Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu.
Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko wa bei na ugumu wa maisha ungeongezeka.
Bwana mkubwa kwa hasira za kukataliwa ombi lake akawapeleka India, waliporudi kutoka huko wote wakaanza kuumwa, na bwana mkubwa akatueleza kuwa wamelishwa vyakula vya Kihindi hivyo basi, walikumbwa na tumbo la kuharisha kwa sababu ya ugeni wa chakula cha Kihindi.
Hawakukaa muda mrefu, wakafa. Je ni kweli walidungwa sumu iuayo taratibu? Au ndio kifo chao kilikuwa chakawaida tu?
Wote kutoka Chama Cha Magamba hawafai, wote Mafia, Mafisadi, na Matapeli, Changes 2015 CDM tu ndio Mkombozi, Slaa juu!
Jamani siyo hivyo. Niliwahi kuongea na daktari mmoja wa Muhimbili alinidokeza kuwa wale watu walikuwa na NGOMAwakaenda nje kubadilisha damu, lakini kwa kuwa kipindi kile utaalam huo ulikuwa haujashamiri, mambo yakawaendea kombo. Kumbuka kuwa walikuwa wanafia nje na kuletwa maiti kama sijakosea.:msela:
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Ni kitu gani kilichomzuia Mwinyi kuwaondoa na kuwaweka wanaoweza kutimiza matakwa yake....Mbona Mrema akupelekwa huko India?
Sina uhakika na GR alikufa na nini. Lakini Kibona alikufa na Ngoma na mwanamke alimuua ndiye alikuja kumuua na Charles Kabeho. Kibona alikuwa Waziri wa Elimu na baadaye akarithiwa na Charles Kabeho.
Familia ya Rutihinda ilipatwa na janga la kufiwa na watoto watatu ndani ya mwezi mmoja. Alianza Gilman wakati msiba haujaisha akafuatia Finehas, mdogo wao Alex aliyekuwa akiishi Marekani alikuja msibani alipofika na yeye baada ya siku mbili akavuta. Makaburi yao yapo pale Buguruni kwa Mnyamani unaweza kwenda kuangalia tofauti ya siku walizopishana.
Una uhakika gani kama huyo daktari wako alikuwa sahihi (mkweli)
Jamani hata mie naomba kuuliza Dr. Salmin Amour naye macho yake yamepatwa na nini?? maana niliona kwenye muungano anatembea kwa kushikiliwa? Kulikoni??
Ni muhimu umma ujue ukatili wa serikali dhidi ya wananchi wake na kuhakikisha mambo kama hayo hayatokei tena!!
Jamani siyo hivyo. Niliwahi kuongea na daktari mmoja wa Muhimbili alinidokeza kuwa wale watu walikuwa na NGOMAwakaenda nje kubadilisha damu, lakini kwa kuwa kipindi kile utaalam huo ulikuwa haujashamiri, mambo yakawaendea kombo. Kumbuka kuwa walikuwa wanafia nje na kuletwa maiti kama sijakosea.:msela: