Sababu ya kifo cha Steven Kibona na Gilman Rutihinda

Status
Not open for further replies.
Ukisema na mtu aliyekuwa kiraeni na shauritanga wakati ule atakuambia mengi. Na hata ukisema na baadhi ya ndugu wa Marehemu Makweta, waliokuwepo wakati ule nao wanayao ya kusema. Ni mengi sana yasemekanayo. Mwenye details zaidi za haya atupe mwanga.
 
yaliyopita si ndwele tugange yajayo
angalia sana maana watu wanafanya utafiti wa kubadilisha baadhi ya methali. Hii methali yako haina totauti na ile inayosema "aliye juu mngoje chini"
Wadau wanataka kujua ili waondoe mashaka

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom