Sababu ya Lissu kushindwa uchaguzi

Ni haya moja tu, hiyo hapo juu, ya bandiko lako imehitimisha kosa alilolifanya Lissu na hatimaye kufanikiwa kuuzika kabisa upinzani Tanzania. Hata mizunguko yake ya kutafuta wadhamini, huku akifanya kampeni kinyume na sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi, hakuitumia ipasavyo. Aliendelea kuibeza serikali kwa kushughulikia kero za wananchi za maendeleo...
Na hayo mabegi ya kura feki yalikuwa ya kazi gani kama Lissu ameubomoa upinzani?
 
Hebu acha uongo kama ni ushoga mbona Serikali inaunga mkono? Kwanini mnaukimbia ukweli kuhusu wizi mkubwa wa kura, kura fake, kuhujumu kupitia mawakala kulikofanyika Nchi nzima!?
Wapinzani hawataki kuelewa.

Ishu ya ushoga nilikuwa naiona ni ndogo. Ila baada ya kuzungumza na watu hasa upinzani ni hawaikubali. Naamini hio pia imechangia kumporomosha.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Hebu acha uongo kama ni ushoga mbona Serikali inaunga mkono? Kwanini mnaukimbia ukweli kuhusu wizi mkubwa wa kura, kura fake, kuhujumu kupitia mawakala kulikofanyika Nchi nzima!?
Lakini hausemwi hadharani kama asemavyo Lissu. Kwa nguvu kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Ki ukweli, kama wewe kwa akili zako zooote, umekaa na kuwaza, ukafanya utafiti na jibu ulilopata ni kuwa Lissu angechukua nchi uchaguzi huu, walahi wewe ni KILAZA...
Wewe ni wa kuhurumiwa tu maana hujui au unafanya makusudi, magu asingetoka Kama uchaguzi ungekuwa wa Haki, wiziii wooteee huo unakuja hapa unaleta porojo,
 
Wapinzani hawataki kuelewa.

Ishu ya ushoga nilikuwa naiona ni ndogo. Ila baada ya kuzungumza na watu hasa upinzani ni hawaikubali. Naamini hio pia imechangia kumporomosha.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Wapi Tundu Lissu katetea ushoga?
CCM ndio chama officially kiliandika barua duniani kwa mabosi kuwa kinaunha mkono ushoga.
Ninaweka hapa link, na wewe uweke link ya Tundu Lissu akiunga mkono ushoga
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa wewe upoleta propaganda.

Nakuambia Lissu anasapoti ushogaa unakataa unamaanisha nini?

Au ulitaka aseme 'Mimi Tundu Antipasi Lissu nikiwa na akili timamu ninasapoti ushoga" ndio ujue kuwa anasapoti ushoga.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Ona jinsi CCM walivyounga mkono ushoga. Hii ni barua rasmi kutoka wizara ya Mambo ya nje na inapatikana katika mtandao rasmi wa wizara.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ona jinsi CCM walivyounga mkono ushoga. Hii ni barua rasmi kutoka wizara ya Mambo ya nje na inapatikana katika mtandao rasmi wa wizara.
Sasa hao sio kama Lissu ambae ameifanya kama hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Hutaki! ukweli ndio huo.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Ibishie na hiii barua, wewe pia weka uthibitisho wa tuhuma zako.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom