa mabilioni na hela zao wanaziweka swiss banks.

Alafu ukiona nchi zilizoendelea hazijajengwa na misaada bali na uhuru wa uchumi na urahisi wa uwekezaji. Ni mtu ambaye mpumbaavuu ndiyo anaamini kwamba misaada ya nje itaijenga nchi yake.
 
Tangia mwaka 1990, Tanzania imepewa zaidi ya billioni $32.8 kama msaada kutoka nchi za nje. Ungefikiri kwamba na hela hii tusingekuwa na Tatizo la upungufu wa barabara, umeme, maji au hospitali. Lakini nyie mnaoishi Tanzania niambieni; Je, maendeleo kutokana ni hii hela ya msaada imewafikia?

Na chakusikitisha zaidi ni kwamba wote tunajua hii hela inaenda wapi wakati wanao ikusanya huko marekani wanatumia picha za watoto wanao kufa na njaa ili kuwasikitisha watu na kuwadanganya akati zinapofikia ni kwa wanasiasa wenye vitambi.

mada yangu inahusu hii misaada na jinsi inavyowawezesha maraisi wa kiafrika na vyama tawala kuto kuona uhalifu wa sera zao za kiuchumi.

Nchi isinge kuwa na misaada ya nje maraisi wangejua kwamba wakifeli kujenga uchumi hawawezi kuongeza tu matumizi kwasababu kusingekuwa na hela ya kufanya hivyo. Wangelazimika kuacha njia zao za kikomunist na wangelazimika kuacha ujamaa na kurahisisha uwekezaji na uhuru wa soko, sivyo nchi ingekufa njaa.

Lakini kwasababu kuna misahada ya kutumia kila pale ambapo raisi akishindwa kujenga uchumi, Raisi halazimiki kujenga uchumi wake mwenyewe bali kutegemea hiyo misahada. Na hela ya misaada inaenda kuimarisha nguvu ya Raisi tawala na chama chake kama ilivyotokea Ethiopia alivyofanya Mengistu. Vibaya zaidi viongozi kama mbutu wanatajiribu kwa mabilioni na hela zao wanaziweka swiss banks.

Alafu ukiona nchi zilizoendelea hazijajengwa na misaada bali na uhuru wa uchumi na urahisi wa uwekezaji. Ni mtu ambaye ******** ndiyo anaamini kwamba misaada ya nje itaijenga nchi yake.

Duhh! Usiku ni mwingi, pumzika ndugu, kesho hariri uzi wako maana mtori si mtori, kibulu si kibulu, aah au umerashia k****nga?
 
Kiuhalisia, misaada ni hongo inayolipwa na nchi tajiri (hasa za kibeberu) kwa watawala katika nchi maskini ili kuendeleza uporaji wa rasilimali na kupata upendeleo kwenye mikataba ya kibiashara kama kandarasi katika hizo maskini. Mwaka 1978 mchumi Mwingereza Peter Bauer alitoa maana halisi (definition) ya misaada: "Misaada ni hali ambayo watu maskini kutoka nchi tajiri wanatozwa kodi ili kuendeleza matanuzi ya matajiri katika nchi maskini (foreign aid is the phenomenon whereby poor people from rich countries are taxed to support life-styles of rich people in poor countries)".
 
Wachaga hampewi nchi hii ata muongee nini.

Nawewe ni mmoja wao wenye swiss bank mnaficha hela za misaada au vipi? Sawa hii nchi hatutapewa. nyie wazee mtaiacha ikiwa imeshabakwa madini yake na mafuta yake na uchumi wake ukifa na ukame ukaikaba ndipo hapo wazee mtaachia nchi ili mkalale huko mlikoficha pessa za wananchi. Na mungu peke yake ndiye atakaye wahukumu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom