Elections 2010 Sababu ya kuinyima ccm kura ipo katika kwenye huu uchaguzi

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
Pamoja na sababu kem kem ambazo ccm wametupa za kukinyima kura .Hii ni nyingine

Conservative Party - UK Parliamentary General Election
Total Expenditure £17,852,240.75
Number of constituencies contested 627
View attachment Conservative Party-Expenditure.docx

CCM PARTY-TANZANIA GENERAL ELECTION
Total Expenditure £22,117,605 (Tshs 50b) Minimum
Number of constituencies 239

Na wakati huo huo(hapo chini)!!!!!

Serikali ya Uingereza kuchangia sh. bilioni 240 katika Bajeti yetu
Saturday, September 18, 2010

mkulo4.JPG
Serikali ya Uingereza imetoa kiasi cha bilioni 240 sawa na Paundi milioni 103.5 kwa ajili ya kuchangia Bajeti ya Taifa (GBS) kwa mwaka wa fedha wa 2010/2011.
 
Thanks mkuu, tena hiyo 50B ya CCM ni ile waliyotamka kwamba wamekusanya kwa michango, it's likely matumizi ni zaidi ya hapo.
 
Mkuu, nadhani ingekuwa vyema ukatuwekea na details za CCM ili tuweze ku-judge ipaswavyo.
 
Mkuu, nadhani ingekuwa vyema ukatuwekea na details za CCM ili tuweze ku-judge ipaswavyo.

Mkaa Mweupe, ameonyesha hapo!! Amount & no of constituencies v/s expenditure kwa case ya CONSERVATIVE PARTY na CCM. Iko wazi hii mkuu. Amount from CCM, ametumia declared collection!! Need he say more!
 
[QUOTE
Na wakati huo huo(hapo chini)!!!!!

Serikali ya Uingereza kuchangia sh. bilioni 240 katika Bajeti yetu
Saturday, September 18, 2010

View attachment 14640
Serikali ya Uingereza imetoa kiasi cha bilioni 240 sawa na Paundi milioni 103.5 kwa ajili ya kuchangia Bajeti ya Taifa (GBS) kwa mwaka wa fedha wa 2010/2011.[/QUOTE]

Hawa Waingereza nadhani wanafaidika na serikali ya CCM, ni wanafiki tu!!!
 
[QUOTE
Na wakati huo huo(hapo chini)!!!!!

Serikali ya Uingereza kuchangia sh. bilioni 240 katika Bajeti yetu
Saturday, September 18, 2010

View attachment 14640
Serikali ya Uingereza imetoa kiasi cha bilioni 240 sawa na Paundi milioni 103.5 kwa ajili ya kuchangia Bajeti ya Taifa (GBS) kwa mwaka wa fedha wa 2010/2011.[/QUOTE]

Hawa Waingereza nadhani wanafaidika na serikali ya CCM, ni wanafiki tu!!!
 
Mkuu, nadhani ingekuwa vyema ukatuwekea na details za CCM ili tuweze ku-judge ipaswavyo.
Kabla ya uchaguzi ccm walisema wanaitaji bilioni 50 kwa ajili ya kampeni.UK baada ya uchaguzi kuna deadline ambayo inatakiwa kila chama kiwe kimeshaweka mahesabu ya matumizi ya kampeni na wachangiaji wake public.Kwa vyama vyao ni raisi kwasababu hawaitaji kutumia pesa kwa ajili ya kampeni za maji taka.

Sijui sheria zetu za uchaguzi zinasemaje kuhusu kuweka matumizi wazi baada ya kampeni.Nimepita kwenye web site ya NEC kujaribu ku check previous campaign expenditures and contributions sikuona kitu, na wala sikutazamia kuyapata in the first place.
 
zipo nyingi zikiwemo sera za jk na ahadi hewa pia ni sababu nyingine
 
zipo nyingi zikiwemo sera za jk na ahadi hewa pia ni sababu nyingine
Chama kinamlipia mtu safari moja ya ndege kwa gharama za milioni 22 kwenda kumuomba kura mtu ambaye hajui next year kama anaweza kumlipia mtoto wake ada au mtoto wake akiumwa atamfikishaje hospitali kwa sababu ipo ten miles away,Chama chochote cha namna hiyo lazima kitoe ahadi za uwongo kwa sababu hakina nia ya kweli ya kuleta maendeleo.

UK is the sixth largest economy in the world pamoja na kuwa na constituencies 627 zaidi ya mara mbili ya kwetu bado na wananchi wao kuwa na maisha mazuri lakini bado wameweza kutumia pesa kidogo kuliko sisi ambao hata badget yetu inabidi twende kuomba kwao watusaidie
 
hilo ndo tatizo mkuuu. nikulundika mabango tuu halafu tukiongea tunaimbiwa taarabu kuwa tunawivu!
 
Back
Top Bottom